hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,285
- 26,683
Mafanikio ya timu ndio unayazungumzia wewe ,hapo nazungumzia individuallyYaani unafananisha impact ya Grealish na Pepe hebu kuwa serious Hamis77 you are better than this
Grealish: EPL (2), FA cup, Champions League kombe,. Trebble 2023. Amekuwa mchezaji muhimu msimu wa 22/23 panga pangua Grealish kamiiiki namba winga ya kulia kampokonya Foden.
Pepe:![]()
Nani Flop unaanzaje kujaribu kumfananisha Grealish na Pepe
Takwimu za Grealish bado haziridhishi ,huo ndio ukweli
Kumbuka Foden muda mwingi amekuwa injury ,
Mafanikio ya jumla kwa timu ndio yamefanya wengi muone Jack kaperfom Sana ,ila ukweli kwa Bei aliyonunuliwa bado Sana ,
Sikuwahi kuamini Ferran Torres ni Bora Sana ,niliamini Barca wametapeliwa ila sababu ya mafanikio ya city alionekana bonge la mchezaji

Amario cozier-duberry was made part of the USA Tour irrespective of Nelson involvement.

"Kwa ufahamu wangu, hajakubaliana chochote na mtu yeyote na watu wake wa karibu wanashangazwa na ripoti hizi ambazo zinazunguka kwamba amekubali chochote na klabu ya Saudi.