Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jack Grealish first two PL seasons at City:

3980 minutes
8 goals
10 assists

Nicolas Pépé first two PL seasons at Arsenal:

3627 minutes
15 goals
7 assists

Pépé contributed more goals in nearly 6 less hours of football.
Guess which is labelled a flop…
 
Nicolas Pepe, Sambi Lokonga, Cedric are out of Arsenal squad travelling for pre season tour. ️ #AFC Emile Smith Rowe and Thomas Partey will join the team next week.
 
Reiss Nelson stays in the UK to build up fitness or recover from injury.


Reports, @kayakaynak97.
 
Hiki kitu nimekuwa nakiogopa kwa muda sana.huyu dogo akipata 6 months consecutively bila kuugua au kupata majeraha anatrain na wenzie na akapata some minutes, atasababisha matatizo makubwa kwenye squad selection.
Dogo ana ile spirit ya kiingereza,anakasi,anapiga looseball,ana cut in vizuri tu badala ya kukimbilia kwenye kona halafu anapiga mashuti over lampard au jerad.

Kama arteta anadhani amemaliza basi asubiri tatizo la ESR na trossard.hawa watu hawakwambii nipange ila kila ukipanga unajiuliza unawaachaje nje na nani atakuelewa.vieira asipokaza basi ataozea nje
Unapomtaja Vieira kwakweli yule bwana t-bag ajipange ama sivyo atatolewa kwa mkopo maana yupo kimayai mayai sana hata Nwaneri anamzidi physicality
 
Isipokua kupunguza mabeki na vision ya pasi ila Balogun anapanda, anashuka anakua involved kwenye game vizuri kuliko Nketiah.

Yaani ST hafungi ila wote mnaridhika akicheza
Yes, balogun na nketiah.. mie naenda na balogun.
 
Nilisema tutarudi steps nyuma tukiuza Partey kisa tuna Rice.

Miongoni mwetu kuna wanaoamini kwamba Jorginho ni mzuri kuliko Partey, kwamba unaweza drop Partey kisa una Jorginho. Flexibility, vision na agility anavyo Partey katika hivyo 3 Jorginho anakupa vision tu.

Partey anakupa pace, siyo kubwa ila Jorginho haifikii.

So kuna games tutakua exposed vizuri tu dimba akisusiwa Jorginho
Patey atabaki kuwa partey, tungemtumiq walau msimu huu kwa mara ya mwisho.
 
Katika wachezaji wamepita arsenal na nikamkubali mnoo basi hleb, arshavin na mtakatifu cazorla, hawa viumbe.. waachwe kama walivyo.
Mie sio mshabiki wa arsenal ila katika list yako umemsahau the little mozart,sema majeruhi yalimkatili sana yule mwamba.
 
Hleb alikua mkarateka so alikua mwembamba ila yuko fit

Kuna interview moja akasema haelewi ilikuaje akaenda Barcelona, anaamini kwenda Barcelona ndiyo kulimaliza career yake
Binafsi vieira namuona msimu huu na ujao nae ataanza kuclic ikumbukwe wareno huwa ni washindani na wanavipaji mimi simkatii tamaa wala simdiss mwili wake jamaa ni gifted ila bado maturity yake naona ndo ttz kuna wachezaji vijana huchukua misimu miwil au zaid kuwa bora.

Ikumbukwe kipaji hiki kilisumbua san kwenye michuano y vijan pia kabl ya kuja arsenal sema tu demand yetu ipo juu,yaan uhitaji juu ya uhitaji hivo inamlazimu mwalimu kupanga strong squad kila mechi sabb europa tulitolewa na sporting kizembe san huenda tungechukua ile ndoo sabb tulikuwa bora kuliko timu nyingi za Europa.
Bado nasimama na VIEIRA ,ESR ningependa balogun nae tuwe nae unawez uza dhahabu ukajuta
 
Jack Grealish first two PL seasons at City:

3980 minutes
8 goals
10 assists

Nicolas Pépé first two PL seasons at Arsenal:

3627 minutes
15 goals
7 assists

Pépé contributed more goals in nearly 6 less hours of football.
Guess which is labelled a flop…
Yaani unafananisha impact ya Grealish na Pepe hebu kuwa serious Hamis77 you are better than this😮

Grealish: EPL (2), FA cup, Champions League kombe,. Trebble 2023. Amekuwa mchezaji muhimu msimu wa 22/23 panga pangua Grealish kamiiiki namba winga ya kulia kampokonya Foden.

Pepe: 🅾️

Nani Flop unaanzaje kujaribu kumfananisha Grealish na Pepe
 
Back
Top Bottom