Tuombe zibaki rumours tu Kama zile za Xhaka mwaka Jana mwisho akabaki ,
Akipaki Partey ,nakuhakikishia Castr tutatoa vipigo Sana ,
Maana huko FA unaweka Jorginho , EPL unaanza na Rice Partey Øde, Jumanne UCL unacheza na Kai Rice Øde
Wachezaji hawachoki na quality inakuwa juu
Kuna factors naziona zitatu favor, moja city hawez kuwa Bora zaidi coz anawapoteza mahrez ,Bernado, Gundo,Walker , Laporte, na fitness ya KDB imeanza kuwa tatizo ,
Liverpool ambaye anaonekana anarejea tayari kashaanza kujipiga risasi , ameondoa watu 6 ,Hadi sasa kasajili wawili ,anatafuta DM wa uhakika ,
Spurs ,wanauza Kane ,
Manjesta na Chelsea Sina haja ya kuwazungumzia wanajulikana Kama Chelsea ile sio timu nikikundi Cha mdundiko