Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ni vzr kusema kile Ambacho ww kinakufanya ufurahi.Hadi kufikia 2015 afrika kulikua hakuna shabiki wa man city. Kutoka vyanzo vya kuaminika
Kikawaida ilikua ngumu kushabikia laliga alafu usiwe na timu epl
Plastic fans Uzi wenu unawachangiaji watatu tu
Mathematical exponentially mmeanza kuishabikia 2019, na sio Kama unavyotaka kudanganya watu hapa
Kwhy mm nakuelewa unatak kujifuraisha na siwez kipangana na ilo ww endelea kuamin kile kinachofany ww upunguze machungu ya kua shabik wa Arsenal.
Arsenal hata Mungu akikupa Golden chance uishi hata miaka 200 sidhan kama kuna siku utaiona inabeba UCL.
Kwhy najua machungu yenu yanatokea wap na ninakuelewa mkuu.






