Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal not done in the market yet. They are still in the market for a new right-sided forward

(@johncrossmirror )
 
Bellingham tupo pamoja
Ila Tchoumeni technically kwenye ni mid ni mzuri mno mno mno

Ndio maana camavinga anacheza full back, coz ukimtoa Tony / modric anaefata ni Tchoumeni
Dream team ya Madrid pale mido wawe Tchoumeni, camavinga

Caicedo so far ni mchezaji mzuri
Japo msimu mmoja zaidi aoneshe uwezo zaidi
Kuweka €100m ni kamari Kama kamari zingine tu
Tchoumeni namuona Kama kiungo flan mgumu , napenda viungo like Lavia ,Kuna takwimu moja ya Lavia inasema katika press 10 alizofanyiwa alipoteza mpira mara moja tu
 
Last season tumemtegemea sn Zinny kuimplement tactics, ila ukiwa na Timber, caicedo, zinny, Rice &Arteta on the wheel, you're unstoppable. Una switch unavyojisikia.
Brother naomba nieleze potential kubwa ya rice na mimi niwe na muuadmire kama wewe,maana mimi nachangamoto ya kupenda viungo wanoweza kuchezea sana mpira na wako comfortable na mpira kama partey na lavia
 
Brighton had long standing interest in Matt Turner as a potential #1 before but now with their GK signing, doesn't seem an option. Arsenal will keep the player unless he asks to leave

(@gunnerblog on youtube)
youtube.com/watch?v=macB_V…
 
Hein to go on loan again.

Runarrson most likely loaned or sold. Arsenal want 1.5-2m pounds

Experienced third choice could still come late in window

(@gunnerblog )

youtube.com/watch?v=macB_V…
 
Kumfananisha na pepe ni ujinga, yees Grealish hana stats za maana sana ila kwa pepe hells no!!! Jack ana dribble unaona kabisa mabeki wanaogopa kumkaba na anavuta mabeki wanakuja kwake na kuachia nafasi kwa watu wengine , pepe hata sijui alikua anafanya nini uwanjani yeye mwenywe muoga kukaa na mpira ndo hawezi akishika mpira unajua tu huu Umepotea!!

Panga pangua ya man city grealish ulikua humkosi this season alikua hakosi first 11, sio mafanikio ya timu yamembeba bali yeye pia amechangia mafanikio ya timu
Hawa mkuu wanatak wewe uweke hapa G/A za Grealish yan bila izo hawa hawawez kuona impact yake kwa City msimu huu.

Pep sio fala wala sio mjinga msimu huu Panga pangua Grealish alikua anaanza.. Sasa sijui hawa wanatk kusema impact gani wao wanatk kuona ambayo Pep mwnyw anamuamin hlf mtu yuko namtombo anatk kusema Grealish hana impact yoyote, wazungu wanasema "it's laughable"

Mou once said:"So, when I analyse the game today, I think the difference was, you can go for stats. That's the way people that don't understand football analyse football, is with stats"
 
Burnley would prefer to sign Lokonga on a permanent deal .

(@gunnerblog )

youtube.com/watch?v=macB_V…
 
Pepe training alone mostly. Not seen as part of group and not reintegrated back to group.

(@gunnerblog )

youtube.com/watch?v=macB_V…
 
Tchoumeni namuona Kama kiungo flan mgumu , napenda viungo like Lavia ,Kuna takwimu moja ya Lavia inasema katika press 10 alizofanyiwa alipoteza mpira mara moja tu
Kwenye mid pia lazima umpate mtu mgumu, ndio maana as fans hatupendi kusikia habari za partey kutaka kuondoka

Nyumbu Wana casimiro

Kenge walikua na Ngoro kante mkata umeme

Liverpunda walikua wijnaldum

City walikua na Yaya toure pia na ferdinand

Moja Kati ya kuyumba kwa arsenal kwa misimu ya hivi karibuni ilikua kukosa mtu wa aina hiyo
Ndio maana mid yetu ilikua ina vuja Sana

Ukiwa na;
rice/odegard/Saka/martinel/Jesus/Kai/trossad/Rowe/nelson/nketiah/Fabio
Inabidi uwe na mtu mweusi mkatili mgumu wa kuwafanya Hawa wawe bora

Lavia ni mzuri aje Kama backup ina maana aingie taratibu taratibu
Akiondoka partey Basi aje Tchoumeni hakuna hakuna Basi atue huyo caisedo
 
Amario cozier-Dubbery balaa jingine hilo mbavu ya kulia,akiweza kuyafanya mambo yake pasipo presha,SAKA atapata mrithi sahihi....
Nelson safari ya soka inaweza kufupishwa na majeraha.

Fabio Vieira ajaribu kumuiga Leon Goretzka inaweza kumsaidia,ila fabio itakuwa anashida kubwa ya kiafya.

Elneny nae sio mchezaji wa kumtegemea yeye anachoweza ni kukamia mechi mbili au tatu msimu mzima

Trossard ndio kiraka chenye fitna kinacheza nafasi zisizopungua 4

Wamalize na Romeo Lavia halafu Patei abaki,Joginho kwa ajili ya mechi kadhaa

Alex Runnarson,Trusty wameenda kufanyaje huko marekani?maana sijawaona kama wanaendana na arteta kwa sasa
Trusty In
Holding Out
 
Kwenye mid pia lazima umpate mtu mgumu, ndio maana as fans hatupendi kusikia habari za partey kutaka kuondoka

Nyumbu Wana casimiro

Kenge walikua na Ngoro kante mkata umeme

Liverpunda walikua wijnaldum

City walikua na Yaya toure pia na ferdinand

Moja Kati ya kuyumba kwa arsenal kwa misimu ya hivi karibuni ilikua kukosa mtu wa aina hiyo
Ndio maana mid yetu ilikua ina vuja Sana

Ukiwa na;
rice/odegard/Saka/martinel/Jesus/Kai/trossad/Rowe/nelson/nketiah/Fabio
Inabidi uwe na mtu mweusi mkatili mgumu wa kuwafanya Hawa wawe bora

Lavia ni mzuri aje Kama backup ina maana aingie taratibu taratibu
Akiondoka partey Basi aje Tchoumeni hakuna hakuna Basi atue huyo caisedo
Tchouameni hamna kitu
 
Inter Milan have made Folarin Balogun their no1 striker target and are ready to make a bid for him. Inter are unable to meet the £50million asking price, but could insert a buyback clause and sell on % if future sale

(@NizaarKinsella)
IMG-20230716-WA0028.jpg
 
Ah yani ni hamna kitu kwa hela iliyotolewa ila siyo lkwamba ni kiazi kabisa kabisa
Madrid naona anapambwa Sana ila bila wale wazee wawili Luka na Kross ,wale watoto Jude , Tchoumeni,Cebalos na Camavinga ,ni middle ya kawaida tu, pale namkubali mtu mmoja mapafu ya mbwa Fede valvede

Huyu Jude hata National team ilikuwa had acheze na wakabaji wawili ndio angalau unamuona

Kuna mechi Vs USA , na Canada , Southgate aliweka Nadhani Mount Rice Jude , Dk 45 zilitosha Jude hoi ,

Tchoumeni bado namfatilia kwa karibu maana hata Madrid hajawa starter, na naamin Madrid wakimpata mtu wakumuuzia kwa €80m fasta wanafanya biashara
 
Aliyekuja akaclick easily ni Camavinga. Tena walimchukua kwa 40M nafikiri ile aibu ya mchezaji wa pili ghali anakua flop baada ya Hazard ndiyo imesababisha alazimishwe kucheza.

Kwa Hazard baadaye wakarusha taulo ulingoni wenyewe tusubiri kwa Aurelien
 
Kiuongo tegemezi kwenye mid ya timu ya taifa ya ufaransa kwa nimuonavyo nafikiri nimchezaji mzuri sana
Labda agewe muda. Kwa sababu pale ilitarajiwa aje amrithi Casemiro, akaonekana hajaiva akala bench akiwa anatokea sub na majeruhi yakamvaa.

Majeruhi yameisha Camavinga akarudishwa beki akaachiwa dimba lakini bado Camavinga unamuona anatawala dimba kuliko Tchouameni
 
Aliyekuja akaclick easily ni Camavinga. Tena walimchukua kwa 40M nafikiri ile aibu ya mchezaji wa pili ghali anakua flop baada ya Hazard ndiyo imesababisha alazimishwe kucheza.

Kwa Hazard baadaye wakarusha taulo ulingoni wenyewe tusubiri kwa Aurelien
Oya umesikia huko Barcelona kaonywa na mancity alipe €40m za Ferran Torres zilizobakia ,maana aliuziwa kwa €55m ,15 alizilipa kwa installment, 40 had Sasa hajalipa

Kipind Ferran anaenda Barca niliona utapeli wa Waz kabisa ,
 
Back
Top Bottom