Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

|| Inter wameripotiwa kutoa ofa ya €40m kwa Balogun, jambo ambalo Arsenal wameomba.

Kuna njia mbili hili linaweza kutokea, ama Inter ilipe kwa awamu tano au mkopo wenye wajibu

Arsenal inataka Ada ya €55m (£50m) au inter walipe €40-45m lakini waweke kipengere Cha % ya mauzo na kipengere Cha Arsenal wakimuhitaji

Balogun amepewa mkataba wa miaka 5 wenye thamani ya £56k PW


Chanzo ni @RaiSport -ITALIA
 
Cheki huyu mzee anavyoota vibaya
1689591768020.png
 
Mikel Arteta took the technical decision to leave Cédric Soares back in the UK. The player is not close to leaving as of today, but his situation is likely to develop in the coming weeks.


Reports, @ChrisWheatley.
 
Cheki huyu mzee anavyoota vibaya
View attachment 2690978
Wewe ndio unaota ,

Mwaka 2003 Arsene Wenger alisema msimu ujao Arsenal itamaliza Ligi bila kufungwa ,media zilikebehi na kuongea shit, wakisema "Comical Wenger" ,nakupa homework nenda kwenye dictionary kaangalie maana ya neno "Comical"

Mwaka 2004 ,Arsenal ilimaliza Ligi bila kufungwa , na Wenger akanyanyua T-shirt iliyoandikwa Comical Wenger

Rekodi hiyo ni ngumu kuvunjwa , wahafidhina wa football wanasema itavunjwa na Arsenal wenyewe


Usiichukulie Arsenal hii sawa na Chelsea ambayo inapambana kuingia top 10
download.jpg
download%20(1).jpg
 
Arteta amtimua Cedric kuelekea pre season


Mikel Arteta took the technical decision to leave Cédric Soares back in the UK. The player is not close to leaving as of today, but his situation is likely to develop in the coming weeks.


Reports, @ChrisWheatley.
 
KUNA MTU ATAPINGA TU


Arsenal now have the most valuable Squad in the World!

Overtaking Man City!

(According to @Transfermarkt)
20230717_142533.jpg
 
Arsenal goalkeeper Arthur Okonkwo can leave the club on a permanent deal this summer. Okonkwo, who only has one-year left on his current deal, is subject of interest from clubs in England & across Europe.


[@FabrizioRomano] #afc
 
Ada ya £105m pamoja na £5m kwa Declan Rice ni zaidi ya Arsenal walikuwa wameweka benki kwenye matumizi - walikuwa wameanza harakati hizo wakihisi bei ya mwisho itakuwa £70m-£80m, hata hivyo, wanaamini wamenunua mchezaji ambaye hawezi kulinganishwa katika nafasi yake.


[@TheAthleticFC]
20230716_161716.jpg
 
Ferguson katili sana alimdhalilisha mzee mwenzie Wenger. Kwa dharau akampangia winga ya mapacha.
20230717_143645.jpg
 
Niwe mkweli Bellingham, Tchoumeni, sijawahi waelewa nasubiri uwanjani nithibitishe ,

Bissouma sikuwahi muamin had leo

Caicedo nahitaji nimuone msimu mwingine isije kuwa ni one season wonder tu

Caicedo na mtu na nusu, nilisikitika tulipomkosa. Angekuja, ningesema tupo guaranteed na ubingwa kwa asimilia >90
 
Kocha wako akili yake itamtuma Rice acheze lone DM. Akifanya hivyo andaeni kapu la magoli.
Duh ,kipi Cha ajabu wakati last season tumecheza lone DM , na tumefunga magoli mengi Sana ,

Arsenal Hadi mechi ya 29 nadhani tulikuwa tumefungwa goal 27 tu, alipoumia Saliba ,Tomiyasu ndio defence ikasheki


Kucheza na Lone DM tunacheza Arsenal na mancity tu kwa EPL ,hata Liverpool hachezi hivo,

Nadhani wewe unaifananisha Sana Arsenal na manjesta kitu ambacho ni makosa
 
Arsenal iliharibu mahusihano na uongozi wa Brighton mwezi Januari kwa kung'ang'ania kumsajili Moises Caicedo. Kulikuwa na hisia kwamba Chelsea walikuwa wamefanya mambo mengi ya msingi kabla ya dirisha hili kuhusu kumsajili Caicedo ,lakini Arsenal walifanya mazungumzo kwenye kambi ya mchezaji huyo wakati maendeleo yalionekana kuwa polepole na West Ham juu ya ada ya Declan Rice.


[@TheAthleticFC
 
I think Arsenal will reject

Arsenal want at least €50m

Or Loan with obligation to buy for €50m

Inter have offered 40m euros for Balogun

(Rai Radio via @SempreIntercom)
 
Oya umesikia huko Barcelona kaonywa na mancity alipe €40m za Ferran Torres zilizobakia ,maana aliuziwa kwa €55m ,15 alizilipa kwa installment, 40 had Sasa hajalipa

Kipind Ferran anaenda Barca niliona utapeli wa Waz kabisa ,
Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichi

Ingekua Arsenal wana hii drama kuna watu wangekesha humu
 
Back
Top Bottom