hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,286
- 26,685
Balogun anaenda ku fanya vizuri Sana halafu inter watamuuza kwa €100m , balogun nimemuangalia Tena mech ya juzi movement zake za haraka kusaka goli , ni vile mashabiki tunaangalia end product SanaHuyo dogo hatari sana.
Ila timu anayoenda imeuza watu wa msingi wengi wengine wameenda Saudi na wengine wamebaki Ulaya.
Inasemekana Lautaro pia anataka kuondoka.
Lukaku anasakwa na Juve ila ndo Juve hadi iuze Vlahovic.
Ataenda kwenye timu ambayo inataka kujitafuta, kama mashabiki hawana uvumilivu wakatarajia instant results watampa presha sana.
Ila ukimchunguza vzr kwa Seria A anaenda kupiga goli nyingi tu
Kinachomuondoa Arsenal ameshindwa kuhakikishiwa namba moja kwa moja na Sasa anahitaji acheze kila wiki
Mazungumzo kati ya Arsenal na Inter yatafanyika ili kujadili ada inayowezekana kwa Folarin Balogun.
