Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ikatokea Kai kaclick na kawa ngumu kumuweka nje baadaye sana tutajikuta inabidi tucheze na back 3 ili kumpa namba White, Kai, Timber, Rice, Trossard, Partey
Nahisi huu mfumo tutaucheza Sana , Kiwior Saliba Magalhaes ,timber atakuwa anakuwa kiungo na Partey , Rice au kai na ode juu
 
Ikatokea Kai kaclick na kawa ngumu kumuweka nje baadaye sana tutajikuta inabidi tucheze na back 3 ili kumpa namba White, Kai, Timber, Rice, Trossard, Partey
Kwangu mimi ningekuwa kocha ningeachana na jorginho frelo nikabaki na partey halafu lavia akaja kama backup ambaye anaingia taratibu.
Baada ya msimu mmoja au miwili lavia anakuwa starter.

Kwangu mimi jorginho ni upcoming liability.ni muda tu utasema
 
Tulikua na Guendouz. Ana spirit kubwa ya kupambana ila tatizo lake kwangu mimi ni jamaa hana pace, stamina, control wala technic.

Nikawa nasema achague kukomaa na control na trchnic kama stamina na pcae vimemshinda. Hadi anaondoka hakuna alichokua amemaster.

Sasa hivi tuna Vieira, intelligent player ana technic but haitoshi kwa EPL. So jamaa anasumbuka mno kufanya anachotamani akifanye pale dimbani.

Hii preseason aitumie kutafuta nguvu. Goretzika ilibidi atransform mwili ili akikaa dimbani awe na impact.
Viera huu msimu autumie vizuri Sana ,namba yake Ina wengi maana had Trosaard anacheza humo
 
Kwangu mimi ningekuwa kocha ningeachana na jorginho frelo nikabaki na partey halafu lavia akaja kama backup ambaye anaingia taratibu.
Baada ya msimu mmoja au miwili lavia anakuwa starter.

Kwangu mimi jorginho ni upcoming liability.ni muda tu utasema
Jorginho walimchukua Kama short term ,kabakiza msimu mmoja tu atasepa ,
 
Tulikua na Guendouz. Ana spirit kubwa ya kupambana ila tatizo lake kwangu mimi ni jamaa hana pace, stamina, control wala technic.

Nikawa nasema achague kukomaa na control na technic kama stamina na pace vimemshinda. Hadi anaondoka hakuna alichokua amemaster.

Sasa hivi tuna Vieira, intelligent player ana technic but haitoshi kwa EPL. So jamaa anasumbuka mno kufanya anachotamani akifanye pale dimbani.

Hii preseason aitumie kutafuta nguvu. Goretzika ilibidi atransform mwili ili akikaa dimbani awe na impact.
Guendouz tatizo lake lilikuwa kujua position yake ipi ,muda gan awepo wapi ,hili tatizo hata Lokonga alikuwa nalo ,Kuna mechi Øde kidogo amchape vibao

Mchezaji akijua muda gan anatakiwa awepo wapi inasaidia Sana mkipoteza mpira kuurudisha

Vieira namuona anakuja taratibu na anahitaji mech hasa za FA na Carabao
 
Kuna muda ule mwili wa vieira kama namuona Alexander hleb kwa mbali hata ile kuwa technically gifted
 
Guendouz tatizo lake lilikuwa kujua position yake ipi ,muda gan awepo wapi ,hili tatizo hata Lokonga alikuwa nalo ,Kuna mechi Øde kidogo amchape vibao

Mchezaji akijua muda gan anatakiwa awepo wapi inasaidia Sana mkipoteza mpira kuurudisha

Vieira namuona anakuja taratibu na anahitaji mech hasa za FA na Carabao
Alikua ana pasi zake miyeyusho za kusakizia. Unamuona anakimbizwa na wapinzani wenzake wanatafuta position mtu kabla hajasettle vizuri anamsusia mpira wakati nyuma yake ana wapinzani 2 wanamfuata
 
Tuombe zibaki rumours tu Kama zile za Xhaka mwaka Jana mwisho akabaki ,

Akipaki Partey ,nakuhakikishia Castr tutatoa vipigo Sana ,

Maana huko FA unaweka Jorginho , EPL unaanza na Rice Partey Øde, Jumanne UCL unacheza na Kai Rice Øde

Wachezaji hawachoki na quality inakuwa juu

Kuna factors naziona zitatu favor, moja city hawez kuwa Bora zaidi coz anawapoteza mahrez ,Bernado, Gundo,Walker , Laporte, na fitness ya KDB imeanza kuwa tatizo ,

Liverpool ambaye anaonekana anarejea tayari kashaanza kujipiga risasi , ameondoa watu 6 ,Hadi sasa kasajili wawili ,anatafuta DM wa uhakika ,

Spurs ,wanauza Kane ,

Manjesta na Chelsea Sina haja ya kuwazungumzia wanajulikana Kama Chelsea ile sio timu nikikundi Cha mdundiko
Nyumbu na Kenge ni wakuwaonea huruma mkuu
Hizo spana unazowapiga utawaua Sasa[emoji1]
 
[emoji599] AC Milan are also interested in signing Folarin Balogun. Inter are very keen on the American striker.[emoji837][emoji1258] #Milan #FCIM #AFC

(via @DiMarzio[emoji281])
 
Nyumbu na Kenge ni wakuwaonea huruma mkuu
Hizo spana unazowapiga utawaua Sasa[emoji1]
Oya Kuna mechi naweza kuzikumbuka Degea aliwabeba Sana ,vs Leicester ,Fulham, wolves ,n.k hata 10 zinafika walikuwa waache point , Hawa walitembea Sana na upepo wa Rashford na Bruno na Degea ,

Unamleta onana ,beki varane old fashioned, kiungo mount na casemiro ambaye ukabaji wake ni mpaka apige tackling maana si mzuri kwa passing , maana yake turnover nyingi watamkumbuka Degea ,mark my words

Acha watupigie kelele humu kina Flano na genge lake
 
1. Arsenal
.
.
.
.
7. nyumbu
.
.
.
.
11. Chelkenge

Msimo wa ligi, itunze hiyo
 
[emoji599]Emile Smith Rowe and Thomas Partey to join Arsenal next week on USA Tour

(Arsenal)
20230716_170402.jpg
 
Arteta kashawatimua Lokonga ,Pepe na Cedric

[emoji599] || Cedric, Lokonga, ESR and Partey not traveling to America with the squad.

Thomas and ESR “are expected” to fly next week,

Pepe,Lokonga and Cedric are out.
20230716_170447.jpg
20230716_170415.jpg
 
Jack Grealish first two PL seasons at City:

3980 minutes
8 goals
10 assists

Nicolas Pépé first two PL seasons at Arsenal:

3627 minutes
15 goals
7 assists

Pépé contributed more goals in nearly 6 less hours of football.
Guess which is labelled a flop…
 
Nicolas Pepe, Sambi Lokonga, Cedric are out of Arsenal squad travelling for pre season tour. [emoji837][emoji836]️[emoji732]️ #AFC Emile Smith Rowe and Thomas Partey will join the team next week.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom