Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Van persieeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vipi
Dakika ya ngapi??Song nae kwa kadi mapema yote hii.
Dakika ya ngapi??
Timu yetu bila Cesc Fabregas na Samir Nasri inacheza kabumbu ileile labda tu Fabregas ana uwezo wa kufungua ngome. Lakini tuna imani na Aaron Ramsey.
Umetuchoka kweli mazee.... Una maana sie ni WABOVU ila sio SANA??? haya bana..... Siku tukimit ndo utarekebisha ulichoandika... Au utasahau?????
Timu yetu bila Cesc Fabregas na Samir Nasri inacheza kabumbu ileile labda tu Fabregas ana uwezo wa kufungua ngome. Lakini tuna imani na Aaron Ramsey.
Wiltshere naona ame-tweet aingizwe Theo, LOL naona yeye ndio amegeuka Wenger sasa!
Kijana JW ameshaanza kutwit wanamuhitaji TW ... .....