Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Hizi punda hazielewi hayo. Kikubwa zinafahamu zimevunja kibubu maana ilikuwa sio kawaida yao.Sasa sio mngesema tu tuwape Fred eti naongea na nyinyi Wenger orphans [emoji849][emoji849]View attachment 2689124
Hapana tunahitaji ile profile la Eddie kwenye baadhi ya game.Folarin Balogan yupo ni option nzuri kuliko Nketia.
Hakuna kitu kitanifanya nijiamin zaid kama kubaki kwa ParteyPremier league wameweka hii video ,nataman kumuona Rice Kama no.8 alongside Ødegaard, DM Partey ,
Hebu mtafute siku moja, mfanye kikao cha dharura. Agenda iwe muda wetu, Arsenal, wa kutamba unaisha lini. Maana mnatuchanganya sisi mashabiki.We all know ni wakati wa arsenal fans kutamba huu ni muda wenu tumieni vizuriii kuanzia August mpaka December ila ikifika january up to may watatamba wengine[emoji23][emoji23]
Hii deal is materialize.too badBora Tukamng'oa Tchoumeni tu pale bernabeu
I wish deal la partey lizingue
Wamchukue tutashukuru sanaBalogun to Inter[emoji102][emoji102]
Jamaa wamejaa hasira Sana ,walidai Rice haji Arsenal,mara hatuna hela ,na bla blaa kibaoHahahah wewe jamaa muda sio mrefu unakua mchawi, umetaja Aston vila,Newcastle, Liver,Man u, Brighton chelsea wana kocha mpya lakini ulipofika kwa Arsenal umesema sajili zao kuna ku click au hapana asa kama sio uchawi ni nini? Kwan hizo team zingine wachezaj wake wanaenda ku click moja kwa moja aiseee izi chuki sio mchezo aiseee[emoji16][emoji16],
Mimi nadhani kwa Nketiha shida ni offer
Kama mimi navyomuona Mchele, wakawaida. Seriously hata Martinell simuelewagi! ila nashangaaga kondoo mnavyomuelewa.Hata mm huyo dogo sijawahi muelewa ,labda Lavia
Martinelli msimu huu amefunga magoli 15 bila goli la penalt na assist 5 msimu huu na ndio kwanza alikuwa ana miaka 21.Kama mimi navyomuona Mchele, wakawaida. Seriously hata Martinell simuelewagi! ila nashangaaga kondoo mnavyomuelewa.
[emoji16][emoji16][emoji16] inabidi tumuulize Mc hamisi masingeli hizo fezi mwisho wake ni ngapi kwanza?Umesaahau na fezi fo[emoji23][emoji23][emoji23]....
Kaka flano ukihadithiwa hiyo fezi fo na hamis 77 unaweza sema hawa mwaka huu hamna hamna yuefa hii hapa,ligi hii hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Ila mpira wa kuongea hasa kipindi cha usajili huoni makosa[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua haya mambo ya rebuilding kugawanywa katika phases ndogo ndogo hutayaona katika timu kubwa haya mambo hufanywa na timu ndogo. Wewe jifikirie Arsenal huu ni mwaka wa ngapi imeanza rebuild hizo phase za mradi wa reli ya standadi geji hazikamiliki tu? Au zipo phase 20?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au umeme wa rea
Sio uchawi ndugu ni scientifically proved. Hapo hatujaongelea factor kama mentality ya Arsenal kufukuzia ubingwa kwa siku 200+ na kuupoteza wiki za mwisho wachambuzi nguli na wataalamu wa saikolojia wanasema fighting spirit ya Arsenal itashuka na mifano hii imetokea kwa timu nyingi hapo nyuma.Hahahah wewe jamaa muda sio mrefu unakua mchawi, umetaja Aston vila,Newcastle, Liver,Man u, Brighton chelsea wana kocha mpya lakini ulipofika kwa Arsenal umesema sajili zao kuna ku click au hapana asa kama sio uchawi ni nini? Kwan hizo team zingine wachezaj wake wanaenda ku click moja kwa moja aiseee izi chuki sio mchezo aiseee[emoji16][emoji16],
Yaani ushindi unakuwa kama tayari.Hakuna kitu kitanifanya nijiamin zaid kama kubaki kwa Partey
Una Dm ya
Partey
Rice
Jorginho.