Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Hahahah wewe jamaa muda sio mrefu unakua mchawi, umetaja Aston vila,Newcastle, Liver,Man u, Brighton chelsea wana kocha mpya lakini ulipofika kwa Arsenal umesema sajili zao kuna ku click au hapana asa kama sio uchawi ni nini? Kwan hizo team zingine wachezaj wake wanaenda ku click moja kwa moja aiseee izi chuki sio mchezo aiseee[emoji16][emoji16],