Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,093
- 3,151
Haya kila kheri mshabiki Lia Lia wa Newcastle ,Kuna uzi wenu humu kaufufue
Thanks!! Tukutane hio August . Humu hatuwezi kuondoka sababu ni sehemu ya kufurahii na story za uongo uongo nyingi zinatupa raha hiki ni kijiwe cha epl fans wote humu , hongera mkuu kukifanya hiki kiwe kijiwe bora zaidiii ndo maana humu unaona wapo chelsea , man city, man utd , Liverpool na mimi kijana mpya wa “ THE MAGPIES”
Huwa tunakumiss ukikimbia maana ukweli usemwe tu huwa unalifurahisha na kulichangamsha jukwaa hili
(@Transfermarkt)
David Ornstein on Arsenal’s pursuit and capture of Declan Rice:
. Hichi ndo kinafanya bado niumie na habari za arsenal
so wewe nivumilie tu maana safari niliyotoka ni mbali kuikatisha kwa ghafla ni ngumu.