Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rice -

"I really believe in what Mikel is building."

(Arsenal)
20230715_155128.jpg
 
Yote hayo nimeyaona , ila mm mlevi Sana wa wachezaj wanaopiga pass kwa usahihi , halafu Rice nimeona anacheza 8 vzr kabisa ,

Nataman kuwaona na Partey jumlisha Zinny , Øde

Jesus ashindwe yeye tu

Martinel. ...........9. .........Saka
.
.
. . ..........Rice. ........... Odegard
.
.
........... ...........Partey
.
.
Zincenko. ......saliba. .Gabriel........Timber


. .....................Rambo
.
.
Hiko ndio kikosi changu jamani

Hapo namba Tisa ata ukimuweka magwaya ata-shine tu

kuta vilabu havitaleta timu uwanjani

#ArsenalNDOO
 
Martinel. 9. Saka
.
.
. . Rice. . Odegard
.
.
. .Partey
.
.
Zincenko. saliba. .Gabriel. Timber


. .Rambo
.
.
Hiko ndio kikosi changu jamani

Hapo namba Tisa ata ukimuweka magwaya ata-shine tu

kuta vilabu havitaleta timu uwanjani

#ArsenalNDOO
Hapo 9 Kuna mechi acheze Kai havertz
 
Martinel. 9. Saka
.
.
. . Rice. . Odegard
.
.
. .Partey
.
.
Zincenko. saliba. .Gabriel. Timber


. .Rambo
.
.
Hiko ndio kikosi changu jamani

Hapo namba Tisa ata ukimuweka magwaya ata-shine tu

kuta vilabu havitaleta timu uwanjani

#ArsenalNDOO
Hapo 9 Kuna mechi acheze Kai havertz
 
MAMBO 6 YA KUJUA JUU YA RICE

Kwakuwa Declan Rice anajiunga na Arsenal, tumeona kuna haja ya kusema haya.

. Goli la kwanza la Declan Rice kwenye Ligi kuu England lilikuwa dhidi ya Arsenal.

. Declan Rice kwasasa ndie mchezaji ambae amecheza michezo mingi kwenye wachezaji wenye miaka 20-29. Hadi sasa amecheza michezo zaidi ya 200 ya Ligi Kuu England.

2014, Rice alitemwa na Akademi ya Chelsea na kusajiliwa Akademi ya Westham. Frank Lampard amasema alipendekeza jina la Rice kwenye msimu wake wa pili, baada ya Chelsea kuruhusiwa kusajili, lakini uongozi haukutilia maanani.

Declan atakuwa mtu wa pilli mwenye jina la Rice kuchezea Arsenal. Wa kwanza alikuwa Mkongwe Pat Rice. Na kwa mara ya kwanza tangu klabu kuundwa itakuwa na mchezaji mwenye jina la Declan.

Declan Rice ndie mchezaji aliyezuia mipira mingi kwenye kuunda mashambulizi wapinzani (interception) LigiKuu. Mara 63, akifatiwa na Caicedo mara 56.

Declan Rice anaondoka akiwa ameisadia Westham kupata taji la UEFA conference League, taji la kwanza baada ya miaka 43 ya ukame... tuna maanisha Westham hawakuwa na kombe hata la mbuzi kwa miaka 43
20230715_155050.jpg
 
Nimefurahi kuona jinsi Arteta na uongozi wa Arsenal kwa Jumla ulivyofanikiwa kurejesha matumaini ya mashabiki wa Arsenal Ulimwenguni kote.

Nimeona hata kwenye hili Jukwaa letu vile baadhi ya Wakongwe wamerudi japo kwa kuchange IDs.

We are Arsenal 💪
 
Castr

Arteta anataka acheze na namba 8 wawili Kai na Øde

Ila anaamini Rice ndiye anaweza kuwalinda maana ana uwezo mkubwa wa interception,passing n.k

Thus why sisi wahafidhina tunaamini Kai atafunga goals nyingi sababu ana asili ya kufanya Sana movement kwenye goals , hivo atakutana Sana na nafasi


"Arteta sees Rice as possessing the athleticism and ball-winning ability needed to complement Havertz and Martin Odegaard either side of him." -

@David_Ornstein
IMG_20230714_070444_885.jpg
 
Newcastle ikibadili kocha inakua City mpya

Eddie howe huyu anatosha trust me! Newcastle msimu uliopita Draw nyingi ndo zilimchoma ame lost 5 games only sawa na city pamoja na injuries zote zile.
Game 5 za Newcastle za kwanza zote ni moto namsikilizia nione anapita vipi hapa
Aston villa, man city, Liverpool and then brentford akipita hapa ni direct real title contender sio kama mwaka jana unajiita title contender then city anachukua ubingwa hata bila kucheza mechi, ubingwa unachukuliwa wachezaji wanakunywa wine bar!
 
We all know ni wakati wa arsenal fans kutamba huu ni muda wenu tumieni vizuriii kuanzia August mpaka December ila ikifika january up to may watatamba wengine
Haya kila kheri mshabiki Lia Lia wa Newcastle ,Kuna uzi wenu humu kaufufue
 
Declan Rice (Fans)


“One thing about Arsenal is the fans are so passionate. They’re not scared to voice their opinion and rightly so, because this is a massive club. They demand, and us as players we should demand that of each other to push and be successful again.”
20230715_152533.jpg
 
Willy ,hatimaye mwanao Rice katua ,ilinichukua muda Sana kumuelewa Rice

Kuna watu mpaka leo hawamuelewi,,
Timber mnyama flani hivi, nimecheki game ya Ajax vs Dort(4-1) alimficha sana halaand. Afu vijana wamekuja na sumu mixer ushabiki. Saliba X Timber itakuwa balaa kubwa.
 
Back
Top Bottom