|| Be prepared for an Arsenal comeback on the profile of Roméo Lavia, once Thomas Partey’s move to Saudi Arabia is finalised. Wazee wa phase utasikia hivi sasa tupo fezi foo utafikiri ni mradi wa reli ya STANDADI GEJI 😀Umesaahau na fezi fo😂😂😂....
Kaka flano ukihadithiwa hiyo fezi fo na hamis 77 unaweza sema hawa mwaka huu hamna hamna yuefa hii hapa,ligi hii hapa😂😂😂😂...
Ila mpira wa kuongea hasa kipindi cha usajili huoni makosa😂😂😂
Bora Tukamng'oa Tchoumeni tu pale bernabeuZa ndani kabisa, Arsenal wakimuuza Partey kwa £45-50m , wanahamia kwa Caicedo
Brighton amekaa pembeni hana papara anasubiri wakujiunga kwenye biding war
Arsenal na caicedo walishamalizana personal term
Arsenal na Lavia walishamalizana personal term
Replacement???....Hii kamari mbaya sana tunachezaThomas Partey has agreed a move to Saudi Arabia. Reports,
@football_ll55.![]()
Mi namuona wa kawaida plus mainjury. Yaani huyu ni Camavinga mi nitamchagua Camavinga kila sikuBora Tukamng'oa Tchoumeni tu pale bernabeu
I wish deal la partey lizingue
Camavinga ni hatari aiseeeeh...dogo anacheza namba nyingi mnoMi namuona wa kawaida plus mainjury. Yaani huyu ni Camavinga mi nitamchagua Camavinga kila siku
Halafu yupo comfortable mno akiwa na mpira kama ParteyCamavinga ni hatari aiseeeeh...dogo anacheza namba nyingi mno
Nafasi y 12, ila kondoo mtamaliza chini yangu.Me sijui mkuu Arsenal atamaliza nafasi ipi, nilikuwa nataka kujua tu unaiona wapi Chelsea
Wazee wa phase utasikia hivi sasa tupo fezi foo utafikiri ni mradi wa reli ya STANDADI GEJI![]()



au umeme wa reaHata mm huyo dogo sijawahi muelewa ,labda LaviaMi namuona wa kawaida plus mainjury. Yaani huyu ni Camavinga mi nitamchagua Camavinga kila siku
Florian Balogun is one of the players they[Inter] appreciate there have always contacts between Inter, AC Milan, Marseille and many other clubs with Balogun representatives. now Inter want to understand the final price tag from Arsenal for Florian Balogun. 
️ | Romeo Lavia still Arsenal’s next top target as Mikel Arteta sees him as a huge talent, but Arsenal not willing to meet the £50m valuation. 





