Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwahiyo sasahivi Newcastle akifungwa unaumia kishenzi, uongo?

Bado hajaanza kufungwa nitakujibu August lakini fuatilia comments zangu huko juu utaelewa timu gani kwa miaka 20 ikifungwa naumia kinoma , Newcastle now its my new club so jibu subiri december

Hakuna plastic club weka hilo kwenye akili yako kwanza dogo aliyezaliwa 2000 unaweza kumwmbia man city ni plastic club hata Blackburn rovers ina mashabiki.

Tuachane na hayo leo is the big day for arsenal kusajili mchezaji kwa paun 100 so to focus na sherehe za mwamba rice tumjadili yeye na impact zake kwa arsenal ama vipi[emoji38]
 
Castr

Arteta anataka acheze na namba 8 wawili Kai na Øde

Ila anaamini Rice ndiye anaweza kuwalinda maana ana uwezo mkubwa wa interception,passing n.k

Thus why sisi wahafidhina tunaamini Kai atafunga goals nyingi sababu ana asili ya kufanya Sana movement kwenye goals , hivo atakutana Sana na nafasi


"Arteta sees Rice as possessing the athleticism and ball-winning ability needed to complement Havertz and Martin Odegaard either side of him." -

@David_OrnsteinView attachment 2688979
Alivyomchukua Kai na kukomaa na Rice akadrop option ya Caicedo nikajua hii ndo formation anayoitaka
 
Pesa bado ipo ya kuchukua chuma kingine ama tumeishia hapo, kuna yule Rafael leao daah
Leao alisain mkataba mpya msimu huu na ana release clause ya €150m

Hadi Sasa Kuna uhaba pia wa RW wakueleweka , ndio maana Kuna tetesi Arsenal wamezama Brazil kutafuta

Kuna nafasi Zina uhaba Sana kwenye ulimwengu wa football

CF, RW

Ila LW wamekuwa wengi

Ndio Maana timu nyingi zinamuona Mousa Diaby Kama RW wa maana kwasasa aliyepo sokoni
 
Leao alisain mkataba mpya msimu huu na ana release clause ya €150m

Hadi Sasa Kuna uhaba pia wa RW wakueleweka , ndio maana Kuna tetesi Arsenal wamezama Brazil kutafuta

Kuna nafasi Zina uhaba Sana kwenye ulimwengu wa football

CF, RW

Ila LW wamekuwa wengi

Ndio Maana timu nyingi zinamuona Mousa Diaby Kama RW wa maana kwasasa aliyepo sokoni
Wachezaji wa kaliba ya Leao tutawapata kirahisi sana baada ya kuchukua ubingwa walau mara moja na kufanya vizuri kwenye UEFA.., things will be flowing easy!

Kwa sasa tukipata hata Diaby kwa dau linalokaribia 40 siyo mbaya

Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
 
Leao alisain mkataba mpya msimu huu na ana release clause ya €150m

Hadi Sasa Kuna uhaba pia wa RW wakueleweka , ndio maana Kuna tetesi Arsenal wamezama Brazil kutafuta

Kuna nafasi Zina uhaba Sana kwenye ulimwengu wa football

CF, RW

Ila LW wamekuwa wengi

Ndio Maana timu nyingi zinamuona Mousa Diaby Kama RW wa maana kwasasa aliyepo sokoni
Lakin vip mambo yao yale ya financial play hayatatubana naona tushatumia ela nyingi
 
£105m
20230715_184939.jpg
 
Auba yule wa mwanzo mwanzo

Ila Jesus anasema mna mu underrate Sana , kakosa miezi mitatu EPL , lakini ana goli 11 za EPL means huyu jamaa angeweza kupiga goals hata 20 ,pia Kuna muda alipitia Sana ukame
Tatzo yeye ana mambo mengi sana achelewi kurudi middle kwenda kutia watu vikanzu, mara yuko winga anatia vibaiskeli mara yupo kwenye box bado ana finya, clear chance nyingi tu anapoteza ndo tatizo. Fighting spirit anayo angekaza awe mviziaji tu a conserve energy aitumie ku score angetisha
 
Lakin vip mambo yao yale ya financial play hayatatubana naona tushatumia ela nyingi
Arsenal tupo safe ,hata UEFA wametoa list ya timu zilizokwenye mstari mwekundu, manjesta kapigwa faini

Arsenal walishajiandaa wakatimua wote wenye mishahara mikubwa, wakijua timu ikirudi UCL ,pia na deals za Emirates na Adidas , zitawabust Sana ,mfano deals la Adidas ndio deal nadhani lenye pesa nyingi duniani ,ni karibu £75m-120m kwa mwaka

Jumlisha na mapato , halafu una wage bill ndogo ,ndio maana tuliporudi UCL ,tukawa na uwanja mkubwa waku spend , na Kama wakuuzwa kina Pepe , holding,KT ,balogun , tutakuwa na uwanja mpana wakutumia pesa ,
 
Baada ya inter kusalitiwa na lukaku Sasa wamehamishia nguvu kwa balogun

Hakika CF duniani ni adimu, imagine Lukaku anagombewa na Juve na inter

Dusan anaenda Psg


Kane anaenda Bayern


Victor hauzwi

[emoji599]Out of all names on striker list, Inter favor balogun

(@MatteMoretto )- Tier 1
 
𝐒𝐇𝐈𝐋𝐈𝐍𝐆𝐈 𝟔 𝐆𝐇𝐀𝐋𝐈 𝐙𝐀𝐈𝐃𝐈 𝐃𝐔𝐍𝐈𝐀𝐍𝐈

Ngoja niwakumbushe Kidogo.Tulianza Kuwapelekea Westham United £80M wakakataa

Tukurudi Tena na £90m Westham United akakataa Tena.Na hapa MAN CITY akaingilia kati nae Kapeleka £90m

Tukatoka na Jambia tukaweka Ubaoni £105m .Man City akaweka Mikono Juuu akakambia.Ile Wazungu wenyewe wanaita STATEMENT OF INTENT

So Mpaka hapo tukawa tumemgalagaza Bingwa wao MANCHESTER CITY.

Man United waliambiwa hata hela msilete.So walikataliwa hata kabla hawajasema ofa yao.

Chelsea? Frank Lampard alisema alitaka Kumsajili Nahodha wa Chelsea kwa Miaka 10 Ijayo.Walivyoulizia? Wakaambiwa mpo Karibu zaidi na BURNLEY Kuliko Manchester United hivyo msijisumbue..

Bayern Munich? Waliambiwa siwezi Kutoka London nije Kijijini huko

Umetazama namna ambavyo DECLAN UBWABWA anatambulishwa kwa wachezaji wenzake pale LONDON COLNEY? Ile clip Mimi mpaka sasa nimeitazama mara Mia 489.

DECLAN UBWABWA Anasema Utakuwa ni mtu mjinga zaidi Duniani Arsenal hii ya MIKEL ARTETA inakutaka halafu ukatae.

BACK WHERE WE BELONG.THE FAMOUS ARSENAL .KENGE NYIEEEEEE [emoji1787][emoji119]


Mzee wa jambia
20230715_175734.jpg
 
Thanks!! Tukutane hio August . Humu hatuwezi kuondoka sababu ni sehemu ya kufurahii na story za uongo uongo nyingi zinatupa raha hiki ni kijiwe cha epl fans wote humu , hongera mkuu kukifanya hiki kiwe kijiwe bora zaidiii ndo maana humu unaona wapo chelsea , man city, man utd , Liverpool na mimi kijana mpya wa “ THE MAGPIES”

Huwa tunakumiss ukikimbia maana ukweli usemwe tu huwa unalifurahisha na kulichangamsha jukwaa hili
Ki ukweli kabisa Mc Hamisi Masingeli amechangia kwa 80% kukihuisha hichi kijiwe cha kahawa apewe tu maua yake.
Baada ya kukosa kombe la ligi kuu katika dakika za lala salama haliyakua mliongoza ligi kwa zaidi ya siku 258 iliwavunja moyo mashabiki wengi wa Arsenyani.
Nina uhakika zisingekua hamasa zake hili jukwaa lingepoa sana, hata sisi akina Flano tumejikuta tunavutiwa kuja kuchangamsha hichi kijiwe kutokana tu na hamasa na tambo za Captain hamis77
Hongera sana mkuu, hakika unaupiga mwingi.
Ila msijidanganye tu kwa huo usajili wa kuni za mbao na mchele wa pishori msimu ujao mtachukua Epl, mkijitahidi sana ni lilelile kombe lenu la mwanaFA.


#Arsenyo ni Arsenyo tu, kombe sio kipaumbele kwao muhimu ni pressing & Overloading.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom