Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Ahsante mkuu kwa hili. Inaonyesha kuwa eneo hilo liko well covered kutokana na profile na uwezo wa mtu wanayemtumia, na methodology yake. Tatizo langu ni kwenye team, namna gani wachezaji wanakuwa motivated kushinda mechi au wanavyoandaliwa psychological kwenye mechi, bila kujali kubwa au ndogo, mara kadhaa tumefall short kwenye mechi na timu za kawaida na kushinda big matches...
Hili swala la kuwa motivate wachezaji Wenger ndio upungufu wake mkubwa sana. Nadhani Adebayor pia alizungumzia hilo swala kwamba ndio tofauti kubwa kati ya Wenger na Mourhino.
Long time mkuu, naona ulipotea jukwaani hapa, karibu sana.