Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fanyeni mtakavyofanya lakini ManU ni bingwa tena this season

Hahahaaaaa.... kule kwenye thread ya L'Pool umeandika maneno mingi ila hukusema nana atakua bingwa... Naona umeamua kuja kusemea huku,,,, Haina nouma... lets wt n c!!! There are lot of games to be played mpk tufike huko au vp???????
 
Kumbe sio wabovu sana wakuu...........................

Umetuchoka kweli mazee.... Una maana sie ni WABOVU ila sio SANA??? haya bana..... Siku tukimit ndo utarekebisha ulichoandika... Au utasahau?????
 
Weraaweraaaa! Hapa ndo home kwa watoto a.k.a makinda, makazi ya yule ndege maarufu kwa jina la bundi.... Bandugu mpoooo??!!! Kila la kheri kwa leo lkn siyo wiki ijayo....!!
 
Huyu Song ni gani???? Amefanya rafu ya Kiseeeeee...la sana..... haya ana njano...
 
Mzee Wenger ameunda diamond midfield ya Song, Ramsey, Rosicky na Arshavin.
 
A ball from Song to Gibbs asks much, in fact it asks him to equal Usain Bolt's landspeed record.
 
Back
Top Bottom