Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya wale waliokuwa wanabisha kuwa Man City walikuwa hawamhitaji Rice na wametuma bid ya kihuni, sikiliza hii kutoka kwa watu wa football wenyewe wanaojua yanayojiri nyuma ya pazia.
 
Arsenal wamemgombania Rice kwa ajili ya Long term Project na si vinginevyo.

Arsenal wanaamini Project waliyonao inahitaji someone like him at this point huo ndio ukweli ulio wazi.
 
Broh, Declan ni mchezaji mzuri, hili wala silipingi. Ambacho nazungumzia mimi ni uhalisia wa City kumuhitaji Declan (they are stacked in the midfield position). Binafsi naamini City hawakuwa wanauhitaji wa kweli wa huduma ya Declan, walibid kwa motives zao zingine.

Kwahiyo saizi ndio unaamini walibid kwa motivie zao zingine baada ya kuachana na deal la Rice?

Kwanini hukufikiria hiki kitu wakati wamebid ile £90 kuwa wameweka hela mezani ila watakuwa na motive zingine?

Tatizo ni kwamba mmekariri kila Arsenal akiingia vita na club kubwa waga anashindwa, sasa imekuwa ngumu kukubaliana na huo ukweli kwenye issue ya Rice

Msiishi Kwa kukariri Zama zinachange, Leo hii ata Newcastle anaweza kuzimbia club kubwa na zikagwaya
 
Mimi naamini City wazinguaji tangu bid yao ya kwanza, nilijua pia kuwa Arsenal ataongeza pesa na City atajifanya kukausha. Sikulazimishi, ila nilijua tu City hawapo serious.
 
Ila kwa sababu Romano karipoti nina wasiwasi, hii issue ya City kupima kina cha maji na kujitoa ni ya kweli. Policy ya City na Liverpool siku zote hawapendi kumshindania mchezaji? Hii ni kazi ya Chelsea, Man U, Barcelona.

Manchester City to leave Declan Rice as internal discussion took place today — after Arsenal record bid submitted on Tuesday. #MCFC

City have no intention to enter into a bidding war, as always. No plans to match £105m proposal.

Over to Arsenal and West Ham now.

-Fabrizio Romano 33m ago
Kwenye ishu ya Rice hata Romano usimuamini
 
Haya wale waliokuwa wanabisha kuwa Man City walikuwa hawamhitaji Rice na wametuma bid ya kihuni, sikiliza hii kutoka kwa watu wa football wenyewe wanaojua yanayojiri nyuma ya pazia.
Watakuwa na mawazo ya kijinga Tu ata kama ni watu wa mpira,mfano mtu kama Garry Neville pamoja na kuwa mtu wa mpira unamuonaga ana Akili timamu?

Westham walitaka £100 tangu mwanzo kabisa na hilo kila club iliyotaka huduma ya Rice walilijua

Sasa kama unajua Westham wanataka £100 umuagize pep Abid ili iweje? itabadirisha nini akibid? ilhali ukifika hela inayotakiwa mchezaji anakuwa wako?
 
Mimi naamini City wazinguaji tangu bid yao ya kwanza, nilijua pia kuwa Arsenal ataongeza pesa na City atajifanya kukausha. Sikulazimishi, ila nilijua tu City hawapo serious.
Mkuu Unahisi tukiangalia kwenye comments zako zote tangu City alipoweka bid ya £90 tutakutana na hiki kitu unachosema kuwa ulijua city atajifanya kususa?

au tukiangalia comments zako tangu city abidi tutakutana na comments za kusema Arsenal ndo basi tena Kwa Rice?
 
Watakuwa na mawazo ya kijinga Tu ata kama ni watu wa mpira,mfano mtu kama Garry Neville pamoja na kuwa mtu wa mpira unamuonaga ana Akili timamu?

Westham walitaka £100 tangu mwanzo kabisa na hilo kila club iliyotaka huduma ya Rice walilijua

Sasa kama unajua Westham wanataka £100 umuagize pep Abid ili iweje? itabadirisha nini akibid? ilhali ukifika hela inayotakiwa mchezaji anakuwa wako?
Sasa kama hiyo 100m ndiyo ilikuwa thamani waliyoiweka tangu mwanzo, kwanini mpaka City amebid Arsenal ndo amekuja na kiasi wanachokihitaji West Ham?
Pia kwanini City akuanza na 100m wakati anajua kabisa hiyo ndo pesa inayohitajika kumpata kijana wanayemuhitaji?
 
Rice ni overrated sababu ni British, in my opinion huwa nawakubali sana South America players ni fighters na ball wanalijua hata baadhi ya African players pia huwa ni wazuri tatizo ni media coverage huwa haipo upande wao so Rice akija ni sawa asipokuja pia ni sawa tu

Hapa tupo pamoja mkuu. Asipikuja ni sawa maana naamini wazuri kama yeye au zaidi yake Kwa bei nzuri zaidi wapo.

Ila akija na akituboresha tukafanya vizuri zaidi msimu ujao kuliko huu itakuwa poa.
 
Grealish alinunuliwa sh ngapi?

Ameanza kua regular first XI msimu gani?
Pep alikuwa anamuhitaji Grealish, na alimnunua kuwa first team player. Msimu wake wa kwanza Grealish alichelewa kuzoea mfumo wa Pep. Hiki unachokizungumza hapa hakikutokea kwa Grealish pekee, hata Leroy Sane msimu wake wa kwanza alistruggle kuingia katika first eleven.
 
City kaenda kwa Gabri Veiga baada ya kuachana na Rice huko nako kuna vita pia Chelsea na Liverpool
 
Mkuu Unahisi tukiangalia kwenye comments zako zote tangu City alipoweka bid ya £90 tutakutana na hiki kitu unachosema kuwa ulijua city atajifanya kususa?

au tukiangalia comments zako tangu city abidi tutakutana na comments za kusema Arsenal ndo basi tena Kwa Rice?
Hauwezi kukuta comments zangu, hata leo hii nimekuwa na mood tu ndiyo maana unaona michango yangu humu.
Ila pia sio lazima tufikie huku unakotaka. Nishasema, mimi ninaamini Declan hana kiwango cha kuwa regular starter katika kikosi cha Man City, hivyo City hawakuwa serious katika hii bidding saga.
Sikulazimishi kukubaliana na huu mtazamo wangu, pia sina maana kuwa Declan ni mchezaji mbaya.
 
Humu kuna watu wanaandika hoja za kitoto

Barcelona ilikua inamtaka Rodri nafikiri.

City kumleta Rice ilikua ni kwaajili ya kujiandaa na kuondoka kwa Rodri.

Phillips bado hajaonyesha kiwango sana so ni faor akiwa na Rice.

Mfano sasa hivi City kamgeukia Veiga, huyu Veiga akikubali kwenda maana yake aanze kukomazwa amrithi Rodri.

Kwamba City haikua inamtaka Rice? Na ilipeleka ofa ili nini na nini kiwe nini? No
Page ya PPR twitter inakuambia Rice alisajiliwa wiki nyuma na City hajawahi kupeleka ofa.

Soma tena kwa sauti "HAJAWAHI KUPELEKA OFA" ila mmiliki wa Westham aliidumbukiza City ili kuipresha Arsenal kufikia ofa ambayo wao Hammers wanaitaka.

Tuassume unachowaza ni sahihi kwamba City alipeleka ofa ila hakumtaka Rice. Pesa za Arsenal sisi watu wa JF hatuzijui, tusiandike kama vile inatuuma kwamba tumewachangia then wameleta mchezaji mmoja
 
Pep alikuwa anamuhitaji Grealish, na alimnunua kuwa first team player. Msimu wake wa kwanza Grealish alichelewa kuzoea mfumo wa Pep. Hiki unachokizungumza happy hakikutokea kwa Grealish pekee, hata Leroy Sane msimu wake wa kwanza alistruggle kuingia katika first eleven.
Hoja yako ya kwamba hatoi pesa ya hivyo ili mchezaji akae benchi bado unaona ipo sawa?

Grealish ana magoli na assists ngapi msimu huu?
 
Haya wale waliokuwa wanabisha kuwa Man City walikuwa hawamhitaji Rice na wametuma bid ya kihuni, sikiliza hii kutoka kwa watu wa football wenyewe wanaojua yanayojiri nyuma ya pazia.
Watu wa ball wali, expert wa habari kina Fabrizio, na source za Westham kila day nilikuwa naweka hapa wanasema tofaut na porojo zenu
 
Wale wanaohisi man city ilikuwa haimuhitaj rice ndo mana waka bid 90m wakati westham walishatangaza mapema kama wanahitaji 100m ... kwani ushajiuliza kwa nini arsenal ali bid mara mbili kiasi ambacho akifiki 100m na walikuwa wanajua westham wanahitaj 100m+
 
Arsenal wamefika dau la pauni million 100 baada ya City kuonyesha nia ya kumtaka Rice
 
Sasa kama hiyo 100m ndiyo ilikuwa thamani waliyoiweka tangu mwanzo, kwanini mpaka City amebid Arsenal ndo amekuja na kiasi wanachokihitaji West Ham?
Pia kwanini City akuanza na 100m wakati anajua kabisa hiyo ndo pesa inayohitajika kumpata kijana wanayemuhitaji?
Issue ni kwamba unajua wanataka ulipe £100 ila hujui wanataka ulipe vipi, sasa ili uwatoe mafichoni unatuma pungufu ili wao ndio wajieleze wanatakaje wakati huo wewe unaongea na mchezaji

Arsenal kaanzia chini na City kaanzia chini kwa sababu wote wanataka structure za malipo ambazo hazitawaumiza, kwahiyo Westham wao wanataka mtindo unao wafeva wao na wateja wao the same

Mfano si huo hapo, Arsenal kafika £105 ila bado Westham walikataa Kwa sababu structure za malipo wao wanaona hazina mashiko, na inawezekana ndomana ata City kaona ajitoe kwa sababu muundo wa malipo wanaotaka Westham hauvutii
 
Back
Top Bottom