lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,665
- 25,840
Valuable squad ni dhamani ya wachezajiππππ
ππππ Labda hao waliotengeneza hiyo graphic hawajui kiingereza pia. Inabidi watu wenye akili kubwa kama Arsenal fans wachambue waielewe ila ukiwa nyumbu huwezi elewa. Kwanza wote mmeleta graphics zinazosema source ni Transfermarkt lakini moja inasema Arsenal wa pili, ingine inasema tofauti.
Pia ni rahisi kufikiri kuwa huenda mchezaji Chelsea alinunuliwa Kwa thamani kubwa lakini akiwa hapo akashuka thamani hivyo akiwekwa sokoni hana thamani kubwa. Mfano Kepa wa kununuliwa 72m huko saivi nyie nyumbu mtanunua Kwa ngapi mkimtaka.?
Yule Antony mtoto wa uswazi na mpira wa mchangani mliemnunua 100 huko mkimweka sokoni hata 10 hampati. Bado kuna Sanchoka aliyechoka kweli kweli. 75m kumnunua . Hata 40 mtapata kwake? Halimagwaya 80 hakuna mtu atamchukua hata bure
Valuable Club ni thamani ya assets zote
Kwa Squad Chelsea ya pili baada ya City - pia hii itategemea muda, wakireview tena baada ya hii fagiafagia, inaweza ikapanda au ikashuka
Kwa dhamani nzima ya timu Chelsea na. 8 Arsenal na. 10 na hii inategemea sana usahihi wa taarifa zilziopatikana na muda ulioripotiwa, taarifa za taasisi zingine zinazochakata hiziz taarifa zinakuwa na anomaly kubwa na ndio maana kila source ina rating yake binafsi inayotofautiana
Forbes wao wana hii, dhamani ya assets zote waliupdate May 2023
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio na wewe HENRY14 unataka kuamini kabisa kua Arsenal wachezaji wake wanathamani kubwa kuliko Buyern Munich na Chelsea.
Kisa Asaninyau ameshika nafasi ya pili kwenye ligi nyuma ya City basi na kwenye kila kitu mnaamua tu wenyewe kujiweka kwenye nafasi ya pili?
Daaahhh kweli nimeamini kushabikia Arsenyani lazima kwanza uwe msukule. View attachment 2669935
Unaongelea Most valuable squad halafu Title unaandika Most valuable Club?
Hebu kuweni Serious basi japo kidogo, msiwe mnapenda kujitoa ufahamu ili tu kufurahisha makondoo ya mchungaji Mackenzie. View attachment 2669943View attachment 2669944View attachment 2669945
Sijakurupuka na wala sikuongea kiushabiki.
Kama alikua anaongelea Most valuable squad kwa nini Title iwe ni Most valuable Club?
Kwanza hata hio valuable Squad Arsenyau yuko nafasi ya 4 huko nyuma ya Chelsea na Buyern. View attachment 2669948View attachment 2669949