Eraldius
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,122
- 912
Haya majibu yenu tuliyategemea tuWalichokifanya Manchester city kwenye deal la Rice ilikuwa ni kuisaidia West Ham united kutaka pesa walioihitaji kwa mchezaji wao.
Haya majibu yenu tuliyategemea tuWalichokifanya Manchester city kwenye deal la Rice ilikuwa ni kuisaidia West Ham united kutaka pesa walioihitaji kwa mchezaji wao.
Siyo hasira ni maoni tu kwa kinachoendelea EPL.Daaaah!
Umetumia hasira nyingi mpaka umeharibu!
Watu wana vituko sana.?????????
Acheni Porojo ,na kubadili kauli zenuKwenye dirisha la usajili Man City wanacheza rafu sana. Mbinu yao ili kuendelea kushinda ni kuingilia deals za wapinzani kuhakikisha kile kidogo walichonacho kinatumika kwa mchezaji mmoja.
Hawa ni baadhi ya wachezaji Man City waliwatumia kupoteza pesa za wapinzani.
View attachment 2671691
EPL ya sasa ni pesa tu ndo zazungumza kama huna fedha basi wapaswa kuwa mjanja na makini.Siyo hasira ni maoni tu kwa kinachoendelea EPL.
Man City wana watu "smart" sana, hiyo ni kuanzia uongozi wa kiofisi mpaka benchi la ufundi, watasumbua sana.Siyo hasira ni maoni tu kwa kinachoendelea EPL.
Acha unafiki ,Alivyopost Di marzio siku ile ulisemaje ?Walichokifanya Manchester city kwenye deal la Rice ilikuwa ni kuisaidia West Ham united kutaka pesa walioihitaji kwa mchezaji wao.
Hizo nyingine porojo tuHakuna timu ya kingese kwasasa Duniani kama Man City.
1. Wanadhoofisha timu zingine ndani ya ligi ili kupunguza ushindani. Wanafuata nyayo za Bayern.
2. Kwenye dirisha la usajili wanafanya moves za uongo. Hili dili la Rice walituma bid ambayo walijua fika itakataliwa.
Faida yao ni kuona Arsenal (mpinzanzi wao mkubwa 2022/23) wakilipa £100m+ kitu kinachopunguza budget ya timu, kama Man City angetulia na bid zake za uongo West Ham huenda wangeuza kwa bei pungufu na Arsenal wangetumia pesa inayobaki kwenye sajili nyingine.
Mimi naona kabisa hii ni michezo michafu ya City ya muda mrefu. Kipindi United wanamfuatilia Maguire wao pia wakaingilia kati mpaka bid ya mwisho United wakatoa £80m. Pia washawahi kufanya hivyo kwa Fred.
Mimi naamini kabisa Man City wanatumia hii mbinu kuona budget za timu pinzani zinatumika kwenye wachezaji wachache, wao wala hawamuhitaji Rice.
Yale makosa 115 ya kuvunja sheria za FFP ni lazima watakutwa na hatia.
MliMancity plan workedWalichokifanya Manchester city kwenye deal la Rice ilikuwa ni kuisaidia West Ham united kutaka pesa walioihitaji kwa mchezaji wao.


they forced Arsenyani to pay £105m and walked away. I swear,Haya majibu yenu tuliyategemea tu
Lakini West Ham waliishasema mapema kwamba, "valuation" ya Rice kuwa si chini ya 100MI swear,
Kama Manchester city wasingeingia kihuni kwenye hili dili, West ham wangemuachia Rice kwa 75m or Below.
Kwaiyo na arsenal wakisema waliwafosi Chelsea kutoa kiasi kile kwa Mudriky itakua ni sawa ?? Tukubali tu kuna kuzidiwa hela wala hakuna cha poroja mzeeMliMancity plan workedthey forced Arsenyani to pay £105m and walked away.
Ila wanangu wa Arsenyo kwa Rice mmepata jembe atawasaidia msimu ujao kubeba FA au kubaki top4.
Unaamini City walikuwa kabisa na uhitaji na saini ya Rice?Acheni Porojo ,na kubadili kauli zenu
Alipoweka £90m mlisema anaenda City hawez kuja Arsenal ,leo mnaleta porojo
Kuna madai kuwa Arteta amepush City kufanya walichofanya na wengi twaona ina-make sense.Hahahahahha yan watu bana kwaiyo hamuamini kua kuna wakati na Man city wanazidiwa kete kwenye usajili hadi mlete porojo za kusema Man city hawakua na nia ya kumsajili Rice?? tukubali tu kua Arsenal kamchapa mtu mchana kweupe kwenye kugombea mchezaji, yan utume ofa moja kwa moja alf baadae useme hukumtaka !
Ndo wale wale unamtongoza mwanamke akikukataa unasema ata ivyo nilikua nakutania tu sikua nakutaka mimi.
Acha porojo , Arsenal alianza na Bayern wakaambiwa £100m ,Bayern akakimbia na mchezaji akawakataaI swear,
Kama Manchester city wasingeingia kihuni kwenye hili dili, West ham wangemuachia Rice kwa 75m or Below.
😂😂😂😂Kwaiyo na arsenal wakisema waliwafosi Chelsea kutoa kiasi kile kwa Mudriky itakua ni sawa ?? Tukubali tu kuna kuzidiwa hela wala hakuna cha poroja mzee
Kwahiyo ile bid ya £90m ni hewa?Unaamini City walikuwa kabisa na uhitaji na saini ya Rice?
Yaani ulikuwa unaona kabisa City ikitoa paundi 90m+ kwaajili ya mchezaji wa akiba?
Man City hawezi kutoa £90+ m kwa mchezaji wa benchi.Acha porojo , Arsenal alianza na Bayern wakaambiwa £100m ,Bayern akakimbia na mchezaji akawakataa
Arsenal walifika had bid ya £90m ambayo hata city alifika £90m
Hili dili limeanza kufatiliwa miezi 6
Dili liliisha zaman sana, Rice alipoomba Jez ya Arsenal na asainiwe na Odegaard
View attachment 2671717