Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hauwezi kukuta comments zangu, hata leo hii nimekuwa na mood tu ndiyo maana unaona michango yangu humu.
Ila pia sio lazima tufikie huku unakotaka. Nishasema, mimi ninaamini Declan hana kiwango cha kuwa regular starter katika kikosi cha Man City, hivyo City hawakuwa serious katika hii bidding saga.
Sikulazimishi kukubaliana na huu mtazamo wangu, pia sina maana kuwa Declan ni mchezaji mbaya.
Tuambie wewe city Akiwa serious huwa anaweka dau gani kwa mchezaji...
 
Hoja yako ya kwamba hatoi pesa ya hivyo ili mchezaji akae benchi bado unaona ipo sawa?

Grealish ana magoli na assists ngapi msimu huu?
Hoja yangu bado ipo sawa kabisa yaani. Kocha anapomuhitaji mchezaji haimaanishi akishamsajili tu, basi ni moja kwa moja atafit kwenye mfumo wake, sometimes inachukua muda kidogo kuzoea mfumo na mazingira mapya.
Mchango wa mchezaji uwanjani haupimwi kwa Goals/Assists stats tu, Kuna vitu vingi sana vinaangaliwa.
 
Humu kuna watu wanaandika hoja za kitoto

Barcelona ilikua inamtaka Rodri nafikiri.

City kumleta Rice ilikua ni kwaajili ya kujiandaa na kuondoka kwa Rodri.

Phillips bado hajaonyesha kiwango sana so ni faor akiwa na Rice.

Mfano sasa hivi City kamgeukia Veiga, huyu Veiga akikubali kwenda maana yake aanze kukomazwa amrithi Rodri.

Kwamba City haikua inamtaka Rice? Na ilipeleka ofa ili nini na nini kiwe nini? No
Page ya PPR twitter inakuambia Rice alisajiliwa wiki nyuma na City hajawahi kupeleka ofa.

Soma tena kwa sauti "HAJAWAHI KUPELEKA OFA" ila mmiliki wa Westham aliidumbukiza City ili kuipresha Arsenal kufikia ofa ambayo wao Hammers wanaitaka.

Tuassume unachowaza ni sahihi kwamba City alipeleka ofa ila hakumtaka Rice. Pesa za Arsenal sisi watu wa JF hatuzijui, tusiandike kama vile inatuuma kwamba tumewachangia then wameleta mchezaji mmoja
Hakunaga hoja ya kitoto mzee, isipokuwa mawazo(mindset) ya mpokeaji hoja ndo yanaweza(inaweza) kuwa ya kitoto kipindi anapokea hoja.
 
Grealish alinunuliwa sh ngapi?

Ameanza kua regular first XI msimu gani?
Grealish aliflop ndio maana akawa benchi.
Mechi za mwanzo msimu wa 2021-22 grealish alikuwa starter mpaka pale pep alipoona jamaa kashindwa kuadapt kabisa ndio akaanza kukaa benchi.

Hii ni tofauti kwa Rice ambaye iko wazi kabisa angeenda kuwa back up tu, hakukuwa na uhitaji wa back up kiasi cha kutoa £100m.
 
Hauwezi kukuta comments zangu, hata leo hii nimekuwa na mood tu ndiyo maana unaona michango yangu humu.
Ila pia sio lazima tufikie huku unakotaka. Nishasema, mimi ninaamini Declan hana kiwango cha kuwa regular starter katika kikosi cha Man City, hivyo City hawakuwa serious katika hii bidding saga.
Sikulazimishi kukubaliana na huu mtazamo wangu, pia sina maana kuwa Declan ni mchezaji mbaya.

Acha hizo mkuu, unakoendea utaonekana hujui mpira

Yani pep anamchezesha Stone eneo la kiungo alafu useme Rice hana uwezo wa kuwa regular starter katika kikosi cha city

Ungesema kuwa huna uhakika kama atakuwa regular starter kutokana na tabia ya pep ya kufanya rotation sana
 
Acheni uswahili haters wa arsenal, yan roho zinawauma sana kila sku mnawasimanga arsenal kuwa ni wabahili leo kavunja benk na hii inaonyesha kabsa arsenal project is real... Arteta yupo serious sana na arsenal ...na huwez kua timu tishio ikiwa huna most valuable players kwenye team yako...declan anafit sana kwenye mfumo wa arsenal. Wengi hapa mna wivu kwakua tunajarbu kuziba makosa ya msim uliopita na tunazidi ongeza depth ya kikosi chetu just wait ...NB: MSIMU ULIOPITA KILICHOTUNYIMA UBINGWA NI DEPTH YA KIKOSI KUA NDOGO SASA SUBIRINI
Hayataki sasa! yani unaweza ukaua humu ndani.
 
Acha hizo mkuu, unakoendea utaonekana hujui mpira

Yani pep anamchezesha Stone eneo la kiungo alafu useme Rice hana uwezo wa kuwa regular starter katika kikosi cha city

Ungesema kuwa huna uhakika kama atakuwa regular starter kutokana na tabia ya pep ya kufanya rotation sana

Oooh, John Stones!!!
Yes, John Stones, hii ndio sababu nyingine ambayo inafanya niseme Rice hana uwezo wa kuwa regular starter Man City. Hana!
Kama utaniona sijui mpira, sawa!!!
 
Oooh, John Stones!!!
Yes, John Stones, hii ndio sababu nyingine ambayo inafanya niseme Rice hana uwezo wa kuwa regular starter Man City. Hana!
Kama utaniona sijui mpira, sawa!!
Nendeni mkaandamane kule OT mwarabu apewe timu...vngnevyo msimu ujao mtachezesha tena Kina Elanga na fantastic Captain Maguire
 
EXCL:

Jurrien Timber is an Arsenal player, the deal is done and sealed. Understand the second bid worth around £41.5m was accepted. #AFC

Personal terms agreed last week. Five-year contract, player will earn ~£85k/w, could rise to ~£120k/w + performance related add-ons.
 
Watakuwa na mawazo ya kijinga Tu ata kama ni watu wa mpira,mfano mtu kama Garry Neville pamoja na kuwa mtu wa mpira unamuonaga ana Akili timamu?

Westham walitaka £100 tangu mwanzo kabisa na hilo kila club iliyotaka huduma ya Rice walilijua

Sasa kama unajua Westham wanataka £100 umuagize pep Abid ili iweje? itabadirisha nini akibid? ilhali ukifika hela inayotakiwa mchezaji anakuwa wako?
Hao ni waongo, sio kazi ya kocha ku bid au kutobid, labda useme taarifa yote ilikuwa ni ya uongo tu
 
Hao ni waongo, sio kazi ya kocha ku bid au kutobid, labda useme taarifa yote ilikuwa ni ya uongo tu
Shangaa nawewe, Yani watu wanatafuta tu sababu ambazo zita justify kuwa City hawakumtaka Rice
 
#ESPN:

Arsenal have completed the signing of Kai Havertz from Chelsea for a fee of £65m,

Jurrien Timber from Ajax for £45m including add-ons

and close to sign Declan Rice from West Ham for £105m incl add-ons.

AFC will search for two more signings at least & want to sell players.
 
Unpopular opinion

Kwanini tusiende pale Manjesta tukamsajili Jodan Sancho ambaye anaonekana kashafeli ila kiukweli Ni ubovu wa timu maana kwa balaa alilofanya Bundesliga Tena misimu miwili au mitatu alikuwa anaonekana Ni Potential inayokuja kutisha

Ukiangalia kwanza anachezeshwa out of position ,Sancho Ni Right winger au acheze 10 kwa ku alternate

Anafaa kuwa mbadala wa Saka

Kwa dau la £35-40m manjesta watamuachia ,
 
Kwa kiasi icho cha hela+ muingeleza hawawezi kumuuza kamwe, ila Kuna option kibao kwenye RW tunaitaji kutumia chini ya £60m kwa Nafasi iyo... Diaby anatufaa sana
 
Back
Top Bottom