Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I swear,
Kama Manchester city wasingeingia kihuni kwenye hili dili, West ham wangemuachia Rice kwa 75m or Below.
Kwani Kati ya City na Arsenal ni nani wa Kwanza kutuma offer ili useme hiyo kauli ya kuwa you swear?

Na kwanini useme kama City asingeingilia deal Rice angeuzwa £75 or below ilhali offer ya Kwanza ya arsenal iliyokataliwa ilikuwa above?

Westham made it clear, they want £100, ila Rice katika hesabu zake akawa ana prefer zaidi Arsenal kuliko team ingine kulingana na sababu zake

Issue ni kwamba city waga hawana pigo za kugombania wachezaji kwa sababu wanaamini wachezaji wengi wanatamani kucheza city hivo hawana haja ya kutumia nguvu kubwa kumshawishi mchezaji

Na pep akikutaka hakuakikishii namba, itabidi uipambanie ili ucheze, sasa mtu kama Rice anaona anaweza kupoteza ata nafasi yake team ya Taifa

Kwahiyo hizi ngonjera sijui ohhh city walitumika,ohhh sijui westham wajanja hazina mashiko, baada ya bid ya city wengi waliamini ndo imeisha hiyo kwahiyo msibadirike badirike kama vinyonga

Philips kachukua makombe yote matatu ila kayachukulia akiwa benchi, na kapoteza namba yake team ya Taifa, kwahiyo everything has it's price.
 
Hahahahahha yan watu bana kwaiyo hamuamini kua kuna wakati na Man city wanazidiwa kete kwenye usajili hadi mlete porojo za kusema Man city hawakua na nia ya kumsajili Rice?? tukubali tu kua Arsenal kamchapa mtu mchana kweupe kwenye kugombea mchezaji, yan utume ofa moja kwa moja alf baadae useme hukumtaka !
Ndo wale wale unamtongoza mwanamke akikukataa unasema ata ivyo nilikua nakutania tu sikua nakutaka mimi.
Wanafurahusha Sana ,unakumbuka Di marzio alivyowadanganya juzi Hapa

Walisemaje na leo hao hao wanasemaje

Mwingine akajichanganye na Chelsea kwenye usajili wa Caicedo ,apigwe aseme hakumtaka
 
Man City were just toying with Arsenal!
No way Man City angetoa hiyo pesa kwa Declan.
Acheni uswahili haters wa arsenal, yan roho zinawauma sana kila sku mnawasimanga arsenal kuwa ni wabahili leo kavunja benk na hii inaonyesha kabsa arsenal project is real... Arteta yupo serious sana na arsenal ...na huwez kua timu tishio ikiwa huna most valuable players kwenye team yako...declan anafit sana kwenye mfumo wa arsenal. Wengi hapa mna wivu kwakua tunajarbu kuziba makosa ya msim uliopita na tunazidi ongeza depth ya kikosi chetu just wait ...NB: MSIMU ULIOPITA KILICHOTUNYIMA UBINGWA NI DEPTH YA KIKOSI KUA NDOGO SASA SUBIRINI
 
Unaonekana una akili za kinyumbu nyumbu tu, shida sio hela shida ni bajeti yako inafaa kwenye usajil wa mchezaji mmja kwenye eneo fulani?

Yawezekana unatumia bando la hela nyingi sana kwa mwezi kuliko hata mo dewj ila haimaanishi unamzid hela Dewj. Tumia akili ndugu
Umeshapaniki, good-by!
 
Kwani Kati ya City na Arsenal ni nani wa Kwanza kutuma offer ili useme hiyo kauli ya kuwa you swear?

Na kwanini useme kama City asingeingilia deal Rice angeuzwa £75 or below ilhali offer ya Kwanza ya arsenal iliyokataliwa ilikuwa above?

Westham made it clear, they want £100, ila Rice katika hesabu zake akawa ana prefer zaidi Arsenal kuliko team ingine kulingana na sababu zake

Issue ni kwamba city waga hawana pigo za kugombania wachezaji kwa sababu wanaamini wachezaji wengi wanatamani kucheza city hivo hawana haja ya kutumia nguvu kubwa kumshawishi mchezaji

Na pep akikutaka hakuakikishii namba, itabidi uipambanie ili ucheze, sasa mtu kama Rice anaona anaweza kupoteza ata nafasi yake team ya Taifa

Kwahiyo hizi ngonjera sijui ohhh city walitumika,ohhh sijui westham wajanja hazina mashiko, baada ya bid ya city wengi waliamini ndo imeisha hiyo kwahiyo msibadirike badirike kama vinyonga

Philips kachukua makombe yote matatu ila kayachukulia akiwa benchi, na kapoteza namba yake team ya Taifa, kwahiyo everything has it's price.
Manchester City hata bila ya Rice bado kwao its OKAY,But its not Okay kwa Arsenal.
 
Kwaiyo na arsenal wakisema waliwafosi Chelsea kutoa kiasi kile kwa Mudriky itakua ni sawa ?? Tukubali tu kuna kuzidiwa hela wala hakuna cha poroja mzee
Kwa ishu ya Mudryk nyinyi ndio mlioanza kutoa offer yenu halafu Chelsea ndio akaingilia kati.
Ila bado msijihakikishie sana kua mmempata, mpaka pale Rice atakapo saini mkataba ndio muanze kutamba maana bado kwenye ishu ya malipo Westham wanataka yakamilike ndani ya miaka 2 ila Arsenal wanataka wapewe miaka 5.
Hili dili likikamilika Arsenyau wanakua wameweka rekodi, tokea dunia iumbwe Rice ndio mchezaji wao wa kwanza kusajiliwa kwa zaidi ya £80m
 
Kwani Kati ya City na Arsenal ni nani wa Kwanza kutuma offer ili useme hiyo kauli ya kuwa you swear?

Na kwanini useme kama City asingeingilia deal Rice angeuzwa £75 or below ilhali offer ya Kwanza ya arsenal iliyokataliwa ilikuwa above?

Westham made it clear, they want £100, ila Rice katika hesabu zake akawa ana prefer zaidi Arsenal kuliko team ingine kulingana na sababu zake

Issue ni kwamba city waga hawana pigo za kugombania wachezaji kwa sababu wanaamini wachezaji wengi wanatamani kucheza city hivo hawana haja ya kutumia nguvu kubwa kumshawishi mchezaji

Na pep akikutaka hakuakikishii namba, itabidi uipambanie ili ucheze, sasa mtu kama Rice anaona anaweza kupoteza ata nafasi yake team ya Taifa

Kwahiyo hizi ngonjera sijui ohhh city walitumika,ohhh sijui westham wajanja hazina mashiko, baada ya bid ya city wengi waliamini ndo imeisha hiyo kwahiyo msibadirike badirike kama vinyonga

Philips kachukua makombe yote matatu ila kayachukulia akiwa benchi, na kapoteza namba yake team ya Taifa, kwahiyo everything has it's price.
Wewe jamaa una akili Sana

City kaweka £90m wanasema ulikuwa upepo

Mtu kaingia miguu miwili mtoni unasema alikuwa anaonja maji

Rice alikuwa Target kwa miezi 6 ,ameshafanya vikao Sana na Arteta akielezwa atachezaje

Mimi nasema hivi , Chelsea yupo advanced kwenye deal la Caicedo

Aende mwingine akapambane ,aje aseme Hakumtaka ,maana porojo zimekuwa nyingi
 
Kwa ishu ya Mudryk nyinyi ndio mlioanza kutoa offer yenu halafu Chelsea ndio akaingilia kati.
Ila bado msijihakikishie sana kua mmempata, mpaka pale Rice atakapo saini mkataba ndio muanze kutamba maana bado kwenye ishu ya malipo Westham wanataka yakamilike ndani ya miaka 2 ila Arsenal wanataka wapewe miaka 5.
Hili dili likikamilika Arsenyau wanakua wameweka rekodi tokea dunia iumbwe Rice ndio mchezaji wao wa kwanza kusajiliwa kwa zaidiya £80m
Arsenal katuma hiyo ofa kulipwa kwa miaka minne , now wanakubaliana ilipwe kwa miaka mitatu

Jion unaweza kusikia HERE WE GO
 
Chelsea katangaza Vita kwa Caicedo anayejiweza kupandia ajitokeze
 
Acha porojo , Arsenal alianza na Bayern wakaambiwa £100m ,Bayern akakimbia na mchezaji akawakataa

Arsenal walifika had bid ya £90m ambayo hata city alifika £90m

Hili dili limeanza kufatiliwa miezi 6

Dili liliisha zaman sana, Rice alipoomba Jez ya Arsenal na asainiwe na Odegaard

View attachment 2671717
Rice kuomba jezi ya Arsenal haihusiani na usajili. Rice ni kit collector, ana jezi za karibia timu zote za EPL na zote huwa signed na wachezaji.

Hata Ramsdale aliwahi kuwatambia wenzie alipopata jezi ya United signed by Ronaldo kwahiyo na yeye dili limeisha atakuja United? 😂
20230628_142433.jpg
 
Acheni uswahili haters wa arsenal, yan roho zinawauma sana kila sku mnawasimanga arsenal kuwa ni wabahili leo kavunja benk na hii inaonyesha kabsa arsenal project is real... Arteta yupo serious sana na arsenal ...na huwez kua timu tishio ikiwa huna most valuable players kwenye team yako...declan anafit sana kwenye mfumo wa arsenal. Wengi hapa mna wivu kwakua tunajarbu kuziba makosa ya msim uliopita na tunazidi ongeza depth ya kikosi chetu just wait ...NB: MSIMU ULIOPITA KILICHOTUNYIMA UBINGWA NI DEPTH YA KIKOSI KUA NDOGO SASA SUBIRINI
Broh, Declan ni mchezaji mzuri, hili wala silipingi. Ambacho nazungumzia mimi ni uhalisia wa City kumuhitaji Declan (they are stacked in the midfield position). Binafsi naamini City hawakuwa wanauhitaji wa kweli wa huduma ya Declan, walibid kwa motives zao zingine.
 
Arsenal katuma hiyo ofa kulipwa kwa miaka minne , now wanakubaliana ilipwe kwa miaka mitatu

Jion unaweza kusikia HERE WE GO
Hongereni kwa Rice mmepata jembe, haijalishi hio pesa mtakayoitoa.
Tunakoelekea sasa kununua mchezaji kwa above £100m itakua ni jambo la kawaida tu.
Mkimpata na Timber msimu ujao mtatukimbiza sana aiseeee labda itokee bahati mbaya baadhi ya key player wenu wakiflop.
 
Kihuni wapi, wakat watu wameweka £90m Tena yenye best payment

Unafananisha uhuni wa Simba na yanga kwenye sajili za kina Sawadogo
Mmeingizwa chaka kihuni, Haya Manchester city wamemkosa Rice wamepungukiwa nini kwenye Squad yao.

Man city kumkosa Rice kwao it's OKAY tu lakini isingekuwa its OKAY kama Arsenal mngemkosa kwa Project yenu ya Miaka 5 ijayo.
 
Manchester City hata bila ya Rice bado kwao its OKAY,But its not Okay kwa Arsenal.
Of course Hilo liko wazi kila mtu anajua ubora wa kikosi cha City

Rice alikuwa wa muhimu sana Arsenal kuliko City na ndomana Arsenal wamekomaa hadi mwisho na hiyo sio kawaida ya Arsenal

ila kuanza kutuaminisha kuwa City hakuwa anamtaka Rice huo unakuwa utoto, bei ya Rice ishajulikana kitambo kuwa ni £100 ata aende nani

City kuachana na hii deal Kwanza sababu kubwa ni Rice mwenyewe hakuwa interested lakini pia wao wanajua Wana kikosi Bora, walitaka tu kuidhoofisha tu Arsenal kwakuwa wanajua Rice anaenda kuwaongezea ubora
 
Back
Top Bottom