Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,719
- 25,854
Huyo aenda kuwa nahodha wa Arsenal ana sifa zote.The best midfielder in the World.View attachment 2671540
Sitasahau mechi ya West Ham na Arsenal alipoiongoza timu yake kurudisha magoli mawili wakati Arsenal ilikuwa ikiongoza kwa 2-0.
Na goli la kwanza la West Ham lilisababishwa na Rice ambae alimnyang'anya mpira Thomas Partey ndani ya eneo la Arsenal.
