Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unpopular opinion

Kwanini tusiende pale Manjesta tukamsajili Jodan Sancho ambaye anaonekana kashafeli ila kiukweli Ni ubovu wa timu maana kwa balaa alilofanya Bundesliga Tena misimu miwili au mitatu alikuwa anaonekana Ni Potential inayokuja kutisha

Ukiangalia kwanza anachezeshwa out of position ,Sancho Ni Right winger au acheze 10 kwa ku alternate

Anafaa kuwa mbadala wa Saka

Kwa dau la £35-40m manjesta watamuachia ,
Sancho Mimi bado sijaona kama kafeli, udhaifu wake labda kwenye defense. Ila kwenye phase ya kushambulia Sancho namwogopaga sana, ana flexibility kubwa sana na utulivu ila manyumbu wanasema anatetemeka
 
Haaahaa hayajui football hayo
 
Unpopular opinion

Kwanini tusiende pale Manjesta tukamsajili Jodan Sancho ambaye anaonekana kashafeli ila kiukweli Ni ubovu wa timu maana kwa balaa alilofanya Bundesliga Tena misimu miwili au mitatu alikuwa anaonekana Ni Potential inayokuja kutisha

Ukiangalia kwanza anachezeshwa out of position ,Sancho Ni Right winger au acheze 10 kwa ku alternate

Anafaa kuwa mbadala wa Saka

Kwa dau la £35-40m manjesta watamuachia ,
Sawa dau hilo linamake sense lakini jamaa anakula kwa wiki nafikiri ni 300K kama sikosei.

We unadhani kuna timu itamleta yule ale 300K wakati wenyeji hawana mshahara huo?

Pia mshkaji anafaa City kuliko united, timu inayomiliki mpira, dribble zinaruhusiwa ila temple siyo ya counter
 
Hoja yangu bado ipo sawa kabisa yaani. Kocha anapomuhitaji mchezaji haimaanishi akishamsajili tu, basi ni moja kwa moja atafit kwenye mfumo wake, sometimes inachukua muda kidogo kuzoea mfumo na mazingira mapya.
Mchango wa mchezaji uwanjani haupimwi kwa Goals/Assists stats tu, Kuna vitu vingi sana vinaangaliwa.
Forwards hutengenezi nafasi, huna goals, huna assists ndiyo unataka tuanze stori za Weghorst za mikimbio si ndiyo?
 
EXCL:

Jurrien Timber is an Arsenal player, the deal is done and sealed. Understand the second bid worth around £41.5m was accepted. #AFC

Personal terms agreed last week. Five-year contract, player will earn ~£85k/w, could rise to ~£120k/w + performance related add-ons.
Hivi huyu Timber ni beki kweli? Na kama ni beki je anajua kukaba? Maana kila compilation yake YouTube namuona anashambulia tu na kuwatoka wapinzani kwa spins na feints. Utani pembeni...Inaelekea atafaa kama Eboue flani kwenye attacking ila kwenye kakaba isije ikawa ni Trent Alexander-Arnold type. Kwa YouTube unaweza kudhani jamaa hakutani na attackers wa maana. EPL itamchallenge
 
Sawa dau hilo linamake sense lakini jamaa anakula kwa wiki nafikiri ni 300K kama sikosei.

We unadhani kuna timu itamleta yule ale 300K wakati wenyeji hawana mshahara huo?

Pia mshkaji anafaa City kuliko united, timu inayomiliki mpira, dribble zinaruhusiwa ila temple siyo ya counter
Akubali mshahara wa £120k per week
 
Yule mwana hamna kitu kwa salary anayoruka nayo
Halafu Kumbe hii Ni sababu wachezaji wa manjesta hawauziki aisee kwa Salary hizo hata ukimnunua kwa £10m , akishusha mshahara hata nusu bado Ni mkubwa
 
Hivi huyu Timber ni beki kweli? Na kama ni beki je anajua kukaba? Maana kila compilation yake YouTube namuona anasambulia tu na kuwatoka wapinzani kwa spins na feints. Utani pembeni...Inaelekea atafaa kama Eboue flani kwenye attacking ila kwenye kakaba isije ikawa ni Trent Alexander-Arnold type. Kwa YouTube unaweza kudhani jamaa hakutani na attackers wa maana. EPL itamchallenge
Ana invert Sana kwenda kwenye midfield ,Anajua kukaba kuliko Zinny ndio utofauti wao

Ana accuracy kubwa ya pass , inamaana itakuwa rahisi kufanya buildup haraka na kwa usahihi
 
Man City wana watu "smart" sana, hiyo ni kuanzia uongozi wa kiofisi mpaka benchi la ufundi, watasumbua sana.
Watasumbua sana.
Watamsumbua nani?, wameshinda treble na mchezaji hawataki, timu haina class, haina tradition wala fanbase, just a plastic club. kwa usajili wa pesa za mafuta hata Norwich inaweza kushinda UEFA.
 
Acha unafiki ,Alivyopost Di marzio siku ile ulisemaje ?

Simamia msimamo wako Kama mwanaume
Huyo jamaa huwa kama demu, kuna mwamba alimquote akamwambia natunza hii comment, haijapita hata wiki anaenda kuumbuka, ana force uhasimu wa liverpool na Arsenal, sisi hasimu wetu ni Man u na Spurs basi, nyie wengine msilazimishe hatuna uhasimu na timu zenu.
 
COMPARED

Jurriën Timber vs Josko Gvardiol (2022/23)

Arsenal really going for it

Radar : datamb.football
IMG_20230628_175702.jpg
 
It's unrealistic assumptions kama unavyojiona wewe kwamba unajua mpira kuliko hao uliowasema
Read between lines chief?
Usisome mambo kimihemko
Ww unajua mm ni shabiki wa timu gani?
Sijasema mm najua mpira wala kuufahamu sana,Am speaking with the experience chief Marafiki zangu wengi ni man united na hawafahamu mpira kiuhalisia
 
Back
Top Bottom