Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie si ndio mlipinga ujio wa Jorginho, Ode ,n.k?

Na Kai hamumtaki ?

Ngoja tuone ,But Kai anakaribia Sana kujiunga Arsenal ,

Lavia pia mazungumzo yapo maana wakala wake ndiye kashughulikia Saka aongeze mkataba mpya
Kwani huyo jorginho ametufanyia nini cha maana pale arsenal so far??
Unaongea as if mpira unaangaliaga peke yako

Hapa tulipo kama timu tunahitaji quality player tu ambao washa prove.

Narudia tena kukwambia kwenye usajili ukikosa first choice player wako una chance 80% ya kuangukia kwenye galasa
 
kwa role ya zini.. naona tomiyasu anaweza kuimudu.

role ya saliba.. ben white yupo.

role ya ben white ndio eneo jingine la muhimu pia arsenal kutafuta msaidizi wake.

role ya xhaka.. trossard yupo.

role ya ode.. ESR anaweza kuimudu.

roles za martinelli pamja na saka.. zinapaswa pia kutafutiwa wasaidizi.

role ya jesus nayo.. trossard namuona ila inapaswa lije ingizo jingine la ziada.
 
Mlitaka kipa tofaut na Ramsdale , Odegaard,white, n.k karibu wote hao sidhan Kama walikuwa first choice kwenye akili zenu but wame prove wrong

Klopp alimsajiri Mane, Salah, Wijnadam , Robertson ,hao wote walikuwa 2nd choice kwakuwakosa kina Gotze ,.n.k lakin wali click

Jorginho ana miez minne na ameweza kuingia Moja kwa Moja first team ,

Unaweza kuwa na list ya wachezaji 6 eneo la DM , ukakosa first target ukapata 5th na ikafanya vzr ,maana kinachozingatiwa Ni profile husika

Mbona tulimkosa mudrky aliye kuwa first choice na tukampata Trossard 2nd choice na kachangia Goli nyingi .
 
kwa role ya zini.. naona tomiyasu anaweza kuimudu.

role ya saliba.. ben white yupo.

role ya ben white ndio eneo jingine la muhimu pia arsenal kutafuta msaidizi wake.

role ya xhaka.. trossard yupo.

role ya ode.. ESR anaweza kuimudu.

roles za martinelli pamja na saka.. zinapaswa pia kutafutiwa wasaidizi.

role ya jesus nayo.. trossard namuona ila inapaswa lije ingizo jingine la ziada.
Kuna kila dalili za wazi ,Arteta anataka kucheza Diamond kwenye midfield ,ndio maana anamtaka Rice

Naelewa hivo maana Rice Ni CB , anataka kumtumia Kama Pep anavyomtumia Stone

Lakini pia Kuna tetes Rice atacheza role ya Xhaka. , Pia Kuna tetes Kai atatumika #8 LHS au false 9

IMG_20230618_195918.jpg
 
View attachment 2661823
Daah rice false 9 SMH
 
Hasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .
Kuna watu wakiandika humu utadhani Arteta na Edu ni wapuuzi wasiojua chochote kuhusu arsenal na football kwa ujumla. Ujuaji mwingi sana.
 
Jibu swali njoo na data ,napenda sana data with facts njoo nazo tuanze kuzichambua niambie ni lini Big teams tuliwahi kupambana nazo kuhusiana na good players na tukafanikiwa tukawasign?Acha kupayuka hapa tunazungumzia football
Kashabikie Psg tuachie timu yetu
 
Jibu swali njoo na data ,napenda sana data with facts njoo nazo tuanze kuzichambua niambie ni lini Big teams tuliwahi kupambana nazo kuhusiana na good players na tukafanikiwa tukawasign?Acha kupayuka hapa tunazungumzia football
Data za nini?! Wewe na hizo data zako zinaisaidiaje Arsenal? Hizo data zako hakikisha Edu na Arteta wanazipata. Sio kupiga kelele za kuwalaumu humu.
 
Biashara za Usajili sio rahis hivo, dirisha si ndio limefunguliwa hata wiki halina

Tuwe watulivu , Target za Arsenal Ni Rice ,Kai, Lavia. , Na nyingine zinafata

Rice & Kai Ni deals ambazo zipo advanced

| @FabrizioRomano:

“Arsenal, of course, are busy with Declan Rice, he is the top target in midfield, but they could sign one more midfielder. And it's TRUE that Romeo Lavia is one of the players they have in the list.

“They like him and they consider Romeo Lavia a top talent. Man City have a buyback clause, but only in summer 2024, not this summer, and the clause would not be valued in the future, it’s only valued in 2024 for Man City.

“Arsenal are interested. Chelsea are also interested.” [via YouTube] #afc
Sina shida na target, coach ndio anajua anataka nini kwa mchezaji.. shida ni arsenal wakianza maneno, stori nyiingi, baadae mchezaji anachukuliwa na mwingine.
 
Si rahisi kurudishwa, hakutuacha vizuri, lakini pia umri umeenda.
Arteta angemrudisha jamaa akae hata benchi pale , Elnino Malavila ,Moja ya sajili Bora kabisa ya mzee Wenger

Arsenal have rejected Alexis Sanchez’s request to re-sign him this summer.

Arsenal manager Mikel Arteta has reportedly given a swift rejection to Alexis Sanchez request to rejoin the club, after being called by the former Gunners star.

The Spaniard reportedly informed his former team-mate that he did not fit into the club’s plans, with younger players preferred as Arsenal seek to challenge for the title.

(@MailSport)View attachment 2661696
 
Kiuhalisia tu sioni Arsenal akitumia £200m kwa wachezaji wawili tu yan iyo haipo na haiwezi kutokea Rice & Caicedo, abaki partey ili tudeal na maeneo mengine yenye mapungufu zaid hata next season Partey akiondoka sio mbaya tutakua tushajipanga kwa ajiri ya spend money tena, maana kwa harakaharaka Partey, Xhaka replacement zao ni zaid ya £160-200M bado kuna RB,RCB na RW au asiposajiliwa RCB basi asajiliwe RB maana White ni RCB.
 
Back
Top Bottom