Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aiseee, tunatoa Xhaka na Partey alfu tunaleta Rice na Lavia, upana wa kikosi sijui upo wapi hapa na ndicho kilichotuangusha msimu ulioisha, Partey sio wa kumuondoka kabisa akikamua game zake 20 tu msimu mzima zinatosha wengine watakamua zingine why tunataka kumuondoa Partey ?????
Hizi dalili niliziona alipoanza kupigwa bench , nili anticipate tutamsajili Lavia maana uchezaji wake unafanana Sana alongside na Rice

Nikaja kuona wakala wa Saka ndiye wa Lavia ,ndiye alipambana Sana Saka aongeze mkataba mpya ,

Kuna chance kubwa Lavia akatua na Partey akapewa mkono wa kwaheri
 
200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.

Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.

Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.

Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?

So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.

Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.

Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected

Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.
Mwamba umeongea vizuri Sana ni mshabiki wa Arsenal sisi sio wajinga kuwauzia Kai shida ya huyu mchezaji ni legelege Sana Bora uwe laini lakini unajua kuficha mpira ila kai vyote hana sio aggressive kabisa alafu ana shida ya kukosa magoal ovyo ovyo ndio maana amemaliza ana goal 9 msimu mzima kwa kweli mmetusaidia kutua mzigo
 
Ilkay Gundogan has now told Arsenal he wants another week to decide whether he wants to join them.

That is according to a report from Marca, which suggests that the Germany international wants one more week before he chooses where he will be playing next year.
 
Naona kama userious mdogo.. tulileta masihara msimu wa mwaka jana ambao ni city tu alikuwa mpinzani, na bado naona hatutaki kumaliza biashara mapema.

Wacha tuone wana mpango gani.
 
Jifunze kwanza kuandika we nae, kuandika yenyewe hujui afu una niquote, ngoja nakupiga ignore list umbwa computerarsenal.

Hujui hata typing error na kushindwa kabisa kuandika!! Kwako vyote ni sawa! Halafu unajiona akili kubwa kila mtu anayewapinga humu ndani ni computerarsenal , akili zako zimeishia hapo!!
As long as utakuwa unaleta viroja humu lazima tukupinge, we are not your kids huwezi kutudanganya unavyotaka !! Arsenal fans since 2004/2005 mnaishi kwa false hope yaani unakuta jitu kama hili linasimama mbele za watu linakuambia arteta ana mafanikio , ukiuliza mafanikio yapi linakosa jibu linahamisha mada “ oooh hujui kuandika mara ignore list” ukitaka usipingwe humu ndani hizi habari unatakiwa unawapa mkeo na wanao tu , maana hao hawawezi kukupinga .
 
Thierry Henry tells us Kai Havertz has some similarities with RVP:

“He reminds me a little, a very little, of Robin with his back to goal in the way he can hold the ball...

“Robin was always very good with his left foot, the touch was immaculate to try and bring people along…
Huyu huyu kai ninayomfahamu mimi au mwingine?
 
Naona kama userious mdogo.. tulileta masihara msimu wa mwaka jana ambao ni city tu alikuwa mpinzani, na bado naona hatutaki kumaliza biashara mapema.

Wacha tuone wana mpango gani.
Biashara za Usajili sio rahis hivo, dirisha si ndio limefunguliwa hata wiki halina

Tuwe watulivu , Target za Arsenal Ni Rice ,Kai, Lavia. , Na nyingine zinafata

Rice & Kai Ni deals ambazo zipo advanced

| @FabrizioRomano:

“Arsenal, of course, are busy with Declan Rice, he is the top target in midfield, but they could sign one more midfielder. And it's TRUE that Romeo Lavia is one of the players they have in the list.

“They like him and they consider Romeo Lavia a top talent. Man City have a buyback clause, but only in summer 2024, not this summer, and the clause would not be valued in the future, it’s only valued in 2024 for Man City.

“Arsenal are interested. Chelsea are also interested.” [via YouTube] #afc
 
Huyu huyu kai ninayomfahamu mimi au mwingine?
Pale Chelsea Kuna mfumo gan au uchezaji gani ambao unaweza kuona kipaji Cha mchezaji ?

Ancelot anamtaka ,bajet ndio imemshinda

Tuchel anamtaka pia, bajet yao ndogo

Arsenal wanamtaka Tena wamemuweka kwenye list ya juu

Wewe mla mihogo huoni chochote alichonacho?
 
Hv Arsenal mnashida gani? Kila mchezaji mpo na Strong interest nae alafu hamsajili saiv mpo kwa Romeo Lavia
 
Kama kweli Bayern au Madrid wanantaka haswa wangetoa hiyo 75 ila wamemthaminisha wameona hana hiyo thamani ndio maana wamejitoa
 
Hv Arsenal mnashida gani? Kila mchezaji mpo na Strong interest nae alafu hamsajili saiv mpo kwa Romeo Lavia
Kila mchezaji yupi?

Rice and Kai Arsenal wapo advanced kwenye hizo dili , Bayern kaulizia Kama anaweza kumpata Kai kaambiwa He prefer Arsenal , City Jana ijumaa kaulizia situation ya Rice ,but always Rice prefer kubaki jiji la London .

Lavia ,Arsenal wanafanya mazungumzo coz ,Kuna hati hati wamejitoa kwa Caicedo

Hiyo ndio Hali ya transfer kwa Arsenal Hadi Sasa

Timu ambayo ipo interested kila mchezaji Ni manjesta ,Kim Jae- to Bayern
 
Kama kweli Bayern au Madrid wanantaka haswa wangetoa hiyo 75 ila wamemthaminisha wameona hana hiyo thamani ndio maana wamejitoa
Madrid pesa kubwa watatumia kwa CF maana tayari wameshatumia €100m kwa Jude, Ni swala la vipaumbele tu , Madrid alitaka atoe mwisho £50m , hata Arsenal tunatoa mwisho £60m(ikiwa na add ons ndani) Coz Ni kipaumbele eneo la Attacking

Bayern pesa hawana ,ila Tuchel anawataka Rice na Kai , Bayern kajitoa na mpaka Jana wameulizia situation ipoje wameambiwa mchezaji anataka Kwenda Arsenal ,na wapo more advanced ,kumbuka Arsenal wamemwambia watampa na mshahara Kama anaopewa Chelsea

Bayern kwenye usajiri mwepes kwa timu za EPL
 
Maisha yanaenda kasi Sana

Ruben Neves on the verge of moving to Saudi Arabia. Wolves would get €55m,

according to @relevo.

Insane.
 
Hasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .
Hua sina tabia za kike kukimbia comments kama wewe
 
Talent ID unaipima kwa sajili zote zifanikiwe? Hakuna kocha wa hivo duniani ,Pep amefeli Mara kadhaa , Arteta kwenye sajili zake 10 unakuta 70% zinafanya vzr , hata kwenye kuendeleza vipaji, ndio maana mchezaji Kama Rice ,Kai wamevutiwa na project yake,

Kuumia kwa Saliba , Ni kweli kuliyumbisha kule nyuma ,but kumbuka ndio Kipind ambacho na Tomiyasu aliumia pia ,na Jakub kiwior alikuwa haja settle kwenye mfumo , Kama Saliba angeumia ,na Tomiyasu angekuwa ok ,bas White Ange shift RCB na Tomiyasu angecheza RB , na tunge cover tatizo ,

Maana Holding alikuwa kwenye mipango ya kuachwa msimu huu, hakuna aliyetegemea tuwapoteze Saliba ,Tomiyasu kwa wakati mmoja ,

, Jakub kiwior alipokuja kucheza alicheza vzr tu ,maana uwepo wa holding ulizuia ARSENAL kufanya build up kwa USAHIHI, Hadi Saliba hajaumia ,Arsenal ndio timu iliyokuwa inafanya buildup zinazofanikiwa kwa USAHIHI

Msimu uliopita hatukuwa na tatizo kubwa la Depth ukifananisha na msimu wa juzi, hivo Kuna progress ipo kwenye kuongeza Depth na Quality

Kama Tunamleta Rice ,lavia ,Kai ,RB ,RW Basi tutakuwa tumeongeza depth kwa asilimia kubwa

Kumbuka Tomiyasu, Saliba wanarudi pre season pia Kuna Kiwior ambaye kiwango chake Ni kizuri

Cha muhimu tunahitaji wachezaji wa 5 ambao ni versatile

Nimesikia Arteta anataka kumtumia Kai pia Kama false 9 Kama alivyotumika Leverkusen
Wala hawatakuelewa!.. Kuna watu Wana Gubu la soka!.. wanashabikia mpira Kwa kulalamika!.. na wanataka kocha asajili kama wanavyotaka wao!.. hawajiulizi kama Kuna pesa ya usajili ama hakuna!.. kama Arteta angekuwa anaingia humu na akachukua ushauri wa Mashabiki hakika tungeshuka daraja.. msimu uliopita tumecheza 4:3:3 karibu msimu mzima na kocha alishindwa kubadili mfumo kutokana na wachezaji tulikuwa nao.. Watu hawajui kuwa Rice atatusaidia kubadili formation na pia kuimarisha safu ya ulinzi. Watu wsnalaumu Kwa Nini Arsenal wamejitoa Dili la Caicedo lakini hawajui kuwa Bei ya Caicedo imepanda maradufu Baada ya sisi kuonyesha interest.. ni kweli Caicedo ni chuma hasa, lakini Brighton wanauza Kwa nyodo sana.. Tumuache kocha afanye kazi, usikute hata Pesa ya kusajili hajapewa.. aisee watu Wana Gubu!...
 
Hujui hata typing error na kushindwa kabisa kuandika!! Kwako vyote ni sawa! Halafu unajiona akili kubwa kila mtu anayewapinga humu ndani ni computerarsenal , akili zako zimeishia hapo!!
As long as utakuwa unaleta viroja humu lazima tukupinge, we are not your kids huwezi kutudanganya unavyotaka !! Arsenal fans since 2004/2005 mnaishi kwa false hope yaani unakuta jitu kama hili linasimama mbele za watu linakuambia arteta ana mafanikio , ukiuliza mafanikio yapi linakosa jibu linahamisha mada “ oooh hujui kuandika mara ignore list” ukitaka usipingwe humu ndani hizi habari unatakiwa unawapa mkeo na wanao tu , maana hao hawawezi kukupinga .
Kwa munufaa yako jifunze kwanza kuandika, jifunze matumizi ya alama za uandishi na mpangilio mzuri wa maandishi, labda naweza kuelewa unachoandika, mwandiko mbaya kama bata yaani paka unaboa. This is serious issue.
 
Kuumia kwa Saliba , Ni kweli kuliyumbisha kule nyuma ,but kumbuka ndio Kipind ambacho na Tomiyasu aliumia pia ,na Jakub kiwior alikuwa haja settle kwenye mfumo , Kama Saliba angeumia ,na Tomiyasu angekuwa ok ,bas White Ange shift RCB na Tomiyasu angecheza RB , na tunge cover tatizo ,

Maana Holding alikuwa kwenye mipango ya kuachwa msimu huu, hakuna aliyetegemea tuwapoteze Saliba ,Tomiyasu kwa wakati mmoja ,
Hapana Mimi na wenzangu tulisema sana humu kuwa depth itatuua kwenye defence nikazodolewa kwamba haiwezekani wachezaji wote wakaumia wakati mmoja na kwamba tuna wachezaji versatile wengi.

Ndio maana man City inaweza pambania makombe yote maana Ina kikosi kipana yaani benchi lake tu linaweza beba EPL.
Kumbuka Tomiyasu, Saliba wanarudi pre season pia Kuna Kiwior ambaye kiwango chake Ni kizuri
Tomi hachezi mpaka January kwa taarifa zilizopo. Muda wa pre season labda recovery tu sio kucheza maana ni long term injury.
Nimesikia Arteta anataka kumtumia Kai pia Kama false 9 Kama alivyotumika Leverkusen
Hakuna anayepinga uwezo wa Kai ila sio priority kabisa kwa Sasa. Huyu Arteta anaenda kutuzamisha kabisa msimu huu kama usajili huu utafanyika.
 
Back
Top Bottom