Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,317
- 3,948
Kwa munufaa yako jifunze kwanza kuandika, jifunze matumizi ya alama za uandishi na mpangilio mzuri wa maandishi, labda naweza kuelewa unachoandika, mwandiko mbaya kama bata yaani paka unaboa. This is serious issue.
Sio munufaa ni manufaa na si paka ni mpaka, Ukitaka kumsahihisha mtu atleast na wewe uwe unajua kidogo. Arsenal inakupa stress kiasi hichi[emoji23] umeanza kuishabikia juzi nini?? We are not here to discuss who has the best hand writing and we dont care!!
The only thing we care here ni Arsenal na habari zake!