Thus why ndio maana nacheka Sana wenye mihemko
Mambo yanaenda kimya kimya Sana
£60m kwa Kai deal advanced, waku hijack wameambiwa hakuna nafasi
£100m kwa Rice , Westham anasubiri wengine waingie kwenye biding war, Rice prefer only Arsenal, hivo Arsenal Hana wasiwasi ,mpaka leo hakuna aliyeingiza mguu kwa deal la Rice , Bayern aliambiwa Mchezaji anataka Kubaki London jiji la Raha ,tuliambiwa city atatuma ofa ,kumbe Ni Westham wakitaka Arsenal aharakishe
Arsenal pia imetuma ofa ya kwanza £30m kwa Timber ,RCB ,Ajax wanataka £50m , ila Arsenal wanaamin watafika muafaka
Dili zote zipo kwenye pipeline