Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.

Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.

Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.

Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?

So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.

Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.

Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected

Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.
 
Trend siku hizi timu inakubaliana na mchezaji ikirudi kukubaliana na klabu ni bids kua rejected tu.

So saa hii United imemkosa Kim kaenda Bayern. Kwa Kane imekua ngumu, wakamuulizia Osimhen, Hojlund na Ramos wtimu zote zikataka 100M ili kuachia mchezaji.

Kwa kuhofia kupigwa wameenda kwa Watkins wa Villa. Jamaa kascore 15 goals msimu uliopita, msimu wake mbovu bado ni mzuri ukilinganisha na wa ST wao. Wamefika wamekuta Watkins anajadiliana kuongeza mkataba na Villa.

Na huyu Monchi aliyekuja hii inamaanisha Villa inaenda kua na ambitious na focused kuliko ilivyo sasa so na wao hawatotaka kumuachia Watkins na wakimuachia basi bei itakua ndefu.
 
200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.

Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.

Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.

Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?

So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.

Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.

Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected

Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.
Mwambie hamis77 Naked truth umeandika Arsenal ni team ambayo inatakiwa kuingia kwenye Guinness world record book kwa ujinga wa namna hii tushukuru last season Guardiola kutambua kosa lake la kutupa players wake na kuapa hatarudia tena otherwise usajili wa Arsenal ni majanga tu
 
Sasa fikiria dirisha lililopita Arsenal ikawa serious na Caicedo na mchezaji akawa tayari kuja kisha linakuja dirisha kubwa husikii Arsenal ikimuongelea Caicedo badala yake unasikia stori za Kai.

Ikatokea kaja Zubimendi mi sitalalamika sana
 
200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.

Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.

Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.

Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?

So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.

Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.

Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected

Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.
ujumbe kwa hamis77 ujuaji mwingi,mmemshtukia kawakimbia tena.
Anakwambia rice kampita Caceido vitu vingi, na kutuwekea vistatistics uchwara vy kumfavour rice. Wakati dunia inajua rice ni mchezaji wa kawaida sema vyombo vy habari vy Uk.
 
Kwangu Rice ni mchezaji atayechukua muda kuadopt. Ni chelsea, city na united ndiyo wanakua tayari kutoa 80M+ halafu wanakuambia mchezaji asubiriwe aadopt.

Kuna dogo anaitwa Veiga yupo Celta Vigo akija yule pale kati tutakua na Jorginho kijana
 
Sasa fikiria dirisha lililopita Arsenal ikawa serious na Caicedo na mchezaji akawa tayari kuja kisha linakuja dirisha kubwa husikii Arsenal ikimuongelea Caicedo badala yake unasikia stori za Kai.

Ikatokea kaja Zubimendi mi sitalalamika sana
Hasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .
 
Humu kuna washikaji wachache sana wenye uhalali wakushangalia mafanikio ya Mikel Arteta, most people here are losers, so chaotic like women, plastic fans, Arteta outers wanaotafuta njia ya kuja kivingine kama vinyonga.
 
️News #Havertz: He‘s very close to join Arsenal now! All depends on the final offer from Arsenal. #CFC

Havertz, keen to join #Arsenal now as personal terms are almost agreed. Arteta loves to see him in addition to Jesus.

Bayern inquired about conditions in the last days but the negotiations with Arsenal are too advanced - Bayern informed
Therefore no offer/hijack from Bayern yet.

Transfer fee package expected: at least around €80m all in. @SkySportDE
 
Hasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .
Hawa Hawa wamemtukana Arteta kwa sajili za kina Jorginho, Odegaard, Ramsadale ,Jesus, n.k

Leo Ramsdale ndiye most valuable GK duniani

Odegaard yupo kwenye list ya most valuable AM

Sizungumzii alivyowapandisha thaman kina Saka ambaye Ni 3rd most valuable duniani ,

Sitamtaja martinell , n.k

Binafsi huwa naona hata Bora nikae pemben hata mwezi mzima niangalie lawama zao tu,

Leo hao hao wanamponda Kai havertz ,kesho watakuja kumsifia
 
Ben white hujamuongelea brother.

Arteta's talent identification is next to none

Ubaya ni kwamba timu ikifanya vizuri huwezi kuwaona wanasubiri waone draw au kufungwa basi nyuki wanaibuka kushambulia EGO ya hamis

Utasikia "sisi tunasema kila siku haya mambo", sasa timu imezidiwa point nne tu dhidi ya bingwa City, afu unajikuta unasema, unasema nini kaa kimya
 
Humu kuna washikaji wachache sana wenye uhalali wakushangalia mafanikio ya Mikel Arteta, most people here are losers, so chaotic like women, plastic fans, Arteta outers wanaotafuta njia ya kuja kivingine kama vinyonga.
Jana nilikuwa naangalia mwaka 2020 Mwanzon ,Arteta alimtaka Vini Jr kwa mkopo Kipind hicho Vin Ni machachari Sana , Sasa nikawa nacheki comment za toxic fans wanavyobeza na kutukana

Huo huo mwaka ndio Vin Jr aliwaka Sana had Sasa ,na Madrid walikuwa karibu kutupa Vin kwa loan

Arteta akaenda akamuomba Odegaard kwa loan wakampa ,hakufanya vzr ,nadhan unakumbuka matus ,na kebehi alizopewa Odegaard na Arteta pale aliposema Huyu ndiye First target yake

Madrid wakatuuzia kwa £30m , leo wale haters ,na wapiga kelele kuhusu kwanini Odegaard anasajiriwa wapo kimya Kama sio wao, now wanamshambulia Kai ,

Hivi Lavia uchezaji wake unatofaut gan na Caicedo?

Arsenal ikitoa £100m kwa Rice , £60m kwa Kai , £45m kwa Lavia

Huu kwangu nitaupa 10/10

Sikuwa namkubali Rice ,but nimeangalia anavyotaka kutumika nimeelewa why hata Pep anamtaka

Rice kiasili Ni CB , so nimeona tutacheza kwa kushambulia na back 3, ambapo Rice anakuwa juu as DM , bila mpira anarud kuwa CB , juu muweke Kai & Odegaard washambulie half spaces .

3-2-2-3

White Saliba Gab

Rice Zinny

Ode Kai

Saka Jesus Martinelli
 
Ben white hujamuongelea brother.

Arteta's talent identification is next to none

Ubaya ni kwamba timu ikifanya vizuri huwezi kuwaona wanasubiri waone draw au kufungwa basi nyuki wanaibuka kushambulia EGO ya hamis

Utasikia "sisi tunasema kila siku haya mambo", sasa timu imezidiwa point nne tu dhidi ya bingwa City, afu unajikuta unasema, unasema nini kaa kimya
Thus why nilichagua kutowajibu Wala kuwa qoute , wanasubiri timu ikosee , waseme mbona hawanioni, wakitaka tujibizane , tufurahie kebehi na matusi,

Ramsdale alitukanwa had akafunga akaunt, leo huwez kuona Arteta akisifiwa kwa kuziona hizi talent na kuziendeleza

Ndio maana Mimi sishangai Mchezaji Kama Kai, Rice baada ya kuuziwa project wamekuwa haraka Sana kutaka kujiunga

Ni Westham ndio wanalazimisha biding war

But Mwisho tutashinda
 
Penye kusifia tunasifia, penye kulaumu tunalaumu; hatuendi kama makondoo kwa sababu arteta kaamua
 
Cheki mzigo huu, unaweza ukampiga mtu 7 afu kama hujamfunga vile
IMG_20230618_124854.jpg
 
Penye kusifia tunasifia, penye kulaumu tunalaumu; hatuendi kama makondoo kwa sababu arteta kaamua
Yaah unaposifia hakikisha una make sense, upo logically structured, usiende kusumbua watu timu ikishinda kwamba we're the best itl afu kesho ukipoteza urudi humu kutulilia ooh "This team is trash", inakuwa mihemko hiyo. Huwa tunaona mnavyozingua huko majukwaa ya watu na mkipoteza wa kwanza kurudi huku kulia na kutoa mapovu.
 
Ben white hujamuongelea brother.

Arteta's talent identification is next to none

Ubaya ni kwamba timu ikifanya vizuri huwezi kuwaona wanasubiri waone draw au kufungwa basi nyuki wanaibuka kushambulia EGO ya hamis

Utasikia "sisi tunasema kila siku haya mambo", sasa timu imezidiwa point nne tu dhidi ya bingwa City, afu unajikuta unasema, unasema nini kaa kimya

Timu imezidiwa point 4 tu, mentality kama hizi zinasikitisha kabisa unasahau kwamba hio timu iliyozidiwa point 4 ilikuwa imemzidi huyo aliyeizidi points 8 na zilikuwa zimebaki 10 games to go!! Unafurahia nini sasa hapo mbona mnakuwa wajinga na misukule kiasi hichi!
Ukiambiwa utaje season nzurii kwa arsenal utasema ni this season 2022/2023 , ukiambiwa utaje season nzuri kwa chelsea watakuambia 2020/2021 walipobeba uefa!! Season mbaya kwa chelsea ni 2022/2023 hawajabeba chochote kwao ni bad season lakini arsenal 2022/23 hajabeba chochote zaidiii ya kuwa bottler anakuambia ndo best season huoni hata tofauti hapo ? Chelsea atajitafuta atachukua kombe tena still arsenal itakuwa inaendelea kuhesabu phases za project
 
Fabrizio Romano

News Update

Kai Havertz has been very clear with all parties involved in the deal: he wants to play for Arsenal after green light on contract this week #AFC

Personal terms agreed, new bid to be submitted soon.

Understand there’s hope to get deal done after the international break.
 
Penye kusifia tunasifia, penye kulaumu tunalaumu; hatuendi kama makondoo kwa sababu arteta kaamua
Sijawahi kuona mkisifia zaidi mnalalamika

Unamkataa Kai ,lakin hujui why kocha anamtaka,
Waliowakataa Ode, ramsdale,n.k ndio hao hao kila siku wanalalamika

Arteta ndio kaifikisha timu hapa japo wengi walimkataa , kwahiyo malalamiko yenu hayasaidii kitu
 
Halafu Kuna watu humu Hersi aliwahi waita Wala mihogo wanakwambia Kai hafai

Wakati Kuna watu na professional zao wame analyse ,

Arsenal has analyzed #Havertz in detail. Edu & Arteta are convinced that he’s the perfect player for the offense. #Gunners

Arsenal want him as a versatile striker in addition to Jesus as reported Havertz, convinced about the project!
Final negotiations with #CFC now
Personal terms agreed in principle.

@SkySportDE
 
Back
Top Bottom