Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Thierry Henry tells us Kai Havertz has some similarities with RVP:

“He reminds me a little, a very little, of Robin with his back to goal in the way he can hold the ball...

“Robin was always very good with his left foot, the touch was immaculate to try and bring people along…

“This is why I think out of the guys who used to be wingers or 10s, he plays as a No.9, because with his back to goal he can hold the ball well. Now he needs to make sure he can transform that into more goals”.
 
@FabrizioRomano:

“From what I understand, Thomas Partey could be on the move this summer, it’s a possibility for Partey to LEAVE Arsenal. I’m told this is very concrete, a concrete chance to find a solution. There are conversations ongoing, it’s still not advanced.” #afc
 
Halafu Kuna watu humu Hersi aliwahi waita Wala mihogo wanakwambia Kai hafai

Wakati Kuna watu na professional zao wame analyse ,

Arsenal has analyzed #Havertz in detail. Edu & Arteta are convinced that he’s the perfect player for the offense. #Gunners

Arsenal want him as a versatile striker in addition to Jesus as reported Havertz, convinced about the project!
Final negotiations with #CFC now
Personal terms agreed in principle.

@SkySportDE

Tuishie hapo, Kai ninayemfahamu costing £60m plus? Kuna upingaji kwenye hili deal. Hata £30m I see him overpriced.
Hizo hela mara 100 anunuliwe olise.
 
Thomas Partey could leave Arsenal this summer. It’s a “concrete” chance that he could leave the club this summer.

Along with Declan Rice, Southampton midfielder Romeo Lavia is on Arsenal’s list this summer

.(@FabrizioRomano)
 
Humu kuna washikaji wachache sana wenye uhalali wakushangalia mafanikio ya Mikel Arteta, most people here are losers, so chaotic like women, plastic fans, Arteta outers wanaotafuta njia ya kuja kivingine kama vinyonga.
Nigga Arteta ana mafanikio gani Nigga?tuanzie hapa kwanza and then tuendelee na Mjadala umanuona Arteta ni kama Guardiola Mourinho Fergie au Wenger vile kumbe bado mtoto mothefu***** Will Jr eeti mafanikio ndio maana tunatukanwa tu humu ukikaa mbele za watu watakuona boya eti mafanikio ya Arteta heeee
 
Kuna injuries! mifano halisi ipo hata kwa season iliyopita kaumia saliba mkampa lawama holding !! Sawa hio kikosi je kinaweza kucheza season nzima without injuries kuna uefa, epl,fa cup, na carabao. Unaijua arsenal kwa injuries inavyoongoza twende tuonyeshe na mbadala wake wa hicho kikosi kaumia saliba nafasi yake anakaa nan? Kaumia jesus tuambie nafasi yake anakaa nan? Kaumia saka niambie nafasi yake anakaa nan hapo . Smith rowe yupo kai anakuja arsenal kufanya nini?? Sio kama kai sio mzuriii hapana najua is talented but je ni mahitaji ya arsenal kwa sasa?? Msimu ulioisha ukweli umejionyesha wazi kaumia saliba tu then kilichofuata wote mnakijua !!
Partey, zincheko, jesus , tomiyasu hawa kwao injuries ni lazima !! Lakini hatuoni hizo tetesi za mbadala wao !! Isifike hapa ligi imeanza mkaanza leta sababu hatutaki sababu!!!
Jifunze kwanza kuandika we nae, kuandika yenyewe hujui afu una niquote, ngoja nakupiga ignore list umbwa computerarsenal.
 
Tuishie hapo, Kai ninayemfahamu costing £60m plus? Kuna upingaji kwenye hili deal. Hata £30m I see him overpriced.
Hizo hela mara 100 anunuliwe olise.
Unamfahamu vip Kai? Mimi nafahamu Arsenal walimtaka sana kama mbadala wa Ozil akiwa Leverkusen ,na aliuzwa kwa €100m

Unamfahamu sababu ya ubovu wa Chelsea last season au vipi?

Nakumbuka akitumika Kama false 9 alifunga Sana mabao pale bundesliga , Tukimkosa Kipind kile

Edu na Arteta wame analyze na kuona anafaa kwenye mfumo , nikuulize Hawa kina Ramsdale, Odegaard, white ,Zinny, n.k wote hao ulikubaliana nao walipoletwa ?
 
Arsenal have concrete and strong interest in Romeo Lavia. Relationship is excellent with his camp — talks already took place. #AFC

Timing will be crucial as Chelsea remain interested. Man United appreciate Lavia but still not advancing. City buy back clause only valid 2024.

Romano
 
Hawa Hawa wamemtukana Arteta kwa sajili za kina Jorginho, Odegaard, Ramsadale ,Jesus, n.k

Leo Ramsdale ndiye most valuable GK duniani

Odegaard yupo kwenye list ya most valuable AM

Sizungumzii alivyowapandisha thaman kina Saka ambaye Ni 3rd most valuable duniani ,

Sitamtaja martinell , n.k

Binafsi huwa naona hata Bora nikae pemben hata mwezi mzima niangalie lawama zao tu,

Leo hao hao wanamponda Kai havertz ,kesho watakuja kumsifia
Ben white hujamuongelea brother.

Arteta's talent identification is next to none

Ubaya ni kwamba timu ikifanya vizuri huwezi kuwaona wanasubiri waone draw au kufungwa basi nyuki wanaibuka kushambulia EGO ya hamis

Utasikia "sisi tunasema kila siku haya mambo", sasa timu imezidiwa point nne tu dhidi ya bingwa City, afu unajikuta unasema, unasema nini kaa kimya
Talent identification bila clear strategy itakua kama Wenger tu. Huyo huyo Arteta alimsajili Tavares na Vieira na Lokonga and so far wamekua disastrous so tusi exaggerate uwezo wake.

Kingine Havertz anaweza akawa mzuri ila je ana address tatizo la msingi pale Arsenal? Shida yetu kubwa na nimeongelea tokea Bado tunaongoza ligi last December kwua depth kwenye defence itatuua.

Mlibisha sana ila wote tumeona yaliyotokea alipoumia Saliba so sio Kila muda Arteta anajua Kila kitu he's a human anaweza prioritize attacking akasahau defence.

Hapo ni muhimu tusajili RB na RCB au mchezaji hybrid wa hizo nafasi mbili then twahitaji CM wawili yaani rice na sub yake then we still need sub ya Saka hapo walau tunaku better ila spending 70m kwa luxury player wakati hatuna defence depth ndio Yale Yale yanajirudia.

Tutarudi Tena hapa mwakani kulaumiana jinsi tumekosa ubingwa baada ya Saka kuumia au White kuumia!!

Same old Arsenal
 
Arsenal have concrete and strong interest in Romeo Lavia. Relationship is excellent with his camp — talks already took place. #AFC

Timing will be crucial as Chelsea remain interested. Man United appreciate Lavia but still not advancing. City buy back clause only valid 2024.

Romano
Hizi ndio habari tunapenda sikia sio ujinga wa Harvetz
 
@FabrizioRomano:

“From what I understand, Thomas Partey could be on the move this summer, it’s a possibility for Partey to LEAVE Arsenal. I’m told this is very concrete, a concrete chance to find a solution. There are conversations ongoing, it’s still not advanced.” #afc
Whaaaaaaatttttttttttt Arteta anataka kufanya nini sijui
 
Arteta alishajiandaa bila Partey ,akimtumia Jorginho ambaye Hana rekod ya majeraha,

Ujio wa Lavia itakuwa mlango wa Partey kuuzwa
Aiseee, tunatoa Xhaka na Partey alfu tunaleta Rice na Lavia, upana wa kikosi sijui upo wapi hapa na ndicho kilichotuangusha msimu ulioisha, Partey sio wa kumuondoka kabisa akikamua game zake 20 tu msimu mzima zinatosha wengine watakamua zingine why tunataka kumuondoa Partey ?????
 
Talent identification bila clear strategy itakua kama Wenger tu. Huyo huyo Arteta alimsajili Tavares na Vieira na Lokonga and so far wamekua disastrous so tusi exaggerate uwezo wake.

Kingine Havertz anaweza akawa mzuri ila je ana address tatizo la msingi pale Arsenal? Shida yetu kubwa na nimeongelea tokea Bado tunaongoza ligi last December kwua depth kwenye defence itatuua.

Mlibisha sana ila wote tumeona yaliyotokea alipoumia Saliba so sio Kila muda Arteta anajua Kila kitu he's a human anaweza prioritize attacking akasahau defence.

Hapo ni muhimu tusajili RB na RCB au mchezaji hybrid wa hizo nafasi mbili then twahitaji CM wawili yaani rice na sub yake then we still need sub ya Saka hapo walau tunaku better ila spending 70m kwa luxury player wakati hatuna defence depth ndio Yale Yale yanajirudia.

Tutarudi Tena hapa mwakani kulaumiana jinsi tumekosa ubingwa baada ya Saka kuumia au White kuumia!!

Same old Arsenal
Talent ID unaipima kwa sajili zote zifanikiwe? Hakuna kocha wa hivo duniani ,Pep amefeli Mara kadhaa , Arteta kwenye sajili zake 10 unakuta 70% zinafanya vzr , hata kwenye kuendeleza vipaji, ndio maana mchezaji Kama Rice ,Kai wamevutiwa na project yake,

Kuumia kwa Saliba , Ni kweli kuliyumbisha kule nyuma ,but kumbuka ndio Kipind ambacho na Tomiyasu aliumia pia ,na Jakub kiwior alikuwa haja settle kwenye mfumo , Kama Saliba angeumia ,na Tomiyasu angekuwa ok ,bas White Ange shift RCB na Tomiyasu angecheza RB , na tunge cover tatizo ,

Maana Holding alikuwa kwenye mipango ya kuachwa msimu huu, hakuna aliyetegemea tuwapoteze Saliba ,Tomiyasu kwa wakati mmoja ,

, Jakub kiwior alipokuja kucheza alicheza vzr tu ,maana uwepo wa holding ulizuia ARSENAL kufanya build up kwa USAHIHI, Hadi Saliba hajaumia ,Arsenal ndio timu iliyokuwa inafanya buildup zinazofanikiwa kwa USAHIHI

Msimu uliopita hatukuwa na tatizo kubwa la Depth ukifananisha na msimu wa juzi, hivo Kuna progress ipo kwenye kuongeza Depth na Quality

Kama Tunamleta Rice ,lavia ,Kai ,RB ,RW Basi tutakuwa tumeongeza depth kwa asilimia kubwa

Kumbuka Tomiyasu, Saliba wanarudi pre season pia Kuna Kiwior ambaye kiwango chake Ni kizuri

Cha muhimu tunahitaji wachezaji wa 5 ambao ni versatile

Nimesikia Arteta anataka kumtumia Kai pia Kama false 9 Kama alivyotumika Leverkusen
 
Hizi ndio habari tunapenda sikia sio ujinga wa Harvetz
Nyie si ndio mlipinga ujio wa Jorginho, Ode ,n.k?

Na Kai hamumtaki ?

Ngoja tuone ,But Kai anakaribia Sana kujiunga Arsenal ,

Lavia pia mazungumzo yapo maana wakala wake ndiye kashughulikia Saka aongeze mkataba mpya
 
Aiseee, tunatoa Xhaka na Partey alfu tunaleta Rice na Lavia, upana wa kikosi sijui upo wapi hapa na ndicho kilichotuangusha msimu ulioisha, Partey sio wa kumuondoka kabisa akikamua game zake 20 tu msimu mzima zinatosha wengine watakamua zingine why tunataka kumuondoa Partey ?????
Hizi dalili niliziona alipoanza kupigwa bench , nili anticipate tutamsajili Lavia maana uchezaji wake unafanana Sana alongside na Rice

Nikaja kuona wakala wa Saka ndiye wa Lavia ,ndiye alipambana Sana Saka aongeze mkataba mpya ,

Kuna chance kubwa Lavia akatua na Partey akapewa mkono wa kwaheri
 
200M kwa mpira wa siku hizi siyo pesa ya kujisifu unapoenda nayo sokoni.

Katika 200M chelsea wanakuambia utoe 70M kwaajili ya Kai. Kwangu mimi Kai siyo mchezaji wa kutisha jamaa hajawahi kua na magoli zaidi ya 9 msimu mzima na kuna mashabiki wanaamini akija pale atakua moto.

Mtu mmoja Twitter anakuambia anakuja ili awe ndiye dominant shot taker pale mbele. Halafu ili kuprove hilo akaweka comp video ya kabla hajaja Chelsea, tatizo ni nini unajua? Hata chelsea walitumia comp vid hiyo hiyo kututhibitishia kua wamepata mchezaji mzuri.

Timu inayohusika na usajili ina ujinga mwingi. Same old Arsenal, inamtaka Buendia, Aouar, anakuja Lokonga na Vieira., Tushahitimisha tunahitaji kiungo ambaye yeye mwenyewe aliiaga mpaka timu yake kuna 90M ya Mudryk kwanini isitumike kwaajili ya Caicedo?

So Chelsea atakuuzia Kai kwa 70M kisha ataongeza 20M hivi anachukua mchezaji ambaye ni instant impact kwenye timu yao. Clever. Sisi tukichukua Kai itabidi tucheze 3 2 4 1 ili kumpa uwezekano wa yeye kupata namba kwakua wote tunajua Emile anaweza kufanya hiyo kazi ya shot taking pia hivyo hana wa kumuweka bench pale mbele.

Mi siamini Rice kama mchezaji ambaye inatakiwa kutumia zaidi ya 50M plus English tax tufanye 70M lakini West Ham wanataka 80M+ kichekesho City inamtaka Rice pia, hapo hapo ina Rodri na Kalvin ambaye anasugua benchi tangu afike.

Mashabiki tuliamini kwamba tunahitaji back up ya Saka, Caicedo na kiungo mwingine wa kudevelop pale, na ST ila sasa hivi unasikia ujinga wa Kai na bid ya Caicedo kua rejected

Upande mwingine ni kwamba PSG imeachana na Julian na imemgeukia Arteta, so leo au kesho tukisikia Arteta kaenda PSG itakua ni kwaajili ya ujinga wa bodi kutoelewa kocha akitaja targets zake basi hizo ndiyo anamaanisha anazitaka.
Mwamba umeongea vizuri Sana ni mshabiki wa Arsenal sisi sio wajinga kuwauzia Kai shida ya huyu mchezaji ni legelege Sana Bora uwe laini lakini unajua kuficha mpira ila kai vyote hana sio aggressive kabisa alafu ana shida ya kukosa magoal ovyo ovyo ndio maana amemaliza ana goal 9 msimu mzima kwa kweli mmetusaidia kutua mzigo
 
Back
Top Bottom