The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Ukiwa shabiki wa Ass'anal lazima dishi liwe limeyumba.Nikurahisishie kidogo maana arsenal fans ni vituko na wendawazimu yaaani ni kwamba baada ya uhuru wa Tanganyika mpaka sasa Arsenal ana ligi 6 na man city ana ligi 7. Wewe umeanza kushabikia mpira before uhuru [emoji23][emoji23] ama? Ipi timu kubwa hapo