Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fan base ni Instagram? Una kichaa wewe, hivi followers wa Yanga insta Wana reflect Yanga Ina washabiki wangapi hapa Tanzania? Kwamba katika watu million 60 yanga na Simba Zina washabiki chini ya 10 million?? Be serious.

IMG_1345.jpg
 
Fan base ni Instagram? Una kichaa wewe, hivi followers wa Yanga insta Wana reflect Yanga Ina washabiki wangapi hapa Tanzania? Kwamba katika watu million 60 yanga na Simba Zina washabiki chini ya 10 million?? Be serious.
Nyie hamna followers mitandaoni Kwa sababu hakuna kitu chochote mlichowahi kufanya ,hamna historia yeyote ulaya ya watu kujua mnafanya nin [emoji23]...
 
Si unaona Sasa, imejaa plastic fans tu yaani watalii na washabiki wafuata upepo tu ila sidhani kama Ina washabiki hata million 1 Dunia nzima.

Ila eti ni timu kubwa ya kulinganisha na Arsenal? Hahahhaa
Wewe ni fan wa arsenal ?

Una identity yeyote inayoonesha wewe ni real fan au plastic fan ?

Ulishawahi enda hata London au hata kukata ticket kuangalia game yeyote ya arsenal ?

Katika wanachama halisi wa arsenal wewe unajulikana hata jina ,achilia mbali picha [emoji23] ?

Una identity yeyote inayoweza kudhibitisha kuwa wewe ni fan wa arsenal maana hata huwezi nunua jezi original ya arsenal [emoji23]

Tupe empirical prove Kuwa wewe ni shabiki wa arsenal ,kadi ya uwanachama n.k ,maana kuchambua ujinga humu ndani sijui lengo ni UEFA , ordegard ni best AMD , martnell ni hatari [emoji23],havidhibitishi kiwa wewe ni shabiki wa arsenal,hata mbwa yeyote anaweza sema ..!!

Jibu hoja Kwa hoja ....

Vinginevyo wewe ni mpumbavu mmoja usiejua lolote kuhusu football tulia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukubwa wa arsenal uko wapi ?

Mnasema mnahistoria ,arsenal ina historia gani barani ulaya ?

Ni kitu gan mlishafanya ulaya dunia nzima ikasema yes ?

Arsenal ni timu ndogo mnoo ,Toka inaanza imecheza final Moja ya CL ,Haina historia yeyote ulaya ,...

Mara ya mwisho mmegongwa 10 -2 na buyern munich kwenye hio CL mnayokimbilia saizi ,...

Na bado Hao madogo mlionao mwaka kesho mnaenda kunyooshwa magoli ya kutosha huko CL ,..

Labda histori ya mashoga ,maana huko training ground kina lacazete wameacha historia ya kutiana ,kupiga pumbu wanaume wenzao kina viela,....malinda hawana kabisa wale madogo , lacazete sio mtu mzuri [emoji23]
Cheki hi kuku, wewe inaonekana fyuzi kazaa zimekatika

Inaonekana lacazzete alishawi kukusukumia mti nyama sio buree

Yani wewe tu kuitambua Arsenal Kama mshindani inatosha kusema ni club kubwa

Wew unajua kua sisi tuna kombe ambalo hakuna timu apo kwa Charles king ilishawahi kubeba zaidi ya Arsenal na haitakuja kutokea tena [emoji16]

Tushawambia tutayabeba ayo kaa kwa kutulia.
 
Wamshukuru arteta kuja kuwasaidia team inanuka ushoga , lacazete alikuwa anawapiga pipe wale madogo mpaka huruma ndio maana unawaona kama wala unga wachezaji wa arsenal ....

Kutwa kuchezea dushe la lacazete,training ,changing room kote kulikuwa kunanuka kupigana machine tu ,ndioo maana wanachama cha #gunnergay [emoji23][emoji23]...hii team kuishabikia lazima uwe huna akili mzee

Sasa mtu team yake iko na ..

Epl 3

Uefa 0

Final za UEFA 1

Fa 14

Anakwambia inahistoria [emoji23][emoji23][emoji23],team kama hii haijawahi fanya kituuu chochote balani ulaya , buyern ,Barcelona , madrid zimeidhalilisha hii team mpaka huruma ,mpaka mashabiki wanajinyonga masikin ya Mungu ,mara ya mwisho kuchukua epl 2003/2004[emoji23][emoji23]......fanbase ya nyoko labda

Team Ina followers 26m Instagram [emoji23],tweeter , Facebook,..kangalie team kubwa dunia buyern ,real Madrid ,ac Milan ...ndio utajuaa nin maana ya fan base ...


Arsenal ni small team kama Everton tu ...msituchoshe akili #gaygunner nyie
Wewe ni mchicha mwiba, naona unajitangaza Sana [emoji16], hapa sio mahari pake

Ulivyo kazana sasa kujipigia promo, uzuri humu jf mabasha wapo subiri waje wa kutatuee marinda.

Mwanaume kuongelea mbooro za wanaume wenzio inaonesha dhahiri unaukalia
 
Cheki hi kuku, wewe inaonekana fyuzi kazaa zimekatika

Inaonekana lacazzete alishawi kukusukumia mti nyama sio buree

Yani wewe tu kuitambua Arsenal Kama mshindani inatosha kusema ni club kubwa

Wew unajua kua sisi tuna kombe ambalo hakuna timu apo kwa Charles king ilishawahi kubeba zaidi ya Arsenal na haitakuja kutokea tena [emoji16]

Tushawambia tutayabeba ayo kaa kwa kutulia.
Kombe gani arsenal mmebeba team nyingine Haina ...

Taja Hilo kombe ,

Hoja kwa hoja ....
 
Wewe ni mchicha mwiba, naona unajitangaza Sana [emoji16], hapa sio mahari pake

Ulivyo kazana sasa kujipigia promo, uzuri humu jf mabasha wapo subiri waje wa kutatuee marinda.

Mwanaume kuongelea mbooro za wanaume wenzio inaonesha dhahiri unaukalia
Wazee wa upinde hakuna kitu unaweza nambia wewe ,[emoji23][emoji23][emoji23]mkileta huu ujinga tz tutawanyoosha
Screenshot_20230525-080115.jpg
 
Nashkr Mungu hata baadhi ya mashabik wa Gunners wameanza onekana hapa jukwaani sema saiv wamebadilika wanabishania ukubwa fan base sio mpr tena na jinsi gn wao ni htr sana msimu huu[emoji23].. Sio mby ukikosa kombe walau tafuta hata cha kubishania kdg ujipe faraja ya moyo.. Ndg zng wana Gunners nawaelewa na wala sina baya na nyie cha muhm mnaonekana ni jambo jema maana weng wenu tulijua lbd hata mme commit suicide tyr.
 
timu fulan ikiwa na kombe lao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jipatie screenshot za arseanal akiwa kamuacha city point 8 clear ofa kwa watakaowahi ntawatumia bure pa1 na picha ya romsdale changamkia ofa ya mwez wa 6
JamiiForums1050839301.jpg
 
Kwamba Nottingham Forest ni kubwa kuliko Arsenal kisa European Cup? Haaahaaa nyie jamaa ni zaidi ya vichaa.

Ukubwa wa timu ni Fan Base vis a Vis Mapato ya merchandise sio UCL Moja ndio libadili yote hayo.

Wewe unaijua Steau Bucuresti? kwamba kisa ina UCL basi ni kubwa kuliko Arsenal?

Plastic cunts!!
Yap..ni kubwa zaidi. Yaani mtu mwenye PhD lazima amekuzidi wewe wa la-saba 'B'
 
Niliwaambia hawa forwards wa cheltako finishing ni mziki ila wakipata ST tujipange
 
Nimeenda UEFA...Nasikia mwaka huu na nyie mmeenda uefa.

nileteeni aseno
nileteeni aseno
nileteeni aseno
nileteeni aseno
Screenshot_20230525_225222_All%20Goals.jpg
 
Kitu kimoja watu wanachokosea ni kutojua Arsenal tulianza msimu huku 1st objective ni kua ndani ya top 4.

Angalia transfers tulizofanya.

Timu ambayo ilikosa top four msimu uliopita kisa MId msimu uliofuata alienda na Mid gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom