Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukana unavyoweza but Arsenal ndio una record FA cups na ndio pekee EPL kumaliza unbeaten.

Man City mnaisifia sana ila Ina UCL? Kwahiyo ni timu ndogo?

Acheni utoto ukubwa wa timu ni zaidi ya UCL.
Kwa kipindi cha miaka takribani 20 Arsenal ina matatizo yaleyale yanayojirudia ambayo chanzo chake kikuu ni uwekezaji hafifu kwenye usajili.

Zama hizi za mpira pesa ni ngumu kwa Arsenal kuwa mbabe endelevu pale Epl na Ulaya kwa ujumla hadi pale watakapoboresha kanuni zao za uwekezaji
 
Chumaa hichoo ..
mancity-20230521-0016.jpg
 
Tukana unavyoweza but Arsenal ndio una record FA cups na ndio pekee EPL kumaliza unbeaten.

Man City mnaisifia sana ila Ina UCL? Kwahiyo ni timu ndogo?

Acheni utoto ukubwa wa timu ni zaidi ya UCL.
Unabishina na hawa wavamizi umu, hawa vichwa vyao havielewi kuhusu football wanaelewa kuhusu matokeo basi... Watakufanya na ww uonekane hujui tu
 
Historia kisa UCL pekee? Kwahiyo Man City ni timu ndogo kisa tu Haina UCL? mnafurahisha.

Arsenal ni timu kubwa sababu ya fan base, Ina history with most FA Cups which is the oldest trophy, ya 3 kwa wingi wa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya uingereza.

Hao Man City au Chelsea hawana history or fan base ni timu zilizoibuka baada ya kununuliwa na wauza gesi na mafuta ya urusi na UAE!! but arsenal has earned it's status through hard work and perseverance.
Ukiwa shabiki wa Ass'anal lazima dishi liwe limeyumba.
 
Yeah ni kweli mwakani hatuwezi kushinda ligi sababu morale imekufa kabisa, ila walau kikosi kitakuwa kipana so tunaweza ongeza nguvu ya kujiimarisha top 4 then in 2 or 3 years tuka mount a serious title challenge.

Ila twaweza beba FA, Carabao n.k maana tutakua na kikosi kipana kuliko Sasa. Hii ni project na wachezaji ni vijana so mpaka wafike peak tutakua tishio kama Arsenal ya 1997-2005.

Newcastle uwezekano wa kuchukua epl ni mkubwa kuliko Arsenal. Kumbuka 2007/2008, 2013/2014,2015/2016 na kubwa lao ni 2022/2023 angalia misimu hiii arsenal alichoma kwa timu zipi? It was Birmingham, soton, blackburn , na westham . Specialist and masterclass in failure . Hizi fa na carabao hazina maana kabisa achana nazo!!!
 
Tuna ligi 13 so unachoongea ni utumbo tu. Hao Man City Wana 9 sisi tuna 13 hapo Bado FA cup za kumwaga.

Stop comparing legendary Arsenal to plastic clubs!! Na soon hiyo man City itafungiwa na kufutiwa Mataji yake kelele zipungue.
 
Hujajibu swali? Man City ni timu ndogo kisa Haina UCL?
Na ndiyo maana wanapambana wabebe UCL ili waingie kwenye orodha ya timu kubwa, huwezi kuwa mkubwa halafu huna kombe la wakubwa, hapo ulipo ukibishana na shabiki wa Nottingham Forest au Aston villa lazima akushinde mana makombe yote uliyonayo yeye kabeba ila yeye akikuonesha UCL tu huna la kumjibu.
 
Tuna ligi 13 so unachoongea ni utumbo tu. Hao Man City Wana 9 sisi tuna 13 hapo Bado FA cup za kumwaga.

Stop comparing legendary Arsenal to plastic clubs!! Na soon hiyo man City itafungiwa na kufutiwa Mataji yake kelele zipungue.

arsenal ina mashabiki wendawazimu kwelii, unaongelea mataji 13 ambayo toka mwaka 1990 mpaka 2023 ni 3 tu mmeshinda haya mengine ni enzi za ujima . 1990-2023 ni takribani miaka 33 una mataji 3 , man city toka 2010 -2023 ni takribani miaka 13 na ana ligi 7 . Katika miaka 33 iliyopita arsenal ana ligi 3 na man city ana ligi 7 then unafanya comparison ya man city na arsenal kwelii . Mashabiki wa arsenal wengi ni wendawazimu kwelii
 
Tuna ligi 13 so unachoongea ni utumbo tu. Hao Man City Wana 9 sisi tuna 13 hapo Bado FA cup za kumwaga.

Stop comparing legendary Arsenal to plastic clubs!! Na soon hiyo man City itafungiwa na kufutiwa Mataji yake kelele zipungue.

Nikurahisishie kidogo maana arsenal fans ni vituko na wendawazimu yaaani ni kwamba baada ya uhuru wa Tanganyika mpaka sasa Arsenal ana ligi 6 na man city ana ligi 7. Wewe umeanza kushabikia mpira before uhuru ama? Ipi timu kubwa hapo
 
Pep team talks anakuambia “ everything we have won guys has been on the pitch, lets go and win it “
Arteta yeye analeta mbwa anamuita “ win” ooh sijui win needs alot of love and we love winning akajua sijuii huyo mbwa anaenda kuchezaa.

Arteta amefanya kazi kubwa though!! simpondi heshima nyingi kwake
 
Back
Top Bottom