zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,177
- 39,628
Ujima ndio Nini? Arsenal ipo kabla hata ya vita kuu ya kwanza ya Dunia Sasa kwa kuwa umezaliwa juzi huwezi potezea rekodi za nyuma. Hiyo man City licha ya kuwekeza mabilioni imetuzidi kombe Gani taja Moja tu mjadala uishe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] arsenal ina mashabiki wendawazimu kwelii, unaongelea mataji 13 ambayo toka mwaka 1990 mpaka 2023 ni 3 tu mmeshinda haya mengine ni enzi za ujima[emoji23][emoji23] . 1990-2023 ni takribani miaka 33 una mataji 3 , man city toka 2010 -2023 ni takribani miaka 13 na ana ligi 7 . Katika miaka 33 iliyopita arsenal ana ligi 3 na man city ana ligi 7 then unafanya comparison ya man city na arsenal kwelii . Mashabiki wa arsenal wengi ni wendawazimu kwelii