Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
MANCHESTER city Leo kazi anayo
Humu kuna vitoto mkuu. Sasa nimeshangaa kajitu 2015 kapo form 5 sijui form 3. Mwaka 2010 ndio kaanza kuangalia mpira.Yaani alafu unaongea kabisa hata aibu huna, eti umeanza kushabikia mpira 2015, duuhh wewe wala sio wa kubishana na wewe kuhusu soka, ni katoto kweli kweli...
Leo kipigo hakikwepeki mkuu just relax upakwate.Hii game ya leo sisi siyo favorites kushinda in any way.
Niliwaambia wenzangu, city kua kwenye michuano mingi siyo tatizo kwake kwakua ana kikosi kinachomtosha kuzunguka kote huko. Shida ilikua kwetu zaidi mechi mbili unaongoza mbili bila mechi moja unaongozwa tatu na mshika mkia.
Hapo haihusiani na ubora wa city hapo ni ubovu wetu.
Mpaka hii mechi ya leo Arsenal hatujawa na cleans sheet katika mechi sita mfululizo. Tumeshinda huku tunaruhusu magoli na sasa tunaruhusu suluhu za magoli mengi.
Vieira ni miongoni mwa wachezaji wenye akili kwa Arsenal, hana mwili mkubwa, lakini pia hana stamina. Hawezi win duel atalose kila duel pale kati ambayo itapelekea tuwe kwenye hatari. Kwa nini badala ya Vieira akakaa Trossard pale? Na directions kwa Zinchenko ziwe clear kua asisogee mbele kuvuka dimba?
Kati ya Vieira na Trossard ni Trossard ndiye anaweza wekeana msuli na mtu, akadribble, akaassist, na akashuti kumtext kipa. Sasa hivi Lokonga ana stamina na endurance kuliko Vieira, itakua risk kukomaa na Vieira.
Last game city alitususia possession ninachoamini game hii hatofanya hivyo badala yake atataka kutubully na atafanikiwa. Kama tungekua tunaweza kucheza long balls tungeopt kupark basi na kucounter ila hatuwezi so itabidi tuishikilie game plan ile ile.
Anyway with a squad like this naamini tunaweza challenge
Ramsdale
White Holding Gabriel Zinchenko
Partey
Ramsdale Trossard
Jesus
Saka Martinelli
Unahadaa jamii.Arsenal bingwa
Hujui kitu.Leo kipigo hakikwepeki mkuu just relax upakwate.
Naona mpiga domo wenu hamis77 yupo matopeni kajificha huko mkishinda Leo hatakuja na kelele kweli.
Weka msimamoKESHO MIDA KAMA HII WATAKUWA WANALAUMIANA "GABRIEL SIO BEKI AISEE"View attachment 2600152
Mara ya mwisho kumfunga city kwenye ligi kikosi kilikua hikiKwamba timu inastruggle kufanya build up kisa Saliba hayupo?