Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenane hapa wanaona ni kama Nketiah kabeba ndoo.. unaokoto okota vitoto huko unataka na kombe nalo uokote!
Screenshot_20230521_220432_Instagram.jpg
 
So Leicester, Leeds na Everton mbili kati yao wanaweza kushuka daraja.

Timu tatu ambazo misimu miwili nyuma ilikua ukikutana nazo inabidi ujishikilie.
Alf zinawachezaji wazuri. Sana sijui shida ipo wapi tu
 
Arsenal tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kikosi maana depth ndio imetuua lakini kwa upande wa pili tumejitahidi sana kuliko matarajio wakati msimu unaanza.

1. On a positive note tumequalify UCL kitu ambacho hatukufanikiwa kwa miaka mingi Sasa.

2. Kingine tuna momentum kubwa hivyo tutaingia msimu ujao na motisha zaidi Ili tuweze kufanya makubwa.

3. Tuna kikosi Cha vijana kwahiyo inatupa matumaini kwamba mafanikio yatakuja tu maana wachezaji wetu Bado Wana umri na career kubwa huko mbele.

4. Tuna manegement yenye kiu ya mafanikio na ipo tayari kuwekeza dirisha hili kuongeza ubora wa kikosi.

5. Tuna kocha anayejitambua kwahiyo with time atakua better na sio kuporomoka. Alianza vibaya sana msimu uliopita lakini unaweza ona alivyotubadilisha Hadi kuwania kombe na Man City!!

So washabiki wa Arsenal tuwe optimistic na msimu ujao.
 
Hakuna mwaka ambao arsenal atapata nafasi kama aliyokuwa nayo, this was the bottlers of all time.
April 8 upo ahead then unachoma , Hakuna mwaka arsenal atapata chance kama hii mpaka 19 mingine ipitee
 
Yeah ni kweli mwakani hatuwezi kushinda ligi sababu morale imekufa kabisa, ila walau kikosi kitakuwa kipana so tunaweza ongeza nguvu ya kujiimarisha top 4 then in 2 or 3 years tuka mount a serious title challenge.

Ila twaweza beba FA, Carabao n.k maana tutakua na kikosi kipana kuliko Sasa. Hii ni project na wachezaji ni vijana so mpaka wafike peak tutakua tishio kama Arsenal ya 1997-2005.
 
Huwezi kuwa shabiki wa timu haina historia ya makombe makubwa alafu ukasema hiyo timu ni kubwa, hapo lazima dish liwe limeyumba.
Historia kisa UCL pekee? Kwahiyo Man City ni timu ndogo kisa tu Haina UCL? mnafurahisha.

Arsenal ni timu kubwa sababu ya fan base, Ina history with most FA Cups which is the oldest trophy, ya 3 kwa wingi wa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya uingereza.

Hao Man City au Chelsea hawana history or fan base ni timu zilizoibuka baada ya kununuliwa na wauza gesi na mafuta ya urusi na UAE!! but arsenal has earned it's status through hard work and perseverance.
 
mSikilizeni huyu mlevi.
 
Back
Top Bottom