Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Jirani....Wapi nimekataa statistics?
Wewe umekurupuka kujibu post yangu. Niliongea jinsi Chelsea ilivyochukua 50 tangu kuanzishwa mpaka kuchukua major trophy; Arsenal iliwachukuwa miaka 44 pamoja na kubebwa kuingia first division baada ya hongo kutembea. Wewe umechagua tu kisehemu cha mwisho katika post yangu, punguza emotions, jibu the whole damn thing!!
Jirani....
Kuweka rekodi sawa ni vema pia ungetueleza kwamba baada ya 1954/55 Chelsea hawajachukua first division/EPL tangu mwaka huo na walikuja kuchukua kombe (EPL) msimu wa mwaka 2004/2005 baada ya Roman kuinunua(miaka 50 baadae).....Hapa gap la 50 years limejirudia tena i.e 1905-1954/55 na 1955-2004/05....
Pia ikumbukwe kwamba Chelsea wamechukua ubingwa wa first division/EPL mara nne(04) ilhali Arsenal wamechukua ubingwa wa first division/EPL mara kumi na tatu(13)...
Jirani
Tulikuwa tunaongelea makombe in general, sio 1st Div/EPL peke yake.
Kuhamia Arsenal that would be downgrading myself, hata wewe unajua hiyo fact. It won't happen, I'll die a Blue!! Wewe naweza kusema ni mgeni kiasi fulani kwenye hili jukwaa la footy (labda kama umebadili ID mkuu), jaribu kuuliza wakongwe watakwambia kwanini tunapenda kuja hapa kwenye jukwaa la Arsenil, na ligi ikianza inakuwa zaidi. Kwa kukupa hint kidogo ni kwamba washabiki wa Arsenil wanaongoza kwa kuchonga dhidi ya timu pinzani huku wakiikweza Arsenil, hivyo tunakuja hapa kuwaweka kwenye mstari. Jaribu kuzungukia majukwaa ya Chelsea na Manure utaona hao jamaa zako walioipenda post yako jinsi wanvyochafua hali ya hewa. Tuna bahati kwamba tangu Jambo mpaka leo Jamii Forums, Arsenil hawajachukua hata Carling cup, vinginevyo jukwaa la sports lingekuwa halikaliki. Anyway, kama unaamini katika kubadili timu unakaribishwa Stamford Bridge ufurahie mafanikio na Chelsea maana huko Arsenal ni frustration na stress tupu!
BTW, vipi zile mechi zenu za qualification mnacheza lini? Angalieni msiishie Chanell 5.

Jukwaa hii kuna watu wanaonekana mkishinda tuu, Kweli, Richard, Radical, Kibunango, Ng'wanza Madaso naye anakujaga watu wakishaondoka kuna watu kama Kana kansungu, Game Theory waliona isiwe shida wakaamua kuingia mitini jumla jumla tangu 2007 mnasemaga hivi hivi msimu huu ni bakora kwa kwenda mbele blah blah......LOL...hhhahhhaaahhaaa...Na bado, msimu huu tunakuja na moto mpya!
Ni washabiki wa Arsenal tu wasiokimbia jukwaa hapa...
Hebu jitahidini msimu unaoanza keshokutwa nanyie muweke nia!...tunaanza Roll Call;
Peasant, Masanilo, Aljuniortz, Ab-titchaz, Invisible -alishastaafu kipindi kile cha misiba mfululizo?-, Rev Kishoka, wote rudini kundini hapa.
Wale mashetani, kuna 1st Lady BelindaJacob, Manda (hiki ni kisiki matata!) Belo, Mfarisayo, Eqlypz...lol...mzee wa video huyu!...RR anauma akipuliza...
Bwawa la maini kabakia MTM tu, kamanda wangu huyu...
Spuds kuna Klorokwini, yeye huibuka siku za mavuno tu!....
Jiandaeni kwa madongo, msimu huu ni mawe na matofali kwa kwenda mbele maana hamna tena vijisababu Ooohh, Tor-the-Goaless sijui bado hajajua formation, mara Ooohh,...Rooney mkewe mjamzito...
Arsenal, The Gunners!!! pamoja kama kawaida!!!!!
..."Bundi" anaruka ruka kama kawaida...!!!
hahaha usijali mi wa kitambo sana humu , mi nasubiri kwa hamu pre-seasson na boca Jr. gooners match za qualifications zile hatuna mchecheto! tunapita as usual!! kwa ile syle yetu ya soccer ( only barca can match) na marekebisho angalau ni madogo aliyofanya wenger! ... next season gooners watakuwa Ass kickers .. cant wait that day ambayo tutakufunga wewe ... tehtehte ...
Jukwaa hii kuna watu wanaonekana mkishinda tuu, Kweli, Richard, Radical, Kibunango, Ng'wanza Madaso naye anakujaga watu wakishaondoka kuna watu kama Kana kansungu, Game Theory waliona isiwe shida wakaamua kuingia mitini jumla jumla tangu 2007 mnasemaga hivi hivi msimu huu ni bakora kwa kwenda mbele blah blah...
...LOL...hhhahhhaaahhaaa...Na bado, msimu huu tunakuja na moto mpya!
Ni washabiki wa Arsenal tu wasiokimbia jukwaa hapa...
Hebu jitahidini msimu unaoanza keshokutwa nanyie muweke nia!...tunaanza Roll Call;
Peasant , Masanilo, Aljuniortz, Ab-titchaz, Invisible -alishastaafu kipindi kile cha misiba mfululizo?-, Rev Kishoka, wote rudini kundini hapa.
Wale mashetani, kuna 1st Lady BelindaJacob, Manda (hiki ni kisiki matata!) Belo, Mfarisayo, Eqlypz...lol...mzee wa video huyu!...RR anauma akipuliza...
Bwawa la maini kabakia MTM tu, kamanda wangu huyu...
Spuds kuna Klorokwini, yeye huibuka siku za mavuno tu!....
Jiandaeni kwa madongo, msimu huu ni mawe na matofali kwa kwenda mbele maana hamna tena vijisababu Ooohh, Tor-the-Goaless sijui bado hajajua formation, mara Ooohh,...Rooney mkewe mjamzito...
Arsenal, The Gunners!!! pamoja kama kawaida!!!!!
..."Bundi" anaruka ruka kama kawaida...!!!
...LOL...hhhahhhaaahhaaa...Na bado, msimu huu tunakuja na moto mpya!
Ni washabiki wa Arsenal tu wasiokimbia jukwaa hapa...
Hebu jitahidini msimu unaoanza keshokutwa nanyie muweke nia!...tunaanza Roll Call;
Peasant, Masanilo, Aljuniortz, Ab-titchaz, Invisible -alishastaafu kipindi kile cha misiba mfululizo?-, Rev Kishoka, wote rudini kundini hapa.
Wale mashetani, kuna 1st Lady BelindaJacob, Manda (hiki ni kisiki matata!) Belo, Mfarisayo, Eqlypz...lol...mzee wa video huyu!...RR anauma akipuliza...
Bwawa la maini kabakia MTM tu, kamanda wangu huyu...
Spuds kuna Klorokwini, yeye huibuka siku za mavuno tu!....
Jiandaeni kwa madongo, msimu huu ni mawe na matofali kwa kwenda mbele maana hamna tena vijisababu Ooohh, Tor-the-Goaless sijui bado hajajua formation, mara Ooohh,...Rooney mkewe mjamzito...
Arsenal, The Gunners!!! pamoja kama kawaida!!!!!
..."Bundi" anaruka ruka kama kawaida...!!!
Jukwaa hii kuna watu wanaonekana mkishinda tuu, Kweli, Richard, Radical, Kibunango, Ng'wanza Madaso naye anakujaga watu wakishaondoka kuna watu kama Kana kansungu, Game Theory waliona isiwe shida wakaamua kuingia mitini jumla jumla tangu 2007 mnasemaga hivi hivi msimu huu ni bakora kwa kwenda mbele blah blah...
General Wacha1- Head, Air Strike Division ( recruited from snipers squadron and since has received so much accolade and remarkable reputation for his bravery and precise target bombardment on enemies territory)
This is the reason you keep losing battles, soon you gonna lose the war! You can't put Mohammed Saeed al-Sahhaf on frontline and expect to win the war!
Responsible to oversee the whole operation
Mtani mimi ni mwanajeshi kamili na katu sikimbii mapigano, tukishinda nipo na tukifungwa nakuja tunajadili na kutathmini, wakati mwengine nakuwa nimebanwa kwenye hustle and bustle za mujini kaka, msimu tulioondoka nao kuanzia Machi nilikuwa mbali na sio JF tu bali hata mtandaoni kutokana na mambo fulani binafsi (personal)
Ila ukweli huku jukwaa la michezo Arsenal tunaongoza kwa kuwa na wanachama wenye msimamo, huku kaka tuko full nondo, hebu cheki iyo executive board yetu.
Field Marshall: A. Wenger - Chief of joint staff, responsible in overseeing all Units.
Field Marshall G Theory (Henry) - (semi retired) replaced by F Marshall Wenger.
General Wacha1- Head, Air Strike Division ( recruited from snipers squadron and since has received so much accolade and remarkable reputation for his bravery and precise target bombardment on enemies territory)
Gen. Mbu - Responsible for planning, tactical and frontline manouvering, head of planning unit
Gen. Kibunango - semi-retired Air Strike Division, slowly handing over day to day war-field operation to Gen.Wacha1,
Gen. Balatanda - Head of Intelligence unit.
Gen. Kweli - 1st Infantry division
Gen. N Madaso- 1st cavalry division
L. Gen. Michelle - Head of public relation
Gen. BAK - Director of Communication.
Gen. BabaMkubwa - Head, Combat Engineerings.
Gen Viper - Head of Reconnaissance
Gen. Richard - Artillery division
Gen Companero - Head of Logistic
L Gen.Radical - Welfare department.
Other sitting board members L Gen. Jeb2002, L Gen Rejao.
Sasa jopo hili apo adui anapokuja kizembe-zembe anatafuta kubomolewa.
Nyie tumewazoea msipoangalia msimu huu mnaondolewa top 4 ,ila ukweli mashabiki wa The Blues wanaongoza kwa kupotea jukwaani

Executive board kubwa sana kama baraza la mawaziri la CCM!! Au kuna uhusiano kati ya magamba na Arsenil?