Arsenal (The Gunners) | Special Thread

project ya kupambania Epl tu nayo imefeli🤣
 
Kuna Fan wenu m1 mpumbav yuko kule Twitter anaitwa WelBeast sijui.. Anatk msiitwe Bottlers wa ubingwa.

Ss hii ni nn ndg zng Yan unajiita title contender unakua na run mbovu kias hcho ya results.

Yan ingekua kuna Sheria kali hapa dunia wote waliyoiita Arsenal title contender walitakiwa wakamatwe wawe Kizuizini had sasa.
 
Never ever haitakaa itokeee members humu tunadanganyana Arsenal ni team ya kisenge no vision at all last season tukalia and now today tunalia
Kwanza kabisa nikupe pole ndugu yangu kwa unayopitia, nmeona ulivyoandika hii komenti February 16, baada ya wiki moja wale mazombi vichwapanzi wakaanza kukujia juu na kukukejeli kwa kila namna, mara waseme una roho ya kike mara mamluki.

But karma is a bitch, leo hii komenti imepata mashiko, ni vile tu ndugu yangu huna noma na mtu hujataka kufukua makaburi ya waliokutukana.

Uliona mbali sana, acha wajuba tuendelee kufukua uozo wa wanaojiita wachambuzi wa soka.
 
A real definition of Mwehu.


Yani wewe uko tayari hata timu ipigwe 6 ila muongoze possession na mcheze mpira mzuri?

Kweli hii timu ina DNA za u trophyless kuanzia wachezaji,wamiliki mpaka mashabiki.
 
Wanaojua timu yao sasa
Unajua logic ya ushabiki wowote dunian?
Mashabiki duniani kote hawapendi kitu kwa logic au fact.ushabiki umejikita katika hisia tu.logic kwa shabiki ni kitu cha baadae saana.
Hebu jiulize aston villa iliwahi chukua UEFA,Leo ni miaka mingapi imepita?mashabiki wameiacha?

Liverpool imewagharimu miaka mingapi kuja kuiona EPL?mashabiki waliiacha?

Ukiwa shabiki hisia zinatangulia kwanza kisha fact na logic vifuata baadae
 
A real definition of Mwehu.


Yani wewe uko tayari hata timu ipigwe 6 ila muongoze possession na mcheze mpira mzuri?

Kweli hii timu ina DNA za u trophyless kuanzia wachezaji,wamiliki mpaka mashabiki.
Nikisema huyu jamaa akamatwe. Mnaona mm nazingua.

Mtu gani mwenye akil atafurah kuongeza possession na kucheza vzr bila Results?.. Huyu jamaa ni mlaghai kawadanganya wenzake yy yupo anazurura tu mtaani.

@hamiss77 akamatwe.
 
A real definition of Mwehu.


Yani wewe uko tayari hata timu ipigwe 6 ila muongoze possession na mcheze mpira mzuri?

Kweli hii timu ina DNA za u trophyless kuanzia wachezaji,wamiliki mpaka mashabiki.
Yy hamuoni Kadri miaka inavokwenda hata pep mwnyw hayuko obsessed tena na team yake iwe na possession anabadilika kutokana na nyakat kwa sbb mpr sik izi ni science kali sana ya tactics ukibak sehem moja watu wakupiga kama ngoma maana wanakua wamekujulia mchezo wako.

Ss @hamiss77 alivokua mwehu ulikua unamuona anakuja humu na starts uchwara kusifu mambo ya kijinga mara possession mara sijui expected goals Xg sijui.

Ww angalia game ya man city na Everton tu huo upuuz wa hamiss sijui XG city alikua ana 0.76 wkt Everton ana 1.78.. Lkn Everton Kala 3.

Ss angekua huyu mwehu @hamiss77 ndo Arsenal imepigwa izo 3 hlf wanaongoza iyo Xg wao ungemuona ambao angekuja na hoja za kipumbav kutetea walivocheza mpr mkubwa
 
Sikia hili dubwasha jingine.
 
project ya kupambania Epl tu nayo imefeli🤣
Haijafeli. Tumepambania title ila tumeshindwa. Ilikuwa tunapambana kuingia top 4. Ikawa ngumu tukaanza kupambana kuingia top 6. Hiyo nayo ikawa ngumu tukaanza kupambania top 10. Daah. Sasa season kama hii ni bonge la improvement. Nitawapongeza Kwa hilo ingawa demands zangu ni zaidi ya hapo.
 
Nyie wakimbizi mwacheni Hamis. Sasa mnamuandama ila subirini tuanze kuchapa wapinzani consecutively huku nyie mkipigwa muone atavyo revenge
 
Nyie wakimbizi mwacheni Hamis. Sasa mnamuandama ila subirini tuanze kuchapa wapinzani consecutively huku nyie mkipigwa muone atavyo revenge
Yan katk kitu tuko nacho sure sisi wakimbizi ni Arsenal haiwez beba kombe lolote kubwa hapa karbn
.

Ilo mkuu nakwambia tuko nalo sure tena kwa asimilia nyng sana Arsenal fungu lenu ni la kukosa Yan hamuwez kaa table moja tena na team kubwa zilizo serious na ubingwa.

Kwhy kama hamis77 anategemea kufanya revenge lbd iwe kama ya msimu huu tu mnaanza vzr lkn sisi ndo tutamaliza msimu tunawacheka nyie
 
Arsenal anzeni kwa kumtimua Arteta na kuleta kocha. Yule Edu naye pamoja na wamiliki wa timu wanazingua tu.

Arsenal ni wachezaji 4 tu wanastahili kuwa starters kama mnataka kushindania makombe: Odegaard, Partey, Saka & Trossard wengine wote siyo wachezaji wa kutegemea ukianza na Jesus, wale mabeki wenu wote ni wachezaji wa kuanzia bench pamoja na kipa wao.

Niliwahi kusema kinachowagharimu Arsenal ni wachezaji wa mafungu. Mchezaji kama Caicedo mngempata angeimarisha sana eneo la kiungo. Mlipata nafasi ya kumsajili Martinez mkashindwa na United kufika dau.

Kwenye project yenu mnatakiwa mjue kuwa hiki kikosi mlichonacho sasa ni wachezaji 4 tu wanastahili kuanza ila kama Arteta anahisi hapa ndiyo anamalizia basi bado sana.
 
Hapana saliba,ziny, Tomi, Rowe , nelson martineli bado tunawahitaji wanaweza kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…