Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal anzeni kwa kumtimua Arteta na kuleta kocha. Yule Edu naye pamoja na wamiliki wa timu wanazingua tu.

Arsenal ni wachezaji 4 tu wanastahili kuwa starters kama mnataka kushindania makombe: Odegaard, Partey, Saka & Trossard wengine wote siyo wachezaji wa kutegemea ukianza na Jesus, wale mabeki wenu wote ni wachezaji wa kuanzia bench pamoja na kipa wao.

Niliwahi kusema kinachowagharimu Arsenal ni wachezaji wa mafungu. Mchezaji kama Caicedo mngempata angeimarisha sana eneo la kiungo. Mlipata nafasi ya kumsajili Martinez mkashindwa na United kufika dau.

Kwenye project yenu mnatakiwa mjue kuwa hiki kikosi mlichonacho sasa ni wachezaji 4 tu wanastahili kuanza ila kama Arteta anahisi hapa ndiyo anamalizia basi bado sana.
Hapana saliba,ziny, Tomi, Rowe , nelson martineli bado tunawahitaji wanaweza kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hapana saliba,ziny, Tomi, Rowe , nelson martineli bado tunawahitaji wanaweza kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Acheni ubairi ingieni sokon wakuu nunueni pia na wanaume wa kazi.. Kikosi cha watoto tupu wacheza Ps hakiwez shindana na wanaume wakiwa wanatk kombe.

Policy yenu ya vijana ni sawa lkn kama mnatk kurud kwny makombe ya maana sajilini watu wa kazi watu ambao wako matured enough to compete na wanaume wenzao sio rojorojo ikifika sehem wanakua weak kisaikolojia.

Na ayo yote mnabid mkubal kutoa hela mwageni pesa.. Jamaa kawaambia hapo mnakuaga na nafas nzr ya kupata players wazr tatz ss mnajikuta wabairi. Hlf mnatk kubeba ubingwa haiwezekan.

Kuna watu humu Walisema wkt Arsenal anaongoza kua mbona hata Leicester alifanya maajab.. Angalieni ile Leicester bad ilikua na watu matured na mentality ya kuweza kuwa push over the line na kubeba ndoo watu hao Arsenal kwa sasa hawapo.
 
Hapana saliba,ziny, Tomi, Rowe , nelson martineli bado tunawahitaji wanaweza kabisa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sijasema wauzwe ila wanafaa kama squad players na siyo starters. Mchezaji kama Tomiyasu ni liability tu kwa timu, timu inapomhitaji yupo nje kwasababu ya injury.

Nketiah, Elneny, Xhaka, Nelson, Vieira, Tomiyasu, Holding. Fagio liwapitie kuanzia msimu huu.
 
539ACCDD-6737-40E1-8C22-01C11B46EAD5.jpeg
 
Haijafeli. Tumepambania title ila tumeshindwa. Ilikuwa tunapambana kuingia top 4. Ikawa ngumu tukaanza kupambana kuingia top 6. Hiyo nayo ikawa ngumu tukaanza kupambania top 10. Daah. Sasa season kama hii ni bonge la improvement. Nitawapongeza Kwa hilo ingawa demands zangu ni zaidi ya hapo.
Kumbe unaelewa ni project.. ambayo inachukua muda shida sasa Hamis alisahau hilo kaja kushabikia msimu huu ambao ni matokeo ya project za miaka ya nyuma..... kutwa kushinda kwenye uzi wa Manchester kuponda usajili wa Anthony🙄 wakati ndo kwanza mwaka wa kwanza..... mpaka akawa kero ukawa ushabiki maandazi mshinde mfungwee yeye yumo na nyinyi tuu sasa wacha tumalize hasira zetu na sisi kwake mtuvumilie tuu😂😂😂😂
 
Unajua logic ya ushabiki wowote dunian?
Mashabiki duniani kote hawapendi kitu kwa logic au fact.ushabiki umejikita katika hisia tu.logic kwa shabiki ni kitu cha baadae saana.
Hebu jiulize aston villa iliwahi chukua UEFA,Leo ni miaka mingapi imepita?mashabiki wameiacha?

Liverpool imewagharimu miaka mingapi kuja kuiona EPL?mashabiki waliiacha?

Ukiwa shabiki hisia zinatangulia kwanza kisha fact na logic vifuata baadae
ulichosema ni kwel asiimia mia..
 
Nyie wakimbizi mwacheni Hamis. Sasa mnamuandama ila subirini tuanze kuchapa wapinzani consecutively huku nyie mkipigwa muone atavyo revenge
Hilo ndio tatizo lake, muoga sana, yeye anataka utani wakati ni shabiki wa Arsenal, msimu mmoja unajitahidi misimu 10 maumivu.
 
Tumefungwa na timu ambayo misimu miwili mbele inaweza kushuka daraja. Classic symptoms anafungwa na Nottingham anamfunga nyumbu anafungwa na Everton anamfunga Arsenal.

Tusiposajili msimu huu tutaishia na stori za "Better luck next time"
 
Kwan brighton wana tofauti gani na Azam ya bongo?
Game kubwa zote wanazishika hivi hivi ila muachie game ndogo ndogo uone, ukitaka kuamini waone Next Game.
 
Tumefungwa na timu ambayo misimu miwili mbele inaweza kushuka daraja. Classic symptoms anafungwa na Nottingham anamfunga nyumbu anafungwa na Everton anamfunga Arsenal.

Tusiposajili msimu huu tutaishia na stori za "Better luck next time"
Suruhisho ni usajili kwenye Muhimu kwenye kila nafasi Muhimu zaid, na idadi iwe na wachezaji wanne+ kinyume na hapo ni kilio tena msimu ujao.
 
Back
Top Bottom