Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji wengi wa Arsenal Wana fatigue including Partey. Ila kwenye ubora wao nadhani Partey ana offer vitu vingi kuliko Jorginho
Vitu gani hivyo?
IMG_20230507_235323.jpg
 
We are now guaranteed of a second place

Second place is nothing!!! After being in top for such long time and then we bottled the title!!! Tunaomba Manchester afungwe ila anaefungwa ni the wrong Manchester
We are not happy at all!!! Daah hizi game westham na Southampton tulikuwa tunawaza nini tumechoma sana huu ulikua msimu wetu huu!!
Saivii tumeacha kushabikia arsenal juzi tulikuwa leeds ,westham na keshokutwa tupo everton
We are not happy at all !!
 
Partey yupo more flexible kuliko Jorginho, hii inamfanya Partey kuwa mzuri kwenye tight space. Partey defensively ni mzuri kuliko Jorginho, Partey ana jicho zuri la kupiga vertical pass kuliko Jorginho (flexibility inamsaidia).

Rejea game yetu dhidi ya sporting cp, alipokuwa Jorginho na alipoingia Partey, kipindi Gani timu ilitulia? Timu kama "inapelekewa sana moto" kati ya Jorginho na Partey nani ni option nzuri?
 
Game zilizobakiii za city
Everton
Brighton
Chelsea
Brentofrd
Tusichokee kuomba mabaya kwa city ubaya , ubaya tu!!! Ndo kilichobaki atleast lets have hope japo ni false hope!! Hizi game one draw one loss for city maombi yaendelee it’s possible
 
Hongereni Arsenal nyie ni mabingwa
Man City hawezi shinda games na Brendford na BHA
Hata Everton kwake hamfungi
Nyie ni washindi
7d0d2717-1d9c-466b-975d-b8f4cd412d02.jpg

We have been calling the keague
 
Partey yupo more flexible kuliko Jorginho, hii inamfanya Partey kuwa mzuri kwenye tight space. Partey defensively ni mzuri kuliko Jorginho, Partey ana jicho zuri la kupiga vertical pass kuliko Jorginho (flexibility inamsaidia).

Rejea game yetu dhidi ya sporting cp, alipokuwa Jorginho na alipoingia Partey, kipindi Gani timu ilitulia? Timu kama "inapelekewa sana moto" kati ya Jorginho na Partey nani ni option nzuri?
Jorginho ni passer mzur ila akifanyiwa high pressing hawezi kucheza na anaachia karibu na lango bure bure tu
 
Uzuri nadhani Arteta huwa anajifunza kutokana na makosa. Last season tulikosa top 4 kijinga kabisa. This season kaipata 2nd place with 3 games to spare ila alipaswa kushinda title. Labda hata yeye, kama sisi na huenda wachezaji wake, alikuwa haamini kinachoendelea...kwamba tupo kileleni na uwezekano wa ubingwa upo.
Mwisho wa siku....self sabotage ya Hali ya juu
 
Yap kuhusu kujifunza arteta Yuko vizuri ndio maana kuna watu nimewahi wambia humu arsenal haturudi tulipotoka Sana ndio tunasonga amejifunza mengi msimu huu hivyo next time atafanya zaidi hasa kwenye kupngeza kikosi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Halafu ikawaje tena?
Brighton next. Mimi Arsenal ninachoona mkijitajidi sana ni points 90 na City akiteleza sana ni points 90 maana yake wapate draw 2 na win 2.

Kwahiyo GD itaamua. Everton na Chelsea mimi naona hizo ni points 6 kwa City. Brighton na Brentford wanaweza kufanya jambo au wakapigwa wote.
 
Back
Top Bottom