Mimi siyo mpuuzi. Lakini nitamchagua Partey siku yoyote
mpaka kufikia kuwa ni mshabiki wa Arsanal basi ni mpuuzi, mupo too emotional na hamuishi kwenye uhalisia. Tatizo lenu kubwa mkipenda mnapenda hasa, hua hata ukweli hamuuoni tena.
Mimi siyo mpuuzi. Lakini nitamchagua Partey siku yoyote
Sawa. Hua najitahidi kujudge mchezaji kwa ninavyomuona siyo kwa ninavyotaka awe.mpaka kufikia kuwa ni mshabiki wa Arsanal basi ni mpuuzi, mupo too emotional na hamuishi kwenye uhalisia. Tatizo lenu kubwa mkipenda mnapenda hasa, hua hata ukweli hamuuoni tena.
Nakumbuka last season mlisema "Arsenal huu ndio ulikuwa msimu wenu wa kuingia top four, mmeupoteza haitotokea tena" hivyo unachosema sio kitu kipya brother, Arteta yupo hapo kuwafundisha soka mamluki kama wewe.Arsenal huu ndo ulikuwa msimu wenu,,,,poleni kuja kushinda tena PL sio Leo wala kesho!
Next season kuna timu zitafungulia busta zote, this time ilikuwa kitonga tu
Jorginho hawezi kukaba kwa maana ipi? Kama anaweza kucheza a holding midfield role against the best transitional team in the league (Newcastle ) na akawa man of the match, akarecord clean sheet, afu unatuambia hawezi kukaba we namna gani? Unajua mnazingua at times, Usiongee kuhusu kukaba kama huelewi maana ya kukaba, shida yetu wengi tunaangalia mpira individually wakati mpira ni collective sport, mchezo wa watu kumi na moja, msikilize nguli Johan Cruyff anazungumza nini kuhusu defending, labda utajifunza kitu.Sawa. Hua najitahidi kujudge mchezaji kwa ninavyomuona siyo kwa ninavyotaka awe.
Ikiwa Jorginho hawezi kukaba hata umuandikeje hatoanza kukaba leo
Hata Everton bado ana match na City, sasa utachagua wewe kati ya Everton au brighton ugongwe na yupiHii Brighton ndo tunaomba itushikie man city au kuna nyingine![]()
Hii judgment ya kwamba Jorginho mzuri umeitoa kwakua amecheza na Newcastle au siyo?Jorginho hawezi kukaba kwa maana ipi? Kama anaweza kucheza a holding midfield role against the best transitional team in the league (Newcastle ) na akawa man of the match, akarecord clean sheet, afu unatuambia hawezi kukaba we namna gani? Unajua mnazingua at times, Usiongee kuhusu kukaba kama huelewi maana ya kukaba, shida yetu wengi tunaangalia mpira individually wakati mpira ni collective sport, mchezo wa watu kumi na moja, msikilize nguli Johan Cruyff anazungumza nini kuhusu defending, labda utajifunza kitu.View attachment 2614928
Partey anachomzidi J20 ni physicality tu, kwa wanaojua mpira hili wala halihitaji mjadala. Arsenal imeundwa kwa mid aina ya J20, na uzuri Arteta kakubali kutokuwa stubborn. Binafsi sihitaji hata mijadala ya TP, i've had enough of him, now i'm ready for the new holding midfielder.Hii judgment ya kwamba Jorginho mzuri umeitoa kwakua amecheza na Newcastle au siyo?
Umeangalia mechi? Umeona jinsi mid yetu ilivyokua overwhelmed at times?
Tuassume hii umeiangalia ile mechi ya round ya kwanza uliiangalia? Partey alikua dimbani, Newcastle wakajaribu walichokifanya jana wakagundua watapotea wakapaki basi.
Wewe unasema kacheza na Newcastle he is the best. Partey kacheza na nani nani?
Partey anatoka anaingia Jorginho, Jorginho anashindwa kutrack back tunaconcede, nyingine tena ameingia akaenda sambamba na mpinzani, mpinzani akastop yeye akaganda pasi ikatolewa mbele yake tukaconcede kama kumbukumbu zangu zipo sawa baada ya hii ndiyo Jorginho hajaingia tena mpaka juzi.
Niambie kama uliangalia hizi mechi zote?
Hivi unajisikia unachoandika? Hii unachoandika kuna dogo wa twitter anakiandika anaitwa nonewthing. Juzi alisema kwamba Arsenal imeundwa kwaajili ya id kama Jorginho.Partey anachomzidi J20 ni physicality tu, kwa wanaojua mpira hili wala halihitaji mjadala. Arsenal imeundwa kwa mid aina ya J20, na uzuri Arteta kakubali kutokuwa stubborn. Binafsi sihitaji hata mijadala ya TP, i've had enough of him, now i'm ready for the new holding midfielder.
Sasa ngoja nikuambie kitu.Mikel Arteta yeye anaona tofauti, sio lazima uwe na power and pace ili kuwa kiungo bora epl, its all about intelligence, technique and insight..
Mikel Arteta on Jorginho vs Newcastle: “He was exceptional, he was man of the match, there were question marks because it was going to be really physical.
“If you want to go physicality against physicality, you have no chance to win the game so we had to try something different.
“He understood the game really well, he's a really intelligent player. He gives a lot of security to the team and dominated the game in many moments.” [Sky Sports] #afcView attachment 2614959
Point zako huwa sizielewi mkubwa, huwa najaribu kukuelewa ila nashindwa. Kila siku unanishangaza na kitu kipya, Juzi ulikuwa una mdefend Holding kwamba sio tatizo la Arsenal, nikakwambia timu yetu inapata tabu kufanya build up kwa sababu ya kukosekana Saliba na uwepo wa rob holding, ukashangaa kinafki kwamba "Arsenal tuna tatizo la build up kwa kukosekana Saliba?" Kana Kwamba ulikuwa huoni magoli mengi tuliyofungwa kwa kufanya makosa kwenye build up phases baada ya Saliba kuumia,( wewe unaweza ukakataa kwamba hatukufungwa magoli ya hivyo, kwa record kaangalie mechi za Westham & Soton), leo anacheza Jakub kiwior na fluidity kwenye build up unaiyona, timu ipo comfortable kuplay out from the back, we did this very well against Newcastle( the most physical team itl) tunatengeneza nafasi & magoli mbele yanapatikana, sababu ni kwamba vile unavyoanza build up ndio inaathiri mchezo wako mbele utakuwaje (msikilize Guardiola au cruyff kwenye hili)Sasa ngoja nikuambie kitu.
Arsenal sisi ni wabovu kwenye kushambulia na kudefend kwa long balls, kama tungekua na style hii ya uchezaji Jorginho angekua anatufaa mno, kwa sasa hichi ndicho Arteta anafanyia kazi.
Forwards wakimaster hii ishu basi Jorginho atatupa glimpse nyingi za 1 V 1
Sasa mkuu unakaa unanisimulia mechi? mimi naangalia principles of play wewe unaangalia style of play, wakati mi naangalia compact in defence, we unaangalia ku track back, yaani mi nangalia game collective we unasimulia individuality, mimi hata niangalie mechi moja kwa mwaka i can tell hii game inahitaji hiki na hiki for improvements, sababu nitarudi kwenye principles kwanza iwe ndanda na pamba, au Bayern na City, sasa wewe kwa vision yako kama ungekuwa director wa Barcelona ni wazi Iniesta, Xavi & Busquets wasingecheza pale, hii ni km Marco van basten kutaka Guardiola aondolewe Barca sababu hana nguvu, hawezi kuruka, hawezi kukaba(individually) wakati kocha anaangalia game collective zaidi.Hii judgment ya kwamba Jorginho mzuri umeitoa kwakua amecheza na Newcastle au siyo?
Umeangalia mechi? Umeona jinsi mid yetu ilivyokua overwhelmed at times?
Tuassume hii umeiangalia ile mechi ya round ya kwanza uliiangalia? Partey alikua dimbani, Newcastle wakajaribu walichokifanya jana wakagundua watapotea wakapaki basi.
Wewe unasema kacheza na Newcastle he is the best. Partey kacheza na nani nani?
Partey anatoka anaingia Jorginho, Jorginho anashindwa kutrack back tunaconcede, nyingine tena ameingia akaenda sambamba na mpinzani, mpinzani akastop yeye akaganda pasi ikatolewa mbele yake tukaconcede kama kumbukumbu zangu zipo sawa baada ya hii ndiyo Jorginho hajaingia tena mpaka juzi.
Niambie kama uliangalia hizi mechi zote?
Mkuu! Wewe si Kuna kipindi ulisema Partey ana lacks fotball IQ, lakini baadae tulivyoanza kudominate games, ukasema sasa TP ameimprove. Sasa kama TP kaimprove kwenye kucontrol game, plus na baadhi ya sifa alizomzidi J20 (eg, flexibility, physicality, etc) huoni J20 kaachwa mbali na TP?Sasa mkuu unakaa unanisimulia mechi? mimi naangalia principles of play wewe unaangalia style of play, wakati mi naangalia compact in defence, we unaangalia ku track back, yaani mi nangalia game collective we unasimulia individuality, mimi hata niangalie mechi moja kwa mwaka i can tell hii game inahitaji hiki na hiki for improvements, sababu nitarudi kwenye principles kwanza iwe ndanda na pamba, au Bayern na City, sasa wewe kwa vision yako kama ungekuwa director wa Barcelona ni wazi Iniesta, Xavi & Busquets wasingecheza pale, hii ni km Marco van basten kutaka Guardiola aondolewe Barca sababu hana nguvu, hawezi kuruka, hawezi kukaba(individually) wakati kocha anaangalia game collective zaidi.
Hakuna wa kumzuia City kwa sasa. Kosa kubwa kwa arsenal ni games za So'ton na Liver, zile draw mbili points nne zinazotugharimu ubingwa.


Mkuu sio mbili ni draw 3 na kabati moja. Unazingua!Mkuu sio mbili ni draw 3 na kabati moja.
Mlidraw na Liver, Westham na Southampton kisha City ndio akaja kuvunja kabati kwa kipigo kitakatifu cha 4-1
Hanaga consistence brother. Imagine, your best holding mid anakaa sub kwenye mechi muhimu za kuamua msimu wako unaishaje!Mkuu! Wewe si Kuna kipindi ulisema Partey ana lacks fotball IQ, lakini baadae tulivyoanza kudominate games, ukasema sasa TP ameimprove. Sasa kama TP kaimprove kwenye kucontrol game, plus na baadhi ya sifa alizomzidi J20 (eg, flexibility, physicality, etc) huoni J20 kaachwa mbali na TP?