Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uzuri nadhani Arteta huwa anajifunza kutokana na makosa. Last season tulikosa top 4 kijinga kabisa. This season kaipata 2nd place with 3 games to spare ila alipaswa kushinda title. Labda hata yeye, kama sisi na huenda wachezaji wake, alikuwa haamini kinachoendelea...kwamba tupo kileleni na uwezekano wa ubingwa upo.
Mwisho wa siku....self sabotage ya Hali ya juu
Hii quote naikubaligi sana.
20230506_082657.jpg
 
The rule is so simple, be compact in defence , be safe with your circulation. Jorginho does that. But Declan Rice is the best in the World, he can offer way more than that.
 
Uzuri nadhani Arteta huwa anajifunza kutokana na makosa. Last season tulikosa top 4 kijinga kabisa. This season kaipata 2nd place with 3 games to spare ila alipaswa kushinda title. Labda hata yeye, kama sisi na huenda wachezaji wake, alikuwa haamini kinachoendelea...kwamba tupo kileleni na uwezekano wa ubingwa upo.
Mwisho wa siku....self sabotage ya Hali ya juu
Changamoto ambayo hamuioni ni kwamba mist players wanaingia msimu mwingine na fatique kubwa. Kazi vijana waliofanya msimu huu kuwa top of the league kwa 90% ya msimu ni kubwa mno. Nguvu ilitumika sana. Wako exausted. Msimu ujao performance expected to be low labda muwalete alternative players kwa nafasi za kimkakati
 
Brighton next. Mimi Arsenal ninachoona mkijitajidi sana ni points 90 na City akiteleza sana ni points 90 maana yake wapate draw 2 na win 2.

Kwahiyo GD itaamua. Everton na Chelsea mimi naona hizo ni points 6 kwa City. Brighton na Brentford wanaweza kufanya jambo au wakapigwa wote.
Hakuna wa kumzuia City kwa sasa. Kosa kubwa kwa arsenal ni games za So'ton na Liver, zile draw mbili points nne zinazotugharimu ubingwa.
 
Changamoto ambayo hamuioni ni kwamba mist players wanaingia msimu mwingine na fatique kubwa. Kazi vijana waliofanya msimu huu kuwa top of the league kwa 90% ya msimu ni kubwa mno. Nguvu ilitumika sana. Wako exausted. Msimu ujao performance expected to be low labda muwalete alternative players kwa nafasi za kimkakati
Yes. Kweli kabisa
 
Huu ni mwanzo tu, hakuna uchovu hapa, vijana wetu wengi umri mdogo, msimu ujao tunapiga pointi 100, atayemaliza juu ya Arsenal bingwa.
 
Saka kachoka, bado hao wengine wataperform below std. Sio lazima wote wachoke. Key players wakishindwa kudeliver end product nzuri timu nzima inastrugle
Saliba kakosekana tu mkaruhusu magoli ya hovyo
 
Arsenal hatutakuwa na key player msimu ujao, kila mchezaji ni key na atakuwa replaceable vilevile, Saliba & Saka hawakuwa na mbadala quality wise, wanaoelewa mpira wanajua hilo.
 
Brighton inaonyesha classic symptoms za mid table team.

Anafungwa na Forest anamfunga United. What next anaongozwa 3 na Everton
 
Arsenal huu ndo ulikuwa msimu wenu,,,,poleni kuja kushinda tena PL sio Leo wala kesho!
Next season kuna timu zitafungulia busta zote, this time ilikuwa kitonga tu
 
ya tatu ipi mjomba Hassan
Man Utd this season.

★Carabao
★FA cup final
★Still in top four

Arsenal this season

★Chicken meeting in Fa Cup...OUT
★Chicken meeting in Carabao...OUT
★Chicken meeting in Europa...OUT
★Chicken meeting in premier league... BOTTLED

We are having a better season than the Trophyless Chicken meeting battalion by miles.
1683570881682.jpg
1683570877766.jpg
 
Back
Top Bottom