Umemuinamia naniuwanja umeinama
Two clear chances missed
Another clear chances missed
Kwani uongo??Man u tulivyopigwa goal mbili mlituona kama wabovu sana.
Wakijichanganya tuKombe tunabwba au hatubebi?
Wamachoka Sana yaan mno tunakomaa kibishi tu na tungekua kwenye michuano mingi ilikua balaaa hatuna kikosi cha kurotate chenye quality sawaSema Arsenal Kuna kama athleticism flani imepungua, ukicompare na tulivyoanza ligi.
Naona kama Kuna wachezaji Wana fatigue, hasa Saka na Zinchenko