Chatta g
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 611
- 984
Yuko fresh uki mkompare na mwanetu holdingWakubwa mliocheki gemu, kwio vipi na leo mmemuonaje?
Ila tu vichwa jamaa bado hana timing, mvivu,, mimi nimeona hili
Yuko fresh uki mkompare na mwanetu holdingWakubwa mliocheki gemu, kwio vipi na leo mmemuonaje?
Tuliza izo kende wewe trophilesIn football sense haya majinga ndiyo ilibidi yashangilie ushindi wa Arsenal ili yajipe fursa kubaki top four.
Lakini kwakua ni manyumbu hayawezi kuelewa
He is good but he is too conservative in defending. Still anapiga pass vizuri, defensive awareness ni kubwa bado aerial defense ni ishu ila mzuri kwenye ground defense.Wakubwa mliocheki gemu, kwio vipi na leo mmemuonaje?
Ok Sasa tujibuni kwanini hamuongozi ligi wakati mlikaa pale juu miezi yote iyo.Nikawa nawaambia games za kuhofia ni City, Chelsea na Liva
Chelsea siyo kwa vile yuko vizuri ila kwavile ni derby. Hao wengine tunajua kwanini.
Anatokea mpuuzi mmoja anakutajia Newcastle, unamuuliza kama aliiangalia mechi ya kwanza anakujibu hapana unauliza huu uhakika unautoa wapi anajibu sisi tulifungwa mbili
Anyway, Wajinga United wanaingia uwanjani soon.
wewe ni miongoni mwa MACHOKO mliojificha JF,sasa Penati gani ile??upo Kizimkazi huko bandani unaleta ujuaji kwa walio Live uwanjani,CHOKO kweli weweAseno anabebwa tena hapa, penalt ya kudaka mpira VAR inaifuta.
Beki wa mpira huyo, akipata game nyingi atatisha sanaWakubwa mliocheki gemu, kwio vipi na leo mmemuonaje?
Huwezi kua mjinga na kusurvive. Kama una mwanao mfundishe hilo, wewe tayari ushachelewa.Ok Sasa tujibuni kwanini hamuongozi ligi wakati mlikaa pale juu miezi yote iyo.
He is good but he is too conservative in defending. Still anapiga pass vizuri, defensive awareness ni kubwa bado aerial defense ni ishu ila mzuri kwenye ground defense.
Kwenye build up vipi analeta balance?He is good but he is too conservative in defending. Still anapiga pass vizuri, defensive awareness ni kubwa bado aerial defense ni ishu ila mzuri kwenye ground defense.
Yeah. Haogopi mpiraKwenye build up vipi analeta balance?
Arsenal NDOOArsenal bakuli
Haaland kiatu
Ngoja tumcheki Declan Rice hapa
Uko sahihi kabisa jamaa haruki ama akiruka anaruka kwa kuzuga basi...Yuko fresh uki mkompare na mwanetu holding
Ila tu vichwa jamaa bado hana timing, mvivu,, mimi nimeona hili
Nafasi ya tatu ipi hiyo 😂 tulia ule chuma hichoooooooAsante sana arsenyani Sasa nikakae nafasi ya 3 leo.
Kumbe sometimes mnakuwaga na akili.