Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sema Arsenal Kuna kama athleticism flani imepungua, ukicompare na tulivyoanza ligi.
Naona kama Kuna wachezaji Wana fatigue, hasa Saka na Zinchenko
Wamachoka Sana yaan mno tunakomaa kibishi tu na tungekua kwenye michuano mingi ilikua balaaa hatuna kikosi cha kurotate chenye quality sawa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Sema Arsenal Kuna kama athleticism flani imepungua, ukicompare na tulivyoanza ligi.
Naona kama Kuna wachezaji Wana fatigue, hasa Saka na Zinchenko
Even martinelli...starters wengi wamechok...na zile draw plus kipigo cha city akili zimevurugika kabis...
 
Newcastle tunazingua sana hili game, tunacheza kama vile hatuoni mbele 😂
 
Asante sana arsenyani Sasa nikakae nafasi ya 3 leo.

Kumbe sometimes mnakuwaga na akili.
 
In football sense haya majinga ndiyo ilibidi yashangilie ushindi wa Arsenal ili yajipe fursa kubaki top four.

Lakini kwakua ni manyumbu hayawezi kuelewa
 
Every Manchester United fan wanted arsenal to win today.... The watchdogs makes the move...lets pressure the city fans #coyg
 
Nikawa nawaambia games za kuhofia ni City, Chelsea na Liva

Chelsea siyo kwa vile yuko vizuri ila kwavile ni derby. Hao wengine tunajua kwanini.

Anatokea mpuuzi mmoja anakutajia Newcastle, unamuuliza kama aliiangalia mechi ya kwanza anakujibu hapana unauliza huu uhakika unautoa wapi anajibu sisi tulifungwa mbili

Anyway, Wajinga United wanaingia uwanjani soon.
 
Back
Top Bottom