Arsenal (The Gunners) | Special Thread

David Ornstein names Arsenal’s 4 summer midfield targets.

Arsenal are looking to sign two of their four midfield targets this summer, with interest in Declan Rice, Moises Caicedo, Mason Mount, and Mohammed Kudus.

According to the claims, Arsenal would be looking to sign either Rice or Caicedo for the 6 position, with either Mount or Kudus playing as an 8.

Ornstein added that the Kroenkes will continue to invest in the team, not resting on their laurels after Arsenal’s qualification back to the Champions League was mathematically confirmed on Wednesday.View attachment 2601760View attachment 2601761View attachment 2601762
 
Huenda wakamsajili Mohammed Kudus na Mason Mount kwasababu Declan Rice na Caisedo bado wanagharimu fedha nyingi.

Maison Mount itategemea Pochettino atakua na mpango gani nae ila atakuwa ni bargain kama Trossard maana Chelsea nao wamepanga kupunguza idadi ya wachezaji na wengi mikataba itasitishwa khasa wale over 29.

Pochettino anapenda kukuza vipaji tangia akiwa Southampton na Tottenham hivyo atataka wachezaji wake ataoona wafaa.

Kudus kwa sababu ni versatile afaa kwenye system ya Arteta ya 4-3-3 hivyo ataweza kucheza kama kiungo upande wa kushoto badala ya Xhaka au mshambuliaji wa pembeni ili Saka awe aenda bench.

Pia Kudus hucheza nafasi ya "force nine" na amecheza nafasi hiyo na Ajax kwenye CL.

Ajax na Chelsea watataka kati ya £50-£60 kwani hao hawakusajiliwa kwa gharama sana.

Ila mimi ningekuwa ndo mmiliki wa Arsena ningeenda West Ham na Brighton na kuweka mezani £100 ya Declan Rice na £80 ya Moises Caisedo, wamaliza biashara.

Rice na Caisedo ni vielelezo tosha vya baadhi ya wachezaji wazuri wa kiungo kwenye PL.

Mechi ya Arsenal na West Ham Rice alimnyang'anya mpira Thomas Patey akiwa amezubaa na akasababisha West Ham kupata goli lao la kwanza na baadae West Ham wakasawazisha kupitia Bowen.

Thomas Partey na baadhi ya wachezaji wa Arsenal wanaonyesha wamechoka sana na ari ya wachezaji imepungua.
 
With Holding and Gabriel mtasota sana
Niliwaambia majeruhi ya Saliba itawacost wakaja wataalamu wa soka kama kawaida wakasema hilo sio tatizo kwa sababu hakuna fana wa Arsenal aliyesema hilo
Sasa mnaye Holding na Gabriel
  1. Holding ni passive defender - not agressive,yaani defender aliyezubaa
  2. Gabriel sio intelligent defender - kachangamka ila hatumii akili
Hiyo pair itawaumiza sana pale nyuma
Chelsea pamoja na msimu mbovu hatukufungwa mabao mengi kama nyie
Aliyempita Chelsea (35) kwenye magoli ya kufungwa ni City (29) na Newcastle (26) tu
 
Nilimchukia huyu mjinga Partey kwenye World Cup. Alituangusha sana Waafrika, yuko very slow vijana wa Ghana wanakimbiza lenyewe linacheza ronyo ronyo. pumbaf.
Casemiro aliikimbia test ya Partey. Flexible, agile, strength, yaani nikimuangalia Camavinga namuona Partey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…