Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana mkuu kwenye Mpira unategemea pia weakness za wenzio kufanya vizuri. Hata msimu ambao Leicester alibeba ligi timu zote kubwa zilikua hovyo ndio maana alibeba ndoo kwa point chance mnoo kulinganisha na mabingwa wengine wa EPL.

Mfano msimu ujao tunaweza pata injuries kwa watu kama Saka, Odegaard ama Martinelli tayari msimu unafia hapo. Au say Chelsea ikapata kocha mzuri, kwa kikosi chake tu wanaweza fikisha 80+ points, hapo Bado Newcastle itamwaga pesa kuongeza depth and so will Man UTD na Liverpool so usitegemee ubora wetu pekee utatubeba sometimes na failure za competitors zinakubeba.

Pia Kuna kitu kinaitwa fatigue, ukipambania kitu sana ukakikosa morale yote inakufa. Imagine tumeongoza ligi kwa almost Kila wiki alafu Bado tumepoteza ubingwa unadhani mwakani fighting spirit inatoka wapi? Saka atakua gassed out, Odegaard motisha itashuka, ndio Mpira ulivyo. Unfortunately our time has passed usishangae Arteta akatimuliwa msimu ujao.
Kaka kuanzia msimu wa mwaka jana katikati arsenal ilibadirika ikaongeza ubora na sio form,kilichotuponza mwaka jana ni squad depth kuingia top four,mwaka huu tumeongeza wachezaji na ubora ule ule tunakaribia kufikisha point zaid ya 80,kwahyo arsenal ipo katika kuongeza ubora na sio kushuka chini .kwahyo timu nyingine inabid zitufate tulipo ni ngumu sana kwa arsenal mwakan wakashindwa kufikisha point 80,cha msingi nikuongeza world class players tuwe na uhakika wa ubingwa maana level aliyoipandisha MAN CITY ni ya juu sana
 
TAITO KUNITENDA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
TAITO KUNITENDA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
TAITO KUNI WHAT??

TAITO KUNITENDA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ishu kubwa na muhimu ni Champions League tumerudi. Huu ubingwa utakuja tu
Adi rahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ass'anal ingechukua ubingwa ningeumia sanaaaaaaa, kama ambavyo Simba ikishinda leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
TAITO KUNITENDA, yuko wapi hamisa77

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]
 
Ass'anal ingechukua ubingwa ningeumia sanaaaaaaa, kama ambavyo Simba ikishinda leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye kimataifa Sina shida na Simba. Ila huu ubingwa mpaka Kuna wana Liverpool na Chelsea walianza kutuunga mkono tuuchukue ila Kuna baadhi ya mashabiki wetu wakawafokea nakuwaambia wapambane na Hali zao. Naona hiyo laana inatutafuna 😄😄
 
Kwenye kimataifa Sina shida na Simba. Ila huu ubingwa mpaka Kuna wana Liverpool na Chelsea walianza kutuunga mkono tuuchukue ila Kuna baadhi ya mashabiki wetu wakawafokea nakuwaambia wapambane na Hali zao. Naona hiyo laana inatutafuna [emoji1][emoji1]
Kimataifa kwa Simba labda kimataifa ya nyokoo, kuhusu Ass'anal nna furaha sanaaaaa mana sisi wapenzi wa kitambo wa epl tunaichukia Ass'anal kuliko hao Chelsea na liverfool, hizo team sisi hatuna tatizo nazo labda mashabiki wa uingereza huko lkn kibongo bongo adui namba moja wa man u ni Ass'anal.
 
HHata Mimi natamani Nyumbuz wawe wanashika nafasi ya 16 au 17 Kila msimu
Kimataifa kwa Simba labda kimataifa ya nyokoo, kuhusu Ass'anal nna furaha sanaaaaa mana sisi wapenzi wa kitambo wa epl tunaichukia Ass'anal kuliko hao Chelsea na liverfool, hizo team sisi hatuna tatizo nazo labda mashabiki wa uingereza huko lkn kibongo bongo adui namba moja wa man u ni Ass'anal.
 
London is blue and red 😂

20230429_071641.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom