


















































Tatizo la manyumbu wanashangilia utadhani ligi imeisha!.. kiukweli Bado nafasi ya ubingwa ipo hapo kuumia Kwa Saliba ni pigo kubwa sana kwetu!Wakuu tusikimbie uzi bhana!!!
We still have the chance!!!
I have haka ka-feeling bado!!!
, thats why hata tulipokua top of the table ilikua kama tembo juu ya mti. Maana zaidi ya misimu 3 tunachoma ivi ivi watu wote wakawa hawaamini if we can win it na walikua sahihi . Only arsenal tuna tatizoo sio bure, Liverpool kabeba mpaka Leicester kabeba even brighton or brentford wamengekuwa na chance kama yetu still wangebeba. Eight (8) games eight games!!!!! Unabakiza ili ubebe ligi unacheza sunday to sunday unakuja ku draw na westham na Southampton kweliiii mazee
na wewe ni title contender
, tusisingizie kuumia kwa saliba tumekosa ubingwa kwasababu sisi ni arsenal na hakuna reason nyingine yoyote, Tumezoea halii hii we are always loser!!!. Just imagine angekuwa brentford or brighton wazee habari ingekuwa nyingine saa hizi!! Sababu zimekuwa nyingi mara ooh hatuna word class players sijuii nini hilo nakataaa!! Eight games eight games!!!!!
we are looser always!!!






nobody know how it get there but everyone know it will eventually fall