Sesko
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 1,043
- 2,143
Noma sana!Leo Saka wanamsaka balaa 😂
Noma sana!Leo Saka wanamsaka balaa 😂
Vipi kuhusu ubingwa?kikubwa tusipigwe saba kama wale wapumbavu 😂😂
kombe la kahawa unajua saba wewe 😂😂😂.Vipi kuhusu ubingwa?
Aliyepigwa saba ana kombe moja mpaka sasa, vipi wewe na mpira nyumbuliko una nini huko
Hizi mentality za timu ndogo.kikubwa tusipigwe saba kama wale wapumbavu 😂😂
Unazikumbuka zile chuma nane mkuukikubwa tusipigwe saba kama wale wapumbavu 😂😂
😂😂😂kikubwa sio saba tuHizi mentality za timu ndogo.
hata sisi tuliwapiga 8 kama unakumbuka fuatilia...7 ndo hatutakiUnazikumbuka zile chuma nane mkuu
Tatz la hawa wenzako wengi hawatak kusikia ukwl wakiambiwa ukwl wanaona wanaonea.. Wanakuja kudnaganywa na yule jamaa wao kua hii team ni tishio sana hakuna mfano na wao wanaingia kwny mfumo.Kuna kauli nazikumbuka MANCHESTER CITY HAS GOT MORE GAMES COMPARE TO ARSENAL
Arsenal akatolewa carabao tukasema competition haina maana,Arsenal akatolewa FA tukasema competition haina umuhimu, Arsenal akatolewa Europa league tukasema competition haina maana ni better to win EPL mean Arteta ni Genius, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] some fans wa Arsenal ni very irrogant, very stupid, nilipiga sana kelele kuwa Arsenal Europa league Cup kwake ni muhimu sana nikaitwa ARV milangomitatu haya ngoja tuingiziwe miti next season tutaongea akili moja Arsenal itaendelea ikinunuliwa na waarabu sio huyo choko wa USA
Natumai next season nikiwa naielezea Arsenal die hard fans wa Arsenal mtakuwa mmeshika adabu na kunisikiliza
Unakubali kwanza kama msimu huu hauna kombe unalopata? Kisha tuendelee na mjadalakombe la kahawa unajua saba wewe 😂😂😂.
watu wanachagua kwa mapenzi sio makombe ...Kufungwa ni kufungwa tu ndo maana wengin wanakufa kwa presha.!
Ngoja tumalize hii mechi kwanza! Sema ukiukosa huu ubingwa msimu huu yaani ni big mistakes utakua umefanya.hata sisi tuliwapiga 8 kama unakumbuka fuatilia...7 ndo hatutaki