Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

View attachment 2600954
Dedication kwa wale wote waliowahi kutandikwa na kijana mdogo kutoka mitaa ya Etihad.

Ila zaidi umfikie bwana Castr .
Ila nyumbu ni wajinga sana.
Naendelea kuhesabu mechi.


Kuna level ambayo arsenal mushaweza kuifika ila sisi nyumbu sijui tutaifika lini.

Nazungumzia Uwezo wa kwenda jino kwa jino na man city kwa upande wa kumiliki mchezo.
kila timu na falsafa yake...

arsenal kapigwa nje ndani ManU kampiga city OT
 
City atapigwa tu
Japo ametutangulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyie ndo huwa mnajinyoga kuna vitu vingine unatumia tu akili unaweka pembeni mahaba uliyonayo kwa timu yako ndugu.Ongopa City ni kitu ingine inatisha kinomanoma yaani.tafadha ukiamka kesho tujulishe tujue kama uko hai.
 
20230424_180858.jpg
20230424_180858.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom